Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Katika hotuba yake aliyoitoa huko mjini Moshi, hivi Leo, akiwa mgeni rasmi, katika sherehe ya akina mama, iliyoandaliwa na BAWACHA, Rais Samia, amesema kuwa huwa anapitia Jamii Forums, kujua watanzania wanasema Nini, juu ya Taifa lao.

Bravo Jamii Forums.
Bravo Mello🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…