#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

Muheshimiwa Rais anasema alitofautiana sana na hayati magufuli likiwemo swala la covid 19. Swali, je kama JPM angemsikiliza SSH, je tungekaa lockdown? kama tungekaa lockdown je nchi ingekuwa kwenye hali gani. Je SSH haoni kwamba JMP kukataa mawazo yake kwenye covd 19 alikuwa sahihi. Na JPM alipoona amefanikiwa katika hili kwa kukataa mawazo ya SSH, je JPM hakupaswa kukataa mawazo ya SSH kwenye mambo mengine. Hili swala la covid SSH asijaribu kumpnga JPM, kwani JPM alifanikiwa katika hili
Mbona hutuambii waliopukutishwa nayo,au kufichwa Kwa taarifa kunakupa bado Imani kuwa ulifaninikwa🤭
 
Kama kweli walitofautiana lakini akashindwa kusimamia alichokiamini mpaka mwisho basi hakuwa na msimamo.

Sikuwahi kumuona Samia akiwa amevaa barakoa wakati wa Magufuli, mtu pekee niliyemuona amevaa barakoa alikuwa ni Kikwete pekee. Kama yupo aliyemuona Samia kuvaa barakoa wakati ule anioneshe picha na Magufuli akionekana.

Inawezekana Samia aliogopa kitumbua chake kisiingie mchanga akawa tayari kuweka reheni afya yake.
Kwann mgumu kuelewa ww?ushaambiwa ilikuwa ngumu kufanya nae kaz hasa kwenye COVID, Sasa boss havai barakoa ww uvae Samia alikua anamueshimu jiwe japo walitofautiana ,
 
Ifike wakati ccm thinktanks na political strategists na hapa ndio unaona pengo la dr Bashiru Ally. Waliopo wakina Kinana, Mndolwa , mama Kamba , mkuchika wamshauri mama aachane kabisa na kumtaja Hayati JPM chuma negatively kisiasa hii itawapa wakati mgumu huko mbele.
Huyo magu ni muuaji tu
 
Huyo mama naona hana busara tu.
Kwanza anashindwa kuelewa, bila huyo Magufuli, yeye leo asingekua Rais wa Tanzania.
 
Kama kweli walitofautiana lakini akashindwa kusimamia alichokiamini mpaka mwisho basi hakuwa na msimamo.

Sikuwahi kumuona Samia akiwa amevaa barakoa wakati wa Magufuli, mtu pekee niliyemuona amevaa barakoa alikuwa ni Kikwete pekee. Kama yupo aliyemuona Samia kuvaa barakoa wakati ule anioneshe picha na Magufuli akionekana.

Inawezekana Samia aliogopa kitumbua chake kisiingie mchanga akawa tayari kuweka reheni afya yake.
Hapo ndipo umuhimu wa kuwa na katiba imara unapoonekana. Katiba tuliyonayo Rais ni kama mfalme.
Angalia uzuri wa katiba imara japo siyo Sana hapo Kenya tu. Ruto anamkosoa waziwazi Kenyatta na yuko salama.
Huku huwezi kumpinga Rais au kuwa na mawazo tofauti ukawa salama kwa katiba tuliyo nayo.
Kumlaumu Samia eti kwa nini hakusimamia msimamo wake ni kumuonea tu, Magufuli aliweza kuwasimanga hata mapadri/maaskofu tena kanisani waliovaa barakoa,tabia ambayo ni adimu sana kwa wakatoliki kwani wanawaheshimu sana viongozi wao.
 
Kama Samia ni mkamilifu na kama siyo walewale alete katiba mpya kama Kikwete alivyowaachia wazanzibar uhuru wa kutengeneza katiba yao kwa uhuru bila ya kuingiliwa na chama chochote kwa maslahi ya chama.
 
Kwani sasa hivi anafata hizo measure au kama Taifa tunafata ushauri wa wataalamu? Ama Covid imeisha?
 
umeenda kuwalamba nanii wazungu kwa kumnanga Boss wako , umesahau asingekufa usingepata hata wa kumwambia hizo habari.
 
Huyu Mama Samia hata hakumbuki aliapa nini hata ukiuliza atakwambia jaji alinipa kilikuwa kimeandikwa akasema nisome kwa sauti hata sikumbuki kilikuwa kinasemaje labda ukamuulize jaji aliyeniapisha
Naona mataga mnatoka kutetea Dhalimu wenu 😁😁..

Ni hivi huko kaburini Dhalimu akigeuka nshale tuu 💉💉💉
 
Huyu kabebwa na umakamu wa Rais tu.

Peke yake asingeweza kupenya hata 10 bora endapo angegombea urais.

2025 atapita kwa kubebwa na dola pamoja na tume.
Amesema ataleta Katiba mpya haijalishi kama itamgharimu sasa shida iko wapi?

Hadi saizi nani amefanya vizuri kwenye uongozi kwa mwaka mmja kumzidi Samia?
 
umeenda kuwalamba nanii wazungu kwa kumnanga Boss wako , umesahau asingekufa usingepata hata wa kumwambia hizo habari.
Yaani kuteketeza pesa zote safari ya masafa marefu kwenda tu kutafuta platform ya kumsimanga Magufuli
 
umeenda kuwalamba nanii wazungu kwa kumnanga Boss wako , umesahau asingekufa usingepata hata wa kumwambia hizo habari.
Awalambe tuu maana kushindana nao huwezi na utaumia mwenyewe kama tulivyoumia miaka 6 iliyopita..

Kiwanja cha sqm 900 hata mil.hupewi.
 
Back
Top Bottom