1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mmh kama nakuona...ukweli mtupu!Kesho narudi hapa kueleza maoni yangu juu ya teuzi za Samia na ulimbukeni wa wateule wake. Wengi wamefanikiwa kwa kutumia majina ya wajomba na ukuadi ktk mitaa.
----------------
Nimerudi maana uzi huu unagusa maisha yetu huku mitaani kwa kinyozi. Nivumilieni niseme ili rais ajue tunayajua yanayofanyika
Masikitiko yangu yanaanzia kwa rais Samia. Mitaani kinachosikika ni kwamba kila kitu anaulizwa Kikwete. Suppose ni ukweli kwa uhusiano wowote walionao, hivi kweli unaweza kuendelea kuteua watu ambao walikuwa kwenye serikali ya mizaha, ya Kikwete, ukitegemea wa-TZ tutaona ni powa tu! Au ni ile hali ya kusema watafanya nini? Yes hatuna la kufanya lakini rais anajisiaje anaposimama mbele za watu wanaojua mizaha yake?
Hii Wizara kwa hali ya sasa ni laana tu! Mtu anasoma mitandaoni harafu anaingia nayo Bungeni kama rejea ya utaalamu wa matengenezo ya miundombinu ya umeme, anasema Duniani kote bhla!-bhla! Huyo bwana Maharage ndo kabisa! Kweli rais Samia hakumjua kwamba alikuwa kwenye kitengo cha upigaji dili za ikulu? Halafu akaambiwa na akamteua aiendeshe TANESCO! Tukubaliane kwamba CV ya kuendesha Multichoice siyo sawa na TANESCO. TANESCO ni umeme, bidhaa isiyohitaji matangazo ya biashara. Ni bidhaa isiyohitaji kusafirishwa kwa maroli. Ni bidhaa isiyo na ghala la kuihifadhi. Kuna mengi yanayofanya uzoefu wake kuwa uchafu kama atauingiza TANESCO.
Angalia hiyo Bodi ya akina Mafuru na skandali za mikopo ya Benki, akina Msechu aliyeamini ujenzi wa nyumba ni sawa na kutunza hesabu za fedha benki. Vyeo vya Ngwini vina mipaka jamani! biashara bila kuijua taaluma ya unachozalisha au kuuza ni kichaa kweupeeeee! Tuendelee na urafiki na uhawala na ubishoo!
Tanesco ni Shamba la bibi.
Wanatuwekea nguzo za miti. Kila baada ya miaka minne nguzo zinabadilishwa Mbuzi wanafanya dili za kuuza magogo ya miti.
Mbuzi jamani mbuzii wanaomaliza nyasi Kwa sababu ya kamba ndefu.
Mkoloni na ubeberu wake alituwekea nguza za zege. Karne nzima Bado zipo na hazijabadilishwa ,halafu mijitu inakuja hapa inasema wakoloni walituibia !!!! Blalifuuu.
Mkuu Elungata huyu pimbi umempiga za uso hawezi thubutu kusimama na wewe zaidi ya kutumia sweeping statements. Yaani Pulchra Animo ni Msukule wa Mwendazake ambao umeachwa uhangaike baada ya mwenyewe aliyekuwa anaupa unga kufarikibro mi ndo master wa hii game bro,,hii kichwa huwezi kwenda nayo sawa,sharti mkia uweke katikati ya miguu,why nasnza kukujibu,,?,cause malalamishi yako inaonekana una ulteriol motives,,nasi wajuba tuko online kudeal na watu kama nyie,,
kwani lazima uwe waziri bro,,,[emoji23][emoji23],
Safi sana. Eti Mtanzania mwenye akili zake bado haamini kama Mwendazake alufisadi Tsh 2.4 Trillion. Pulchra Animo amejitoa akili kwa kwelisasa we jamaa,unataka mwenzako aanze kutoa figure za CAG utadhani yeye ndo ana documents?,CAG alisema pesa trilion 1.5 hazionekani,,,tangu hapo akaanza kusakamwa,,,na hatimae kustaafishwa,
watu wamejijengea viwanja vya kupitisha mapaleti ya manoti vijijini mwao,,,
tueleze mahesabu ya EPA alizokula jk,,
au Richmond na pengine PAP..
mwendazake alishindwa kuwafunga akina mzee Ruge na mhindi,kwasababu zile zilikua ni majungu ya kisiasa tu,
huwezi kutumia umeme wa watu mwisho wa siku kwenye kulipa uanze chenga na kudai eti pesa za umma,,
mwendazake aliwaweka ndani katika mchezo wa kisiasa aonekane eti anakamata mafisadi waliokuwa enzi za Jk, na hivyo kum discredit jk ili yeye achukue point za kisiasa,
pia akaachia kina bob seya kwa kudikiliza maneno ya majungu eti jk aliwafunga,,wakati hao wacongo walikamatwa enzi za utawala wa mkapa,,
akasimamisha project ya gesi,makusudi na kuanzisha yake huku akiponda kuwa project ya gesi ni ya kipigaji,,,
akasimamisha project ya bandari bagamoja,eti ni ya kipigaji,,
mambo mengi sana
Hili la rais mzima wa nchi kuruhusu mtu kula kwa urefu wa kama yake, ni shida. Yaani nasi tunasema tuna rais makini!Wangekuwa na kamba si ingekuwa afadhali. Hao hawana kamba yoyote.
Hakuna mbuzi anayefungwa kamba na baadaye kupewa maelekezo ya ziada kwamba ale kwa urefu wa kamba yake!
Safi sana. Eti Mtanzania mwenye akili zake bado haamini kama Mwendazake alufisadi Tsh 2.4 Trillion. Pulchra Animo amejitoa akili kwa kweli
Tujifunze nchi haiendeshwi kwa uongo na uzandiki bali ukweli na uwazi mliozoea uongo ukweli unawashinda. Ni vigumu sana kutetea ile regime iliokuwa na uzandiki na uongo mwingi. Networks and systems za umeme zilikuwa zinaelekea kufa, watu wanasherehekea uongo na uzandiki. It was just a short while the Country was going to a complete stop.Tunataka umeme