#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

kwahiyo yeye anaona yupo sahihi?, tulimchagua magufuri. Huyo maneno mengi simtambui...inamtambua katiba na genge lake tu. Sisi tunasubiri kumuweka rais wetu 2025.
Magufuli alichaguliwa ama alitumia ubabe kushinda uchaguzi?!
 
Kabisa, nasikia kuna siku alimkosakosa makofi, jiwe hakutokea upuuzi
 
Nilitaka nichangie nimejikuta nacheka tu.

Eti wazungu ni kama maji usipo kunywa utaoga.

Mafuta unayopaka kulainisha matako,chupi vyote vinaletwa na mzungu.

Ha ha ha ha,huu unaitwa ukweli mchungu.
 
Anachosahau ni kwamba, yeye atanangwa akiwa hai baada kumaliza muda wake.
Karma is real...
Samia hawezi kunangwa kwavile ameruhusu watu kufunguka na kuwa huru kumnanga

Jiwe aliziba watu midomo
Jiwe anaenda kukopa nje lakini hasemi,
Wafanyabiashara walifunga biashara zao lakini nchi ilikuwa uchumi kwa 4.6%[emoji849][emoji849][emoji849]
Jiwe angeruhusu watu kumsema ingepelekea watu kumaliza yote yaliyoko moyoni mwao

Umy mwalimu alipigwa stop na jiwe asiendelee kutangaza idadi ya vifo vitokanavyo na Covid-19
 
Sio vizuri kusema Mambo ya "chumbani "kwako nje japo ni kweli,yaani hiyo ni kama "kuwalamba miguu" mabeberu!
Huyu bibi ni kituko anatuaibisha huko aliko. Utadhani wale watoto wa kijijini kwa jirani akiwa kapewa bakuli la ubwabwa na kuanza kunwaga siri.
 
Nashukuru huyu Mama hakuwa Rais kipindi cha Corona, bila shaka mpaka leo Tanzania tungekuwa kifungoni.

Huyu Mama taifa likipitia kigumu kama cha Corona na mashinikizo kibao ya wazungu naamini hawezi kuhimili kifupi Mama ni mwepesi sana.

Nilikuwa na imani kidogo na Mama Samia ila sasa imekufa kabisa, kifupi mama hana dira wala mwongozo wa Taifa anaongoza kimazoea tu.

Kama CCM mnalipenda Taifa letu huyu Mama anatakiwa akamilishe tu hii awamu.
Why akamilishe .kwenda wapi , usalama wa taifa uingilie kati maana sasa taifa alishika kwenye mboni ya jicho #🕷🔓🔏O🙂=-O:O:O*%¿¿®¥€™
 
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Samia kwa Watanzania "Mimi na Magufuli ni kitu kimoja".

Samia kwa Wamarekani "Nilikuwa natofautiana sana na Magufuli"

What kind of unmitigated idiocy is this?
 
Ni jambo la kawaida kutofatiana kama binadamu, pia kweli unajikuta huna jinsi ya kufanya, na si mara ya kwanza kueleza haya, aliwahi kueleza mbele yake akitumia misemo kuwa alitunyoosha.

Napenda anavyosema ukweli, wengi walitofautiana na Magu, ngumu kumuelewa hasa anapochukuwa maamuzi mabaya na kulazimisha kuwa yuko sahihi! Maswala ya Covid-19, kupora ushindi, kuchoma vifaranga, kuzuia Kenya kuzika Mkapa, kupeleka miradi mikubwa kwao, lugha mbaya, kutimua au kusamehe kusiko fuata sheria wala utu, kusitisha mikataba na makampuni bila kufuata sheria, mambo mengi, na inafaa tuyaseme ili yasijirudie kwa viongozi wa baadae!
 
Nashukuru huyu Mama hakuwa Rais kipindi cha Corona, bila shaka mpaka leo Tanzania tungekuwa kifungoni.

Huyu Mama taifa likipitia kigumu kama cha Corona na mashinikizo kibao ya wazungu naamini hawezi kuhimili kifupi Mama ni mwepesi sana.

Nilikuwa na imani kidogo na Mama Samia ila sasa imekufa kabisa, kifupi mama hana dira wala mwongozo wa Taifa anaongoza kimazoea tu.

Kama CCM mnalipenda Taifa letu huyu Mama anatakiwa akamilishe tu hii awamu.
Wala humsumbui wala
 
Back
Top Bottom