johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
🤩🤩🤩 Uwanjani kabakia Hashimu Rungwe pekee anatamba na ubwabwa wake!Kata viuno kwa staha humu anakutazama huenda akakuteua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤩🤩🤩 Uwanjani kabakia Hashimu Rungwe pekee anatamba na ubwabwa wake!Kata viuno kwa staha humu anakutazama huenda akakuteua.
Sio suprise kivile sababu JF na Twitter ndio mitandao inayozungumzia siasa, JF kwa uhuru zaidi sababu ya ananomityImagine maoni yangu yanasomwa na raisi wa nchi. 🤣
Badala yake tunawajibia sie ambao hata hatuna nafasiNaona viongozi wengi wanashindwa jitokeza kujibu hoja sababu ya matusi
hahahaaaaa jukwaaa lipi bestito/?Ni leo tu kusikiliza hotuba yake,
Nimeshangaa kusikia akisema anapitia jf.
Au ndo maana lile jukwaa lilifutwa ?
Oyaa Mwana taratibu,Mama yupo humu msisahau!!Mashoga kama wewe huwa nawapa dole la kati tu.
Kwahiyo bi mkubwa anaujua uzi wa kimasihara na wa fantasy!Ameyasema hayo huko Kilimanjaro, kuwa huwa anapitia maoni anabaki kucheka tu
Wewe ni pumbav tu, hao uliowataja Nyerere, Sokoine na Magufuli walikuwa na nini zaidi ya kuitia Tanzania umasikini?Wanataka rais atoe maneno kupingana na msimamo wa chama chake cha CCM. Akifanya hivyo, angewafurahisha. Hata hivyo, naona Samia ameepuka kukamatwa katika mtego wa CDM. Mbowe ametoa lawama nyingi na hata kumuita JPM dikteta na kudai kwamba aliwatesa watu. Hivyo, isitokee tena. Sijui kama Samia alijua. Njia ya maendeleo kwa Tanzania ni ile ya kimagufuli tu. Na hiyo ndio njia ya kinyerere, Ki Edward Sokoine, njia ya Kisamora Machel, njia ya Ki Thomas Sankara, njia ya kijamaa. Binafsi, nilihofu kuwa mtego utamfetukia Mama Samia lakini ameepuka hilo.
Vita kubwa inaendeshwa na maajenti wa ubeberu kupitia upinzani, ambao wanajaribu kufuta jina la JPM na ujumbe wake katika mioyo ya Watanzania. Hata hivyo, hili halitafaulu kamwe. Wametumwa watu kama Lissu, Lema, na Mbowe, lakini hawawezi kufaulu.
sasa ukini ban sinafungua I'd mpya chap?wee chizi nini?Labda tuwafunde new members, sheria za JF zinakataza name calling, unachokifanya ni kosa na adhabu yake ni ban ya mwezi mmoja mpaka miezi mitatu.
Jukwaa la wakubwa kuingia ilikuwa ni kwa access kutaka kwa invisible, kwahiyo yeyote aliyekuwa anaingia hajaingia kwa bahati mbaya Bali alidhamiria.Ni leo tu kusikiliza hotuba yake,
Nimeshangaa kusikia akisema anapitia jf.
Au ndo maana lile jukwaa lilifutwa ?
Imenipa moyo kusikia tuna figures kubwa humu Jamii Forum bahati mbaya tu kwa Sasa Jamii Forum Haina vichwa Kama zamani. Vilivyokuwa vinaandika makala zenye intellectual curiosity.
Kwa Sasa walioko humu kutwa thread za kuchakata Mbususu tu.
Very illogical and imbecile yani wale wakuu wenye nondo wameona utoto wote wakasepa, zamani humu ilikuwa Kuna vichwa vinatoa nondo balaa.Na kuimba mapambio ya siasa. No logic
[emoji1787]Uzi wa kula kimasihara, anasoma?
Wewe ndio chizi, hujui hata IP address ni nini, wakiamuwa kukukomesha hiyo device yako haipewi access ya kufunguwa account nyingine wala kulog in kwa account nyingine.sasa ukini ban sinafungua I'd mpya chap?wee chizi nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe hua ana comment, ana like, ana bishana na kukosoa kwenye ule uzi wa kimashihara.
Inabidi nianze kwenda PM randomly naweza kuangukia popote. mara pa Ultimate magogoni
Sasa mtu kama kuna device nyingi?Si unaingia tu.Wewe ndio chizi, hujui hata IP address ni nini, wakiamuwa kukukomesha hiyo device yako haipewi access ya kufunguwa account nyingine wala kulog in kwa account nyingine.
Sasa umeshagunduwa Nañi ni chizi?
Kuwepo mama wala siyo tatizo, dozi kwa wajinga wajinga kama hawa zina endelea kama kawaida.