Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Mama unampata GENTAMYCINE
Mama mpe uteuzi Mshana Jr
Kuna Rais wa Tanzania asiyenisoma GENTAMYCINE hapa JamiiForums? Kama JK ( Mkwere ) na Hayati Dk. Magufuli pamoja na CDF Mstaafu Jenerali Mabeyo wananisoma na Kunifolo Yeye ni nani asifanye hivyo?

Tena kwa Taarifa yenu huyu na ID yake huwa napigana nae mno Madongo, ni Mmoja wa Followers wangu Wengi hapa JamiiForums na ananikubali hakuna mfano kiasi kwamba hawezi Kulala bila Kunisoma GENTAMYCINE wala Kuupitia Mtandao huu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Uyu mpwayungu village nimesha mwambia nita Mpiga Barua Moja Ya Trasfer ..ahamie Manda Akacheze Na Tembo.

Akae Asiamini Kama mimi afisa Elimu wake wa wilaya Uwa Nasoma Mambo yake..anayo tusema Hapa Wilayani.
 
Nimemsikia pia, kumbe anatusoma. Sasa mama please wale wabunge 19 kwa nini katiba imevunjwa?

..angeeleza anapenda jukwaa gani.

..mimi nahisi Maza hapiti humu ktk jukwaa la siasa.

..angekuwa anapita jukwaa la siasa wana-JF wanaochangia na kuacha contacts zao wangekumbukwa ktk teuzi mbalimbali.
 
..angeeleza anapenda jukwaa gani.

..mimi nahisi Maza hapiti humu ktk jukwaa la siasa.

..angekuwa anapita jukwaa la siasa wana-JF wanaochangia na kuacha contacts zao wangekumbukwa ktk teuzi mbalimbali.
Sasa unadhani,mama anapendelea jukwaa lipi ?
 
Kwahiyo mama huwa anahuzunika Sana akiona GENTAMYCIME imepigwa ban
 
Lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni ni kweli kuwa Rais Samia Suluhu anatumia akili kubwa sana katika uongozi wake
 
Nimecheka kumbe mama huwaga anatusoma...
Cc
Jf founder Melo
Mshana jr
Buji buji
Paschal Mayalla
Erythrocytes
Gentamicin
Mwachiluwi
Ricky boy
Mzabzabina
Dejane
Deepond
John the Baptist
Business intelligent
Tumain El
Mdukuzi
Ras jeff kapita
Myangu
Mpwayungu village
Extrovert
Wakupuliza
Ma DR. Wote wa Jf

List ni ndefu..
Bila kusahau
Na
Wana Jf wote

Humu JF Kuna vichwa adimu sana yaan Akili mingi kama mchwa......

Long live JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…