HatariFunguka Mama.
Mbona hutuambii waliopukutishwa nayo,au kufichwa Kwa taarifa kunakupa bado Imani kuwa ulifaninikwaπ€Muheshimiwa Rais anasema alitofautiana sana na hayati magufuli likiwemo swala la covid 19. Swali, je kama JPM angemsikiliza SSH, je tungekaa lockdown? kama tungekaa lockdown je nchi ingekuwa kwenye hali gani. Je SSH haoni kwamba JMP kukataa mawazo yake kwenye covd 19 alikuwa sahihi. Na JPM alipoona amefanikiwa katika hili kwa kukataa mawazo ya SSH, je JPM hakupaswa kukataa mawazo ya SSH kwenye mambo mengine. Hili swala la covid SSH asijaribu kumpnga JPM, kwani JPM alifanikiwa katika hili
Kwann mgumu kuelewa ww?ushaambiwa ilikuwa ngumu kufanya nae kaz hasa kwenye COVID, Sasa boss havai barakoa ww uvae Samia alikua anamueshimu jiwe japo walitofautiana ,Kama kweli walitofautiana lakini akashindwa kusimamia alichokiamini mpaka mwisho basi hakuwa na msimamo.
Sikuwahi kumuona Samia akiwa amevaa barakoa wakati wa Magufuli, mtu pekee niliyemuona amevaa barakoa alikuwa ni Kikwete pekee. Kama yupo aliyemuona Samia kuvaa barakoa wakati ule anioneshe picha na Magufuli akionekana.
Inawezekana Samia aliogopa kitumbua chake kisiingie mchanga akawa tayari kuweka reheni afya yake.
Huyo magu ni muuaji tuIfike wakati ccm thinktanks na political strategists na hapa ndio unaona pengo la dr Bashiru Ally. Waliopo wakina Kinana, Mndolwa , mama Kamba , mkuchika wamshauri mama aachane kabisa na kumtaja Hayati JPM chuma negatively kisiasa hii itawapa wakati mgumu huko mbele.
Haujajibu swali.Dhalimu anafahamika kwa tabia zake.
Hata alichokifanya Jiwe kwenye uchaguzi 2020 pia anakubali au hilo pia alipingana nalo?Mengine yote alikubaliana nae!
Hata Hitler wanamsigina kokote kule kwa kutolewa mfano mbaya,iwe ndani au nje ya Ujerumani.Na ndiyo maana kuna somo la Historia, kiongozi akifanya jambo jema tutalisoma na tutaliendeleza,mtu akifanya maovu tutayasoma pia na kujiepusha nayo kwa kesho iliyo bora.
Hapo ndipo umuhimu wa kuwa na katiba imara unapoonekana. Katiba tuliyonayo Rais ni kama mfalme.Kama kweli walitofautiana lakini akashindwa kusimamia alichokiamini mpaka mwisho basi hakuwa na msimamo.
Sikuwahi kumuona Samia akiwa amevaa barakoa wakati wa Magufuli, mtu pekee niliyemuona amevaa barakoa alikuwa ni Kikwete pekee. Kama yupo aliyemuona Samia kuvaa barakoa wakati ule anioneshe picha na Magufuli akionekana.
Inawezekana Samia aliogopa kitumbua chake kisiingie mchanga akawa tayari kuweka reheni afya yake.
Umemsahau NdegeJohnElitwege na thetallest mnaitwa huku. Legacy inapopolewa
Naona mataga mnatoka kutetea Dhalimu wenu ππ..Huyu Mama Samia hata hakumbuki aliapa nini hata ukiuliza atakwambia jaji alinipa kilikuwa kimeandikwa akasema nisome kwa sauti hata sikumbuki kilikuwa kinasemaje labda ukamuulize jaji aliyeniapisha
Amesema ataleta Katiba mpya haijalishi kama itamgharimu sasa shida iko wapi?Huyu kabebwa na umakamu wa Rais tu.
Peke yake asingeweza kupenya hata 10 bora endapo angegombea urais.
2025 atapita kwa kubebwa na dola pamoja na tume.
Yaani kuteketeza pesa zote safari ya masafa marefu kwenda tu kutafuta platform ya kumsimanga Magufuliumeenda kuwalamba nanii wazungu kwa kumnanga Boss wako , umesahau asingekufa usingepata hata wa kumwambia hizo habari.
Awalambe tuu maana kushindana nao huwezi na utaumia mwenyewe kama tulivyoumia miaka 6 iliyopita..umeenda kuwalamba nanii wazungu kwa kumnanga Boss wako , umesahau asingekufa usingepata hata wa kumwambia hizo habari.