GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Najua unapitia mno huu Mtandao wa JamiiForums na hulali bila Kutusoma Members kadhaa Watukutu ila ni Werevu (Stubborn but Intelligent) Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na hata leo pia Umekiri Mwenyewe kuwa ni Mwenzetu hapa na Binafsi kuna ID moja nimeshaihisi kuwa ni yako (ni Wewe) kutokana na Uchangiaji wako/ wake.
Mheshimiwa Rais Samia mwanao GENTAMYCINE sijaona Tija (Logic) ya kwanini utake Kuunda tena Kamati ya Kupitia upatikanaji wa Katiba Mpya wakati ile nzuri ya Mzee wetu (tena Mzanaki Mwenzangu) Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba (ambayo nawe ulikuwa ni Mjumbe na Makamu Bungeni) ipo na ni nzuri iliyokubalika na karibia 75% hadi 80% ya Watanzania.
Umesema kuwa huwa ukiingia JamiiForums huwa Unacheka mno ila nakuomba sana Mheshimiwa Rais Samia kuwa huu Uzi wangu GENTAMYCINE usikufanye ucheke bali ufanyie kazi ili usipoteze muda na pia usipoteze Pesa za katika Kamati hiyo na badala yake hiyo Hela itumike kwa Maendeleo mengine.
Nimefurahi kukusikia unatusoma JF.