Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini usijitulize, kunywa maji mengi na kumeza dawa zako?Kwa issue ya Corona kweli mama Samia alikuwa kutwa akihutubia anasema kagonjwa wazungu na solution zao za Corona...
Tatizo unachukulia vitu in a negative way.Huyu keshakataliwa.
Wacha aendelee kulipoka.
Anavyolopoka, ni wazi kabisa KICHWANINI MWEUPE.
Kutoboa kwa huyu mama labda ukatambike. Hivyo safari kila leo. Hapa tumepigwa asubuhi tuHuyu mama kiutani naona tunatoboa
Ya tundu ndo hadi alimtembelea unataka nn jamanUtasema yote ...Pia ukiulizwa kuhusu yale mauaji ya miili kwenye viroba na kucharazwa risasi mingi TL wala usisite funguka tu mama ili 'fungu' liachiwe.
Hali ni mbaya Tz
Yakitokea mafuliko ndo nyi mnamlaumu raisKutoboa kwa huyu mama labda ukatambike. Hivyo safari kila leo. Hapa tumepigwa asubuhi tu
KUFA USEMWE
SI tulikubaliana marehemu hasemwi au muhenga aliyetunga msemo huu aliufuta
JPM hakuweka watu lockdown, JPM hakufunga mipaka..Tatizo unachukulia vitu in a negative way.
Unajua walikufa wangapi tukianzia na yyJPM hakuweka watu lockdown, JPM hakufunga mipaka..
Ni kwann Tanzania ikawa Nchi pekee iloinuka kiuchumi katika wakati ambao, Nchi nyingi ziliathiriwa na janga la Uviko??
Achen zenu !!.
Wewe unauliza kufa?? Kufa watu wanakufa Kila siku.Unajua walikufa wangapi tukianzia na yy
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
OGOPA MWANAMKE AMBAYE KICHWAN NI MWEUPE YAAN ANA UBONGO LKN AKILI HAMNA .Mama mnafiki sana, alikuwa wapi kusema haya yote toka mwanzoni wanafanya kazi?
Alianza kusema yeye na Magu ni kitu kimoja kule Chato, sasa hivi yupo marekani anamkandia Magu.. Mama muongo muongo na unafiki umemjaa.. Hivi kwa nini hata lisianguke na ndege life tu lisirudi..
Anachanganya wananchi, ana alama zote za unafiki.