Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Wewe ndio chizi, hujui hata IP address ni nini, wakiamuwa kukukomesha hiyo device yako haipewi access ya kufunguwa account nyingine wala kulog in kwa account nyingine.

Sasa umeshagunduwa Nañi ni chizi?
😅😅😅kwamaelezo haya bado hujistukii tuu kuwa wee ni chizi?

unajua natumia vifaa vingapi kuingia humu?

kamahuamini waambie wanibani halafu nakupa masaa kumi nakuja na I'd mpya.
 
Safi sana kwa HE Dr Samia Suluhu Hassan. Tunamkaribisha tena na tena JF.
 
😅😅😅kwamaelezo haya bado hujistukii tuu kuwa wee ni chizi?

unajua natumia vifaa vingapi kuingia humu?

kamahuamini waambie wanibani halafu nakupa masaa kumi nakuja na I'd mpya.
Kwa faida ya nani? Hata niwe na device 100 siwezi kuweka bundle zaidi ya device moja.

Hizi ni post za vijana kula kulala usiyejuwa hata unaandika nini.
 
Sana mkuu
 
Kama yupo humu ndani , ajue Mimi namuona ana UPEO MDOGO. Aya nenda ukajichekeshe na wajukuu zako.
 
Imenipa moyo kusikia tuna figures kubwa humu Jamii Forum bahati mbaya tu kwa Sasa Jamii Forum Haina vichwa Kama zamani. Vilivyokuwa vinaandika makala zenye intellectual curiosity.

Kwa Sasa walioko humu kutwa thread za kuchakata Mbususu tu.
Na matusi kedekede. Ni imani yangu kwamba kuanzia sasa, wadau tutakuwa tunatoa comments zenye kuonesha heshima au zisizokera na kuudhi wasomaji wengine. Kazi iendelee.
 
nimemsikia ,basi naomba apite na UTUMISHI-PSRS kuhusu mchakato wa ajira na placement sababu majobless tunakufa na njaaa, waliahidi database pdf till now kimya !!je mhagama alidanganya Bunge !
 
Kuna Rais wa Tanzania asiyenisoma GENTAMYCINE hapa JamiiForums? Kama JK ( Mkwere ) na Hayati Dk. Magufuli pamoja na CDF Mstaafu Jenerali Mabeyo wananisoma na Kunifolo Yeye ni nani asifanye hivyo?

Tena kwa Taarifa yenu huyu na ID yake huwa napigana nae mno Madongo, ni Mmoja wa Followers wangu Wengi hapa JamiiForums na ananikubali hakuna mfano kiasi kwamba hawezi Kulala bila Kunisoma GENTAMYCINE wala Kuupitia Mtandao huu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Na mambo yote ambayo GENTAMYCINE anasema hua anayasoma si ety.
Kuna Rais wa Tanzania asiyenisoma GENTAMYCINE hapa JamiiForums? Kama JK ( Mkwere ) na Hayati Dk. Magufuli pamoja na CDF Mstaafu Jenerali Mabeyo wananisoma na Kunifolo Yeye ni nani asifanye hivyo?

Tena kwa Taarifa yenu huyu na ID yake huwa napigana nae mno Madongo, ni Mmoja wa Followers wangu Wengi hapa JamiiForums na ananikubali hakuna mfano kiasi kwamba hawezi Kulala bila Kunisoma GENTAMYCINE wala Kuupitia Mtandao huu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…