Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 4,062
- 5,741
Na kumfata Jk kipindi kile ilikua kwa sababu ana uchawi wa kufika Dc?Ana makombora ya kupiga DC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kumfata Jk kipindi kile ilikua kwa sababu ana uchawi wa kufika Dc?Ana makombora ya kupiga DC
Nani alimfata JK?Na kumfata Jk kipindi kile ilikua kwa sababu ana uchawi wa kufika Dc?
Pamoja na yooote anafungwa na kiapo chake. Ana platforms za kuyasema haya na kurekebisha kwakua kauli kama hizi zinaligawa taifa, mbaya zaidi kasemea nje...Niliwaza hivyo...Hivi kosa lake ni kusema kwa maneno?
Mbona kila siku anafanya kinyume hakuna tatizo, kutamka tu imekuwa tatizo!
Kawaondoa wapambe wa Magufuli kawarudisha waliondolewa na JPM.
Rais SSH anahimiza chanjo, JPM ahakutaka kusikia kitu hicho
Rais SSH anazungumza wazi ufa wa udini, ukabila , JPM ilikuwa haikuwa hivyo
Orodha inaendelea kurasa 1001
''Marehemu hasemwi, yaliyopita si ndwele, tuangalie mbele'' kwa lengo la kufunika ya nyuma! fiddlestick
UK, PM Sir Churchill '' All men make mistakes, but only wise mean learn from their mistakes''
Nakubaliana JPM ameonyesha ubovu wa mifumo ingawa wengine tulisema miaka 10 iliyopita.
Ni muhimu tujifunze mifumo inavyoweza kutumika vibaya kwa mfano halisi wa Mwendazake
Rais SSH kueleza kilichomtokea ni kawaida. Kuna maswali hawezi kuyajibu bila kueleza 'position' .
JPM ni public figure kama Nyerere na Mkapa hana 'immunity' kwa masuala masuala yenye masilahi ya Taifa. JPM aliomba kazi akijua hadhi , mamlaka, ukubwa , majukumu na uwajibikaji wake ikiwemo kutokuwa na privacy au immunity katika scrutiny
JokaKuu amesema vizuri sana kuhusu deni, wadeni na mdaiwa !
Natural justice pia inatuasa hivyo. Hii ni kama kuwa mshitaki, hakimu na bwana jela wewe huyo huyo huku mtuhumiwa akiwa hana nafasi wala uwezo wa kujitetea na yeye akasema upande wake na mzani ukaamua nani msema kweli nadhani ndiyo sababu kukawa na viapo ili kulinda mambo yafananayo kama hayoHata hivyo ni vyema Samia akaachana na habari za magufuli.ameshajilalia hawezi kujitetea
HahahaaSi shangai ilisemwa pia Mbowe gaidi na wenzake washafungwa
Mbona hata kikwete aliwaua wengu Tu hivi unajitambua kweli kuposti hiki kitu?au wewe ulikuwa fisadiMagufuri alikuwa fisadi muuwaji mwizi roho mbaya ya visasiView attachment 2189547View attachment 2189549
Unafurahia upumbafu wao.Uwanja wa taifa waliaga mwili mamilioni na sehemu kibao misongamano mikubwa akiwemo mama Samia wakuu wa vyombo.vyote vya ulinzi na usalama na hakuna aliyekuwa kachanja au kuvaa barakoa uliona walikufa kwa Corona?
Nakumbuka CAG mstaafu, Assad alizungumza mambo flani akiwa nje ya nchi, zilitoka kauli za kuitukana nchi na faster akaitwa DodomaPamoja na yooote anafungwa na kiapo chake. Ana platforms za kuyasema haya na kurekebisha kwakua kauli kama hizi zinaligawa taifa, mbaya zaidi kasemea nje...Niliwaza hivyo...
Leta ushahidi. COVID wiped him.To hell
Huyu Mama simuelewi anataka nini hasa.Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli.
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO-19.
View attachment 2188625
Una kisasi eeeh ?...Naomba uzima niione hii siku, natamani Rais atakaeingia atoe general amnesty ya walau mwaka mmoja kwa raia yeyote atakaemsema huyu mama asishtakiwe kokote.