Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafiki huo. Mbona hakujiudhuli. Lakini pia kumbuka ushauri wa JPM ndiyo unaofanyiwa kazi na Dunia. UGONJWA HUU INABIDI TUUZOEE KWANI HAUTAISHA LEO.Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Sema yote mom wetu. Yule Dictator tunajua ya ndani alivyo Ku treat. Mungu akupe nguvu. Unayo support kubwa nyuma yako. Ningekuwa Mimi ni wewe katika hiyo nafasi na Yule Jamaa ningekimbikla uhamishoni kabisa. Lakini ulivumilia. Siku zote mvumilivu hula mbivu💅💅💅💅Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Uwanja wa taifa waliaga mwili mamilioni na sehemu kibao misongamano mikubwa akiwemo mama Samia wakuu wa vyombo.vyote vya ulinzi na usalama na hakuna aliyekuwa kachanja au kuvaa barakoa uliona walikufa kwa Corona?Unajua walikufa wangapi tukianzia na yy
hivi kwa akili yako ya kawaida tu . unataka kusema angeamua kujiuzuru mbele ya bwana yule angekuwa hai huyu?
Unajiuzuru kwa kuangalia nature ya kiongozi wako .
HahahaFunguka Mama.
Mnatoboa nini?Huyu mama kiutani naona tunatoboa
ACHAna na hayo majingaMnatoboa nini?
Tena la Lissu na wengine wote. Mama safisha mikono yako. Ile laana ya isipate kizazi chako. Hivi MTU unatoaje roho ya MTU?Utasema yote ...Pia ukiulizwa kuhusu yale mauaji ya miili kwenye viroba na kucharazwa risasi mingi TL wala usisite funguka tu mama ili 'fungu' liachiwe.
Hali ni mbaya Tz
This is not presidential at all. Mama anapaswa kufanya yake tu sasa bila kumtajataja marehemu
Collective responsibility holds. Otherwise angeachia ngazi those days
Mkuu unakosea.Kama kweli walitofautiana lakini akashindwa kusimamia alichokiamini mpaka mwisho basi hakuwa na msimamo.
Sikuwahi kumuona Samia akiwa amevaa barakoa wakati wa Magufuli, mtu pekee niliyemuona amevaa barakoa alikuwa ni Kikwete pekee, au kama, yupo aliyemuona Samia kuvaa barakoa wakati ule hata anioneshe picha na Magufuli akionekana.
Inawezekana Samia aliogopa kitumbua chake kisiingie mchanga akawa tayari kuweka reheni afya yake.
Basi hangaya ni dhaifu sanahivi kwa akili yako ya kawaida tu . unataka kusema angeamua kujiuzuru mbele ya bwana yule angekuwa hai huyu?
Unajiuzuru kwa kuangalia nature ya kiongozi wako .
Yaani nilitaka uteketeze kila kitu. Mshenzi yule anakebehi COVID. Yaani mi ilinichapa Mungu akaniokoa. Nikapoteza Shangazi zangu wawili na Kaka zangu wawili. Achilia mbali ndugu, Jamaa na marafiki na majirani. Yaani alaaniwe Lucifer Yule aungue Motoni. Ninaamini alikutana na wale waliopotea enzi zake.Na hatimaye covid ikapita naye, na Chief Minister wake, na washkaji zake wengine. So sad
Ayaseme yote tu ni nani alisuka mipango na kwenda kufanya ule 'umafia'?, yeye hana hatia kama akisema, shida iko wapi?Ya tundu ndo hadi alimtembelea unataka nn jaman
Kwa kusema hivyo huyo mamako ndio unga kwenye kibaba chako umejaa?
Kwa issue ya Corona kweli mama Samia alikuwa kutwa akihutubia anasema kagonjwa Kapoo!!!!
Magufuli hajawahi sema Corona haipo uongo alisema dawa haijapatikana tutumie maombi na dawa za asili zetu wenyewe sababu Tatizo kubwa huko kwenye wataalamu wanakufa na kuanguka maiti mabarabarani
Mama Samia dini hana akawa hana akawa anaamini dawa za wazungu na barakoa
Magufuli akasema tusali Siku Tatu na kujifukiza na kunywa dawa ya kienjyeji ikatusaidia.Hakukuwa na lockdown wala nini
Corona Tanzania bila Mungu kuingilia kati tungekufa kama mbwa kwenye kuaga marehemu Magufuli. Ule msongamano hakuna ambaye ⁶angekuwa hai leo akiwemo mama Samia sababu hakuweko aliyechanja wala kuvaa barakoa.Hakukuwa na lockdown watu wanajazana kwenye daladala Mungu akatuepusha
F
Kwenye Corona tofauti ya Magufuli na mama Samia ilikuwa ya kidini kati ya mtumaini Mungu magufuli na mpagani mama Samia ambaye hakuona umuhimu wa Mungu kwenye kukabiliana na Corona na matumizi ya njia mbadala local grown mwabudu wazungu na solution zao za Corona