Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Hasa akisoma uongo wa johnthebaptist alivyo muongo na mzushi kiasi cha kuleta Tafranil JF.
Juzi kaleta taharuki juu ya covid-19 kwamba ni makubaliano ya maridhiano UONGO MTUPU!
Tuache uzushi na huyu Jo aonywe
Wewe unadhani kwanini BAWACHA waliandaa Bango kubwa pale mlangoni kuanzia alfajiri?

Usiwe tutusa wa kufungwa Kingless!
 
Back
Top Bottom