Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Katika hotuba yake aliyoitoa huko mjini Moshi, hivi Leo, akiwa mgeni rasmi, katika sherehe ya akina mama, iliyoandaliwa na BAWACHA, Rais Samia, amesema kuwa huwa anapitia Jamii Forum, kujua watanzania wanasema Nini, juu ya Taifa lao.

Bravo Jamii Forum.
Bravo Maxence Melo Kwa hiyo muwe mnaadadika kwa adabu kuhsu Rais wetu!
 
Back
Top Bottom