Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Kwa thread za johnthebaptist na Chawa wa Lumumba lazima Maza acheke tu.
 
Wamesikia Mama anakuja humu sasa subiri Wanjangu wayajaaa
Kumbe wengi mpo JF lakini bado hamuijui JF.

Humu usalama wa Taifa wana desk lao kabisa kama ulikuwa hujui.

Scandal ya EPA Dr Slaa aliipata humu ndio akaipeleka kuikomalia bungeni.

Unajuwa kosa la Max kukamatwa kushtakiwa na kunyimwa dhamana na kupelekwa gereza la keko sababu ilikuwa ni nini?
 
Karibu mama humu roho ngumu tu
 
Wewe mwenyewe umeandika upumbavu tu kwa kudhani ulichoandika kina-make sense.
 
Heri mama umesema.
Lakini kuna vitoto humu JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…