Dr Ismaily
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 289
- 552
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusoma maoni JF Si lazima awe member.Tutaanza isaka hiyo ID hadi tutaipata tu
Kama uko karibu na duka la Mangi, hebu nenda ukanywe soda, halafu nitakuja kulipa.Faiza Fox nadhani ndiyo atakua Mama Samia humu!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kabisa na tujiandae kupokea wageni wa kutoshaDuh! Kama rais yumo humu hata mawaziri na vigogo wengine wameja humu tele na tunanyukana kwa hoja motomoto
Faiza siye kabisa, usimpakazieFaiza Fox nadhani ndiyo atakua Mama Samia humu!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mbona Anna Tibaijuka yupo humu na alikuwa anacomment zamani?Kwahiyo mama kumbe ana account humu,kuna jina moja hivi ngoja nifuatilie itakuwa ndio yeye...
Wahafidhina mliokuwa mnapinga sasa sikieni huu ni utamaduni Mpya mkanipange.Rais Samia: Hakuna kisichowezekana kwenye mazungumzo, tumesuhudia nchi kadhaa zimeingia kwenye vita hawakupata suluhu, suluhu imepatikana..
😅😅😅😅Chawa sasa kama nawaona watakavyotuchafulia jukwaa hili mama awaone ahaaa
Mzee kumbe humu tuko na Rais.Kumbe hua ana comment, ana like, ana bishana na kukosoa kwenye ule uzi wa kimashihara.
Inabidi nianze kwenda PM randomly naweza kuangukia popote. mara pa Ultimate magogoni
Wamesikia Mama anakuja humu sasa subiri Wanjangu wayajaaaJf itatufanya tuwe sensitive kuhisihisi id fulanifulani ni za akina nani kama vigogo wakubwa wamo humu. Kikubwa ni kuacha matusi na jazba kama huwezi kujibu kistaarabu pita kimyakimya kuna watu wenye heshima humu