Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Magufuli alichaguliwa ama alitumia ubabe kushinda uchaguzi?!kwahiyo yeye anaona yupo sahihi?, tulimchagua magufuri. Huyo maneno mengi simtambui...inamtambua katiba na genge lake tu. Sisi tunasubiri kumuweka rais wetu 2025.
Duh! ndo wasomi wetu tunaowategemea!?Hukupenda kutosoma ni wazazi wako hawakupata nafasi na uelewa ,siwezi tukana umaskini...
Samia hawezi kunangwa kwavile ameruhusu watu kufunguka na kuwa huru kumnangaAnachosahau ni kwamba, yeye atanangwa akiwa hai baada kumaliza muda wake.
Karma is real...
Dah! mwanaume unapaka mafuta matakoni!!!!!????Nilitaka nichangie nimejikuta nacheka tu,
Eti wazungu ni kama maji usipo kunywa utaoga,
Mafuta unayopaka kulainisha matako,chupi vyote vinaletwa na mzungu,
Ha ha ha ha,huu unaitwa ukweli mchungu
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Huyu bibi ni kituko anatuaibisha huko aliko. Utadhani wale watoto wa kijijini kwa jirani akiwa kapewa bakuli la ubwabwa na kuanza kunwaga siri.Sio vizuri kusema Mambo ya "chumbani "kwako nje japo ni kweli,yaani hiyo ni kama "kuwalamba miguu" mabeberu!
Why akamilishe .kwenda wapi , usalama wa taifa uingilie kati maana sasa taifa alishika kwenye mboni ya jicho #🕷🔓🔏O🙂=-O:O:O*%¿¿®¥€™Nashukuru huyu Mama hakuwa Rais kipindi cha Corona, bila shaka mpaka leo Tanzania tungekuwa kifungoni.
Huyu Mama taifa likipitia kigumu kama cha Corona na mashinikizo kibao ya wazungu naamini hawezi kuhimili kifupi Mama ni mwepesi sana.
Nilikuwa na imani kidogo na Mama Samia ila sasa imekufa kabisa, kifupi mama hana dira wala mwongozo wa Taifa anaongoza kimazoea tu.
Kama CCM mnalipenda Taifa letu huyu Mama anatakiwa akamilishe tu hii awamu.
Samia kwa Watanzania "Mimi na Magufuli ni kitu kimoja".Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Samia kwa Watanzania "Mimi na Magufuli ni kitu kimoja".
Samia kwa Wamarekani "Nilikuwa natofautiana sana na Magufuli"
What kind of unmitigated idiocy is this?
Na ndiyo maana kuna somo la Historia, kiongozi akifanya jambo jema tutalisoma na tutaliendeleza,mtu akifanya maovu tutayasoma pia na kujiepusha nayo kwa kesho iliyo bora.Ngoja asagwe Ili Taifa lipone,hakuna kisingizio cha marehemu.
Huyo padri anaugua sonona baada ya kukimbiwa na mchumba wake Jose.Dr silaa kwani anasemaje maana baba yake anapopolewa
Leo uko zamu kulinda kaburi?Baraka kwa ukoo wako siyo watz
Wala humsumbui walaNashukuru huyu Mama hakuwa Rais kipindi cha Corona, bila shaka mpaka leo Tanzania tungekuwa kifungoni.
Huyu Mama taifa likipitia kigumu kama cha Corona na mashinikizo kibao ya wazungu naamini hawezi kuhimili kifupi Mama ni mwepesi sana.
Nilikuwa na imani kidogo na Mama Samia ila sasa imekufa kabisa, kifupi mama hana dira wala mwongozo wa Taifa anaongoza kimazoea tu.
Kama CCM mnalipenda Taifa letu huyu Mama anatakiwa akamilishe tu hii awamu.
Huyu kabebwa na umakamu wa Rais tu.Watu wakisema, “kwa huyu Rais, tulipigwa” wanaitwa Sukuma Gang!
Hata Jiwe aliwananga wasaidizi wake so hakuna jipya chini ya jua. Muacheni mama apige kazi. Ni zamu yake sasaAnachosahau ni kwamba, yeye atanangwa akiwa hai baada kumaliza muda wake.
Karma is real...
Hivi si aliapa pia kutunza siri alizozijua wakati akiwa kwenye nafasi, ama?This is not presidential at all. Mama anapaswa kufanya yake tu sasa bila kumtajataja marehemu
Collective responsibility holds. Otherwise angeachia ngazi those days