Rais Samia ile Katiba pendekezwa ya Mzee Warioba si ipo? Kwahiyo tusiendelee nayo na tusipoteze Pesa katika Tume unayotaka Kuiunda?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Najua unapitia mno huu Mtandao wa JamiiForums na hulali bila Kutusoma Members kadhaa Watukutu ila ni Werevu (Stubborn but Intelligent) Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na hata leo pia Umekiri Mwenyewe kuwa ni Mwenzetu hapa na Binafsi kuna ID moja nimeshaihisi kuwa ni yako (ni Wewe) kutokana na Uchangiaji wako/ wake.

Mheshimiwa Rais Samia mwanao GENTAMYCINE sijaona Tija (Logic) ya kwanini utake Kuunda tena Kamati ya Kupitia upatikanaji wa Katiba Mpya wakati ile nzuri ya Mzee wetu (tena Mzanaki Mwenzangu) Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba (ambayo nawe ulikuwa ni Mjumbe na Makamu Bungeni) ipo na ni nzuri iliyokubalika na karibia 75% hadi 80% ya Watanzania.

Umesema kuwa huwa ukiingia JamiiForums huwa Unacheka mno ila nakuomba sana Mheshimiwa Rais Samia kuwa huu Uzi wangu GENTAMYCINE usikufanye ucheke bali ufanyie kazi ili usipoteze muda na pia usipoteze Pesa za katika Kamati hiyo na badala yake hiyo Hela itumike kwa Maendeleo mengine.

Nimefurahi kukusikia unatusoma JF.
 
Suala la katiba mpya hiyo iliyokuwa inapendekezwa ni mpaka chama tawala kikubali. Chama kina mifumo yake ya kiutawala. Rais kwa utashi wake anaweza kuleta katiba mpya hata bila chama chake kukubali. Labda atumie decree na aachane na misimamo ya chama chake isiyotaka katiba mpya. La sivyo kwa busara na hekima zake mchakato unaweza kuanza upya japo ni gharama
 
Najua unapitia mno huu Mtandao wa JamiiForums na hulali bila Kutusoma Members kadhaa Watukutu ila ni Werevu (Stubborn but Intelligent) Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na hata leo pia Umekiri Mwenyewe kuwa ni Mwenzetu hapa na Binafsi kuna ID moja nimeshaihisi kuwa ni yako (ni Wewe) kutokana na Uchangiaji wako/ wake.

Mheshimiwa Rais Samia mwanao GENTAMYCINE sijaona Tija (Logic) ya kwanini utake Kuunda tena Kamati ya Kupitia upatikanaji wa Katiba Mpya wakati ile nzuri ya Mzee wetu (tena Mzanaki Mwenzangu) Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba (ambayo nawe ulikuwa ni Mjumbe na Makamu Bungeni) ipo na ni nzuri iliyokubalika na karibia 75% hadi 80% ya Watanzania.

Umesema kuwa huwa ukiingia JamiiForums huwa Unacheka mno ila nakuomba sana Mheshimiwa Rais Samia kuwa huu Uzi wangu GENTAMYCINE usikufanye ucheke bali ufanyie kazi ili usipoteze muda na pia usipoteze Pesa za katika Kamati hiyo na badala yake hiyo Hela itumike kwa Maendeleo mengine.

Nimefurahi kukusikia unatusoma JF.
Ni ukweli kwamba kamati Ile ya kuipendekeza katiba mpya ya mwaka 2014 chini ya kiongozi warioba ilikubalika kwa asilimia 80,lakini ukisema hakuna haja ya kutumia pesa kuiunda kamati mpya je hizo asilimia 20 zilizobaki ili katiba iwe imekubalika kwa asilimia 100 zitapatikanaje?,ni vizuri tu kama kamati mpya itaundwa kama kawaida na ifanye kazi,kumbuka Ile ilikuwa kipinde nyingine,na huwezi kufananisha Hali ya kipindi kile na Sasa, pengine kipindi kile Mambo yalikuwa magumu,kuliko Sasa ama yalikuwa rahisi.
 
Mimi nataka kuzungumzia jambo moja la msingi tunalo takiwa kulibadilisha ktk Katiba Mpya ijayo nayo ni muundo wa utawala ktk serikali zetu za mitaa kuanzia ngazi ya Mkoa kushuka chini. Muhimu hizi serikali zichaguliwe na wananchi na zisimamie kazi zote ambazo sasa ziko chini ya wakuu wa mikoa,wilaya na wakurugenzi wa majiji,manispaa na halmashauri. Mfumo huu tulio nao wa wakuu wa mikoa,wilaya na wakurugenzi umeshindwa. Tunahitaji miji itakayo kua chini ya mipango mji siyo hizi slums zilizo jaa ktk miji na zinaendelea kuongezeka. Tuokoe miji yetu kwa kukabidhi uongozi uliochaguliwa na wananchi wenyewe.
 
Mkuu wa mkoa au wilaya anatakiwa kuwa mtu mwenye kiwango kizuri cha elimu ili aweze kutoa mapendekezo yenye tija ya maendeleo ya mkoa/wilaya yake, akishirikiana na mkurugenzi. Uongozi wa kuchaguliwa kwa kura haufuati vigezo vya elimu bali ni uwezo wa sera za kujiuza kwa wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua unapitia mno huu Mtandao wa JamiiForums na hulali bila Kutusoma Members kadhaa Watukutu ila ni Werevu (Stubborn but Intelligent) Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na hata leo pia Umekiri Mwenyewe kuwa ni Mwenzetu hapa na Binafsi kuna ID moja nimeshaihisi kuwa ni yako (ni Wewe) kutokana na Uchangiaji wako/ wake.

Mheshimiwa Rais Samia mwanao GENTAMYCINE sijaona Tija (Logic) ya kwanini utake Kuunda tena Kamati ya Kupitia upatikanaji wa Katiba Mpya wakati ile nzuri ya Mzee wetu (tena Mzanaki Mwenzangu) Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba (ambayo nawe ulikuwa ni Mjumbe na Makamu Bungeni) ipo na ni nzuri iliyokubalika na karibia 75% hadi 80% ya Watanzania.

Umesema kuwa huwa ukiingia JamiiForums huwa Unacheka mno ila nakuomba sana Mheshimiwa Rais Samia kuwa huu Uzi wangu GENTAMYCINE usikufanye ucheke bali ufanyie kazi ili usipoteze muda na pia usipoteze Pesa za katika Kamati hiyo na badala yake hiyo Hela itumike kwa Maendeleo mengine.

Nimefurahi kukusikia unatusoma JF.
Hii katiba ingefaa ilenge mambo yakuijenga inch kwa kizazi kijacho ili kuifanikisha ktk kujitegemea mbl nakutegemea mataifa ya nje kma zinavyofnya inch nyngne
 
Najua unapitia mno huu Mtandao wa JamiiForums na hulali bila Kutusoma Members kadhaa Watukutu ila ni Werevu (Stubborn but Intelligent) Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na hata leo pia Umekiri Mwenyewe kuwa ni Mwenzetu hapa na Binafsi kuna ID moja nimeshaihisi kuwa ni yako (ni Wewe) kutokana na Uchangiaji wako/ wake.

Mheshimiwa Rais Samia mwanao GENTAMYCINE sijaona Tija (Logic) ya kwanini utake Kuunda tena Kamati ya Kupitia upatikanaji wa Katiba Mpya wakati ile nzuri ya Mzee wetu (tena Mzanaki Mwenzangu) Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba (ambayo nawe ulikuwa ni Mjumbe na Makamu Bungeni) ipo na ni nzuri iliyokubalika na karibia 75% hadi 80% ya Watanzania.

Umesema kuwa huwa ukiingia JamiiForums huwa Unacheka mno ila nakuomba sana Mheshimiwa Rais Samia kuwa huu Uzi wangu GENTAMYCINE usikufanye ucheke bali ufanyie kazi ili usipoteze muda na pia usipoteze Pesa za katika Kamati hiyo na badala yake hiyo Hela itumike kwa Maendeleo mengine.

Nimefurahi kukusikia unatusoma JF.
Mzee WARIOBA arudishwe Ili amalizie KAZI aloianza.

Zittow kabwe na Tume ya mchongo warudishe pesa zetu, maana halipo la maana wamefanya.
 
Naunga mkono hoja...tusitumie garama nyingne kubwa tuendeleze katiba ya warioba Ila tu tuongezee...sifa ya mtu kugombea ubunge iwe ni kuanzia Elimu ya Shahada ya Pili (Masters)
 
Kwahiyo akina siye GENTAMYCINE wenye tudigriii tumoja tu Kabatini tugombee nini Mkuu?
 
Mimi nataka kuzungumzia jambo moja la msingi tunalo takiwa kulibadilisha ktk Katiba Mpya ijayo nayo ni muundo wa utawala ktk serikali zetu za mitaa kuanzia ngazi ya Mkoa kushuka chini. Muhimu hizi serikali zichaguliwe na wananchi na zisimamie kazi zote ambazo sasa ziko chini ya wakuu wa mikoa,wilaya na wakurugenzi wa majiji,manispaa na halmashauri. Mfumo huu tulio nao wa wakuu wa mikoa,wilaya na wakurugenzi umeshindwa. Tunahitaji miji itakayo kua chini ya mipango mji siyo hizi slums zilizo jaa ktk miji na zinaendelea kuongezeka. Tuokoe miji yetu kwa kukabidhi uongozi uliochaguliwa na wananchi wenyewe.
Na hili laitwa madaraka mikoani ambalo mimi naamini ndilo litoleta mabadiliko na maendeleo ya haraka mikoni bila kuathiri serikali kuu.

Mikoa itakuwa na uwezo wa kuchagua mameya, na madiwani. Mameya ndo wawe na nguvu ya kuwa na maamuzi ya uendeshaji mikoa huku hao wateule wa raisi yaani RC, DC na wakurugenzi wa miji, halmashauri na manispaaa wawe ni watu wa kutoka nje ya mfumo yaani wawe ni wateule wa kutokana na sifa maalum.

Kwa mfano fedha zinokusanywa sasa hivi mikoni nyingi zaibiwa na watandaji na hakuna namna ya kuzuia wizi huo.

Sasa mikoa itapaje maendeleo?
 
Najua unapitia mno huu Mtandao wa JamiiForums na hulali bila Kutusoma Members kadhaa Watukutu ila ni Werevu (Stubborn but Intelligent) Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na hata leo pia Umekiri Mwenyewe kuwa ni Mwenzetu hapa na Binafsi kuna ID moja nimeshaihisi kuwa ni yako (ni Wewe) kutokana na Uchangiaji wako/ wake.

Mheshimiwa Rais Samia mwanao GENTAMYCINE sijaona Tija (Logic) ya kwanini utake Kuunda tena Kamati ya Kupitia upatikanaji wa Katiba Mpya wakati ile nzuri ya Mzee wetu (tena Mzanaki Mwenzangu) Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba (ambayo nawe ulikuwa ni Mjumbe na Makamu Bungeni) ipo na ni nzuri iliyokubalika na karibia 75% hadi 80% ya Watanzania.

Umesema kuwa huwa ukiingia JamiiForums huwa Unacheka mno ila nakuomba sana Mheshimiwa Rais Samia kuwa huu Uzi wangu GENTAMYCINE usikufanye ucheke bali ufanyie kazi ili usipoteze muda na pia usipoteze Pesa za katika Kamati hiyo na badala yake hiyo Hela itumike kwa Maendeleo mengine.

Nimefurahi kukusikia unatusoma JF.
Mama ameshatenga Bilioni 9 kwa ajili ya mchakato w Katiba Mpya, Tume huru ya Uchaguzi na Mabadiliko ya sheria za vyama vya siasa.
 
Naunga mkono hoja...tusitumie garama nyingne kubwa tuendeleze katiba ya warioba Ila tu tuongezee...sifa ya mtu kugombea ubunge iwe ni kuanzia Elimu ya Shahada ya Pili (Masters)
Hata hawa wenye PhD mbona wanashindwa na Ludinde na Msukuma?
Kibongo bongo watu wanasoma sana sio kwa ajili ya Proficiency bali kumaliza njaa tu.
 
Back
Top Bottom