Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Wanataka rais atoe maneno kupingana na msimamo wa chama chake cha CCM. Akifanya hivyo, angewafurahisha. Hata hivyo, naona Samia ameepuka kukamatwa katika mtego wa CDM. Mbowe ametoa lawama nyingi na hata kumuita JPM dikteta na kudai kwamba aliwatesa watu. Hivyo, isitokee tena. Sijui kama Samia alijua. Njia ya maendeleo kwa Tanzania ni ile ya kimagufuli tu. Na hiyo ndio njia ya kinyerere, Ki Edward Sokoine, njia ya Kisamora Machel, njia ya Ki Thomas Sankara, njia ya kijamaa. Binafsi, nilihofu kuwa mtego utamfetukia Mama Samia lakini ameepuka hilo.

Vita kubwa inaendeshwa na maajenti wa ubeberu kupitia upinzani, ambao wanajaribu kufuta jina la JPM na ujumbe wake katika mioyo ya Watanzania. Hata hivyo, hili halitafaulu kamwe. Wametumwa watu kama Lissu, Lema, na Mbowe, lakini hawawezi kufaulu.
Wewe ni pumbav tu, hao uliowataja Nyerere, Sokoine na Magufuli walikuwa na nini zaidi ya kuitia Tanzania umasikini?
Leo hii unataka turudi kupanga foleni za unga?
 
Uzi wa kula kimasihara, anasoma?
[emoji1787]
IMG-20230212-WA0004.jpg
 
Jf ni kubwa sana kuliko wengine wanavyoiona

Jf ina heshima zaidi na inasomeka na kila aina ya watu na matabaka ya kila aina
Muwe mnachangia hoja kwa heshima bila kutukanana na pia kuheshimu mawazo ya wengine

Huwa anacheka kwa mengi humu unaweza kuta anamsoma kiduku pia
 
Back
Top Bottom