Dah!...Magufuli alitofautiana na bitozo siyo kwasababu ya covid
Naomba niishie hapo.
ila ukiipata story yote inabidi uwe na kifua cha kuitunza
Kalio tu hana lolote anatetea mume wake asije kumuacha
Hawezi kazi kila siku kupiga mbija hana la kufanyaThis is not presidential at all. Mama anapaswa kufanya yake tu sasa bila kumtajataja marehemu
Collective responsibility holds. Otherwise angeachia ngazi those days
Mi pikipiki mi bovu sana hyo
Kama ziito na mke wa DEO FILIKUNJOMBEYeah
Watu wanajipigia tu
Magufuli hana tofauti na, mume mwenye mke pisi kali
Anambana mkewe, anamwonea wivu kama wote,hataki aongee na wanaume wengine na hayuko. Tayari kuona anashare utamu na wana wa kitaa
Ila siku akifa, mkewe watu wanajinyofolea tu
CCM governance style. That’s the kind.Samia kwa Watanzania "Mimi na Magufuli ni kitu kimoja".
Samia kwa Wamarekani "Nilikuwa natofautiana sana na Magufuli"
What kind of unmitigated idiocy is this?
Kwenye siasa kuna kitu kinaitwa “realpolitik”. Usipokuwa nacho sahau kuwa mwanasiasa. Magufuli mwenyewe asingedumu zaidi ya miaka 25 ndani ya siasa za CCM hadi kuwa Rais bila hiyo “janja”.Alikuwa wapi kuzungumza hayo mwanzoni?
Mbona Bashite alijivua ukuu wa mkoa akaamua kuingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge, kwani Magu alimuua?
Huo si unafiki, kwa nini msibani Chato aseme yeye na Magu ni kitu kimoja, hivi sasa US anasema Magu hivi Magu vile, vyote ni kumponda jamaa, kama yeye ni kiongozi shupavu, mpigania haki, mwanaharakati angemwambia machoni Magu "mzee unakosea", mbona Kambona alimchana Nyerere? Akatimua mbio ugenini..
Huyu mama ana alama zote za unafiki na uzandiki, na mtu wa namna hii sio mzuri hata kidogo.
Mangapi kayasema hapa ndani?acha unafiki wwSasa ndio akasemee nje ? Kwani angesema akiwa nchini angedhurika?, huko ndio kujipendekeza kwa wazungu
Si kweli lakini
Siku ya mwisho kila goti litapigwaRais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli.
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO-19.
View attachment 2188625
Right on spotCCM governance style. That’s the kind.
Idiocy? Er …
“Maendeleo hayana chama”. “Ukikosea kuchagua umeula wa chuya; sileti maendeleo kwa wapinzani”.
Labda utueleze amevunja sehemu gani ya kiapo? Kumbuka kiapo kinasema nini kuhusu siriJe si kosa kusema mambo ambayo aliapa kuyatunza ili kulinda collective responsibility? Je katiba haijavunjwa hapo?
Well said, ndio maana tukiwasikia watu wanasema wao ni CCM hawataki katiba mpya tunawashangaa sana. Katiba ni mwongozo wa nchi unaomgusa kila mtu bila kujali itikadi dini etcThis is going beyond control mtu wakumshauri na apatikane basi otherwise hii precendence ni mbaya sana na implication kwa mtu kama mimi ni kuwa mkuu wa nchi anauwezo wa kufanya apendalo na hakuna wakumwajibisha including kuhujumu nchi.
Duh alipata shida watu watasema anamsimangaRais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli.
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO-19.
View attachment 2188625
Acha roho mbaya. Kwa taarifa yako Mama alikuwa anamwambia JPM in black and white mambo aliyokuwa anaona hayaendi sawa hasa miaka miwili ya kwanza ya utawala wao mpaka akataka kujiuzulu. JPM asivyojua katiba akamwambia jiuzulu nitachagua mtu mwingine ndipo alipoambiwa kuwa SSH akijiuzulu tunarudi kwenye uchaguzi upya ndipo ikabidi waendelee tu hivyo hivyo. Siyo kwamba SSH anasema baada ya JPM kufarikiMama mnafiki sana, alikuwa wapi kusema haya yote toka mwanzoni wanafanya kazi?
Alianza kusema yeye na Magu ni kitu kimoja kule Chato, sasa hivi yupo marekani anamkandia Magu.
Mama muongo muongo na unafiki umemjaa.. Hivi kwa nini hata lisianguke na ndege life tu lisirudi..
Anachanganya wananchi, ana alama zote za unafiki.