Rais Samia huna nia njema na Wizara ya Nishati, haifiki kokote kwa teuzi za urafiki

Tanesco ni Shamba la bibi.
Wanatuwekea nguzo za miti. Kila baada ya miaka minne nguzo zinabadilishwa Mbuzi wanafanya dili za kuuza magogo ya miti.
Mbuzi jamani mbuzii wanaomaliza nyasi Kwa sababu ya kamba ndefu.

Mkoloni na ubeberu wake alituwekea nguza za zege. Karne nzima Bado zipo na hazijabadilishwa ,halafu mijitu inakuja hapa inasema wakoloni walituibia !!!! Blalifuuu.
 
mmh kama nakuona...ukweli mtupu!
 

Wangekuwa na kamba si ingekuwa afadhali. Hao hawana kamba yoyote.

Hakuna mbuzi anayefungwa kamba na baadaye kupewa maelekezo ya ziada kwamba ale kwa urefu wa kamba yake!
 
Mkuu Elungata huyu pimbi umempiga za uso hawezi thubutu kusimama na wewe zaidi ya kutumia sweeping statements. Yaani Pulchra Animo ni Msukule wa Mwendazake ambao umeachwa uhangaike baada ya mwenyewe aliyekuwa anaupa unga kufariki
 
Safi sana. Eti Mtanzania mwenye akili zake bado haamini kama Mwendazake alufisadi Tsh 2.4 Trillion. Pulchra Animo amejitoa akili kwa kweli
 
Wangekuwa na kamba si ingekuwa afadhali. Hao hawana kamba yoyote.

Hakuna mbuzi anayefungwa kamba na baadaye kupewa maelekezo ya ziada kwamba ale kwa urefu wa kamba yake!
Hili la rais mzima wa nchi kuruhusu mtu kula kwa urefu wa kama yake, ni shida. Yaani nasi tunasema tuna rais makini!
 
Duu sijui hawa watu wa ERA iliyopita wamekosa nini toka TANESCO kwani wameumia sana kuondolewa kwa mtu wao Mr Kalemani wanaona hakuna mtu aneweza kuendesha Wizara ya nishati wala TANESCO lazima awe mtu wao. Walisambaza umeme vijijini kwa bei ambayo sio realistic na limeondolewa kilio kimekuwa kikubwa tumewaona Bungeni looh. Ila Rais wetu endesha nchi hizi kelele zitaisha na ukweli utashinda nisingependa kuzungumzia wongo mwingi uliokuwa unasambaswa na kundi lile. Rais rekebisha nchi ikae kwenye mtari ulio sawia watajifunza kwa ugumu ila tutafika.
 
Tunataka umeme
Tujifunze nchi haiendeshwi kwa uongo na uzandiki bali ukweli na uwazi mliozoea uongo ukweli unawashinda. Ni vigumu sana kutetea ile regime iliokuwa na uzandiki na uongo mwingi. Networks and systems za umeme zilikuwa zinaelekea kufa, watu wanasherehekea uongo na uzandiki. It was just a short while the Country was going to a complete stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…