Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Kwahiyo mama kumbe ana account humu,kuna jina moja hivi ngoja nifuatilie itakuwa ndio yeye...
Mbona Anna Tibaijuka yupo humu na alikuwa anacomment zamani?

Wanasiasa wengi wakubwa wana ID JF, Dr Slaa ameacha kupost baada ya kuaibika alipomuachia Josephine ID yake atumie kujibu watu shombo, tuliokuwa tunaujuwa miandiko wa Dr Slaa tulijuwa siyo yeye ni Josephine hiyo ndio sababu ya Dr Slaa kuikimbia I'd yake lakini bado yuko humu kwa fake I'd.
 
Jf itatufanya tuwe sensitive kuhisihisi id fulanifulani ni za akina nani kama vigogo wakubwa wamo humu. Kikubwa ni kuacha matusi na jazba kama huwezi kujibu kistaarabu pita kimyakimya kuna watu wenye heshima humu
Wamesikia Mama anakuja humu sasa subiri Wanjangu wayajaaa
 
Back
Top Bottom