#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

Samia aliwahi kusema kitu kama hiki mbele ya Magufuli wakati anamwapisha PM Majaliwa Dodoma November 2020.
 
Inatengwa Penati pale...., duh!! Nini kimetokea naona kama kipa amebanwa msuli goli lipo wazi kabisa.., lefa anapeta anamwambia mshambuliaji apige..., goli lipo wazi kabisa..., anakwenda anapigaaa... aahhhhhhh amepaisha !!!! Goli lipo wazi amepaisha!!! Ajabu iliyoje....
 
Utasema yote ...Pia ukiulizwa kuhusu yale mauaji ya miili kwenye viroba na kucharazwa risasi mingi TL wala usisite funguka tu mama ili 'fungu' liachiwe.

Hali ni mbaya Tz
Ya tundu ndo hadi alimtembelea unataka nn jaman
 
Na Vita ya kisiasa hutakiwa ipiganwe ndani ya nchi Kati yenu wenyewe bila kutaka kushikiwa fimbo na beberu, vinginevyo mtajikuta mmeiuza nchi
KUFA USEMWE


SI tulikubaliana marehemu hasemwi au muhenga aliyetunga msemo huu aliufuta
 
Mashehe waliungana na Magufuli kuomba Corona itoke mbali akiwemo shehe mkuu shehe Zuberi kwenye hili la Mungu kuombwa Corona itoke mama Samia hakuwa muumini kwa hilo aliamini zaidi solution. Za wazungu sio siri
 
Mama mnafiki sana, alikuwa wapi kusema haya yote toka mwanzoni wanafanya kazi?

Alianza kusema yeye na Magu ni kitu kimoja kule Chato, sasa hivi yupo marekani anamkandia Magu.

Mama muongo muongo na unafiki umemjaa.. Hivi kwa nini hata lisianguke na ndege life tu lisirudi..

Anachanganya wananchi, ana alama zote za unafiki.
 
OGOPA MWANAMKE AMBAYE KICHWAN NI MWEUPE YAAN ANA UBONGO LKN AKILI HAMNA .

OGOPA MWANAMKE MNAFIKI.
 
Mama kwanini Magufuli [emoji848][emoji848][emoji848] au ndio ile ukitaka kumuua mbwa wako mpe jina baya [emoji31][emoji31][emoji31]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…