#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

Yeah

Watu wanajipigia tu

Magufuli hana tofauti na, mume mwenye mke pisi kali

Anambana mkewe, anamwonea wivu kama wote,hataki aongee na wanaume wengine na hayuko. Tayari kuona anashare utamu na wana wa kitaa

Ila siku akifa, mkewe watu wanajinyofolea tu
Kama ziito na mke wa DEO FILIKUNJOMBE
 
Mtazamo wangu nafikiri Mh Raisi alikuwa anajaribu kuwa sawa na sera ya nje kuhusu demokrasia ilikupata mkazo kutoka huko ila nafikiri angejikita sana kuona namna ya kuiunganisha Tanzania na jamii ya nje hasa kwenye masuala ya kiuchumi na teknolijia zaidi
 
Nakumbuka Samia aliwahi kusema kwamba rais huwa hakosei, na nadhani ndio sababu ya kumshughulikia Ndugai baada ya kuonesha kutofautiana mawazo kwenye issue ya mikopo.
 
Samia kwa Watanzania "Mimi na Magufuli ni kitu kimoja".

Samia kwa Wamarekani "Nilikuwa natofautiana sana na Magufuli"

What kind of unmitigated idiocy is this?
CCM governance style. That’s the kind.

Idiocy? Er …

“Maendeleo hayana chama”. “Ukikosea kuchagua umeula wa chuya; sileti maendeleo kwa wapinzani”.
 
Alikuwa wapi kuzungumza hayo mwanzoni?
Mbona Bashite alijivua ukuu wa mkoa akaamua kuingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge, kwani Magu alimuua?

Huo si unafiki, kwa nini msibani Chato aseme yeye na Magu ni kitu kimoja, hivi sasa US anasema Magu hivi Magu vile, vyote ni kumponda jamaa, kama yeye ni kiongozi shupavu, mpigania haki, mwanaharakati angemwambia machoni Magu "mzee unakosea", mbona Kambona alimchana Nyerere? Akatimua mbio ugenini..

Huyu mama ana alama zote za unafiki na uzandiki, na mtu wa namna hii sio mzuri hata kidogo.
Kwenye siasa kuna kitu kinaitwa “realpolitik”. Usipokuwa nacho sahau kuwa mwanasiasa. Magufuli mwenyewe asingedumu zaidi ya miaka 25 ndani ya siasa za CCM hadi kuwa Rais bila hiyo “janja”.

Unakumbuka alivyokuwa akimsifu JK kwa kusafiri sana na “kuleta pesa za miradi ya barabara”? Na kumsisitizia aongeze safari. That’s realpolitik for you. Hakuna kuachia ngazi kizembe.
 
Si kweli lakini

Inasemekana kuna wakati aliondoka alirudi kwao KISIMKAZI baada ya kutofautiana na JIWE! Ilibidi wazee wa Zenj wamrudishe bara kwa nguvu!!!
Sioni ajabu kama walishindana kufanya kazi pamoja na ndio maana wale vijana wa KIGOGO 2014 walikuwa wanapata inside information ya serikali wakati wa Jiwe lakini mara tu alipotoweka nao wakatoweka!!!
 
Je si kosa kusema mambo ambayo aliapa kuyatunza ili kulinda collective responsibility? Je katiba haijavunjwa hapo?
Labda utueleze amevunja sehemu gani ya kiapo? Kumbuka kiapo kinasema nini kuhusu siri
Pili, Magufuli alipokuwa anasema ''hii nchi imeriwa kweri ...'' hakuwa anavunja kiapo kwa maana yako? Magufuli alipotueleza mkataba wa Bagamoyo walioujadili wenyewe katika Cabinet hakuvunja kiapo?
This is going beyond control mtu wakumshauri na apatikane basi otherwise hii precendence ni mbaya sana na implication kwa mtu kama mimi ni kuwa mkuu wa nchi anauwezo wa kufanya apendalo na hakuna wakumwajibisha including kuhujumu nchi.
Well said, ndio maana tukiwasikia watu wanasema wao ni CCM hawataki katiba mpya tunawashangaa sana. Katiba ni mwongozo wa nchi unaomgusa kila mtu bila kujali itikadi dini etc

JokaKuu
 
Mama mnafiki sana, alikuwa wapi kusema haya yote toka mwanzoni wanafanya kazi?

Alianza kusema yeye na Magu ni kitu kimoja kule Chato, sasa hivi yupo marekani anamkandia Magu.

Mama muongo muongo na unafiki umemjaa.. Hivi kwa nini hata lisianguke na ndege life tu lisirudi..

Anachanganya wananchi, ana alama zote za unafiki.
Acha roho mbaya. Kwa taarifa yako Mama alikuwa anamwambia JPM in black and white mambo aliyokuwa anaona hayaendi sawa hasa miaka miwili ya kwanza ya utawala wao mpaka akataka kujiuzulu. JPM asivyojua katiba akamwambia jiuzulu nitachagua mtu mwingine ndipo alipoambiwa kuwa SSH akijiuzulu tunarudi kwenye uchaguzi upya ndipo ikabidi waendelee tu hivyo hivyo. Siyo kwamba SSH anasema baada ya JPM kufariki
 
Back
Top Bottom