#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

Asisahau Waziri wa Fedha Mh. Mwigulu Nchemba juzi alisema wakati wa utawala wa wamu ya 5, Hayati Rais Maghufuli alichukua mkondo tofauti na mataifa mengi hali ambayo ilifanya uchumi wetu uendelee kukua kwa wastani wa 4.8%.
Na wakati fulani aliwahi kunukuliwa Rais Samia akisema yeye na Hayati Rais Maghufuli ni kitu kimoja.

Sasa haya maneno yanatoka wapi kulia lia huko ugenini?
 
Nashukuru huyu Mama hakuwa Rais kipindi cha Corona, bila shaka mpaka leo Tanzania tungekuwa kifungoni.

Huyu Mama taifa likipitia kigumu kama cha Corona na mashinikizo kibao ya wazungu naamini hawezi kuhimili kifupi Mama ni mwepesi sana.

Nilikuwa na imani kidogo na Mama Samia ila sasa imekufa kabisa, kifupi mama hana dira wala mwongozo wa Taifa anaongoza kimazoea tu.

Kama CCM mnalipenda Taifa letu huyu Mama anatakiwa akamilishe tu hii awamu.
 
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Unafiki huo. Mbona hakujiudhuli. Lakini pia kumbuka ushauri wa JPM ndiyo unaofanyiwa kazi na Dunia. UGONJWA HUU INABIDI TUUZOEE KWANI HAUTAISHA LEO.
 
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Sema yote mom wetu. Yule Dictator tunajua ya ndani alivyo Ku treat. Mungu akupe nguvu. Unayo support kubwa nyuma yako. Ningekuwa Mimi ni wewe katika hiyo nafasi na Yule Jamaa ningekimbikla uhamishoni kabisa. Lakini ulivumilia. Siku zote mvumilivu hula mbivu💅💅💅💅

KAZI Iendelee. Endelea kuimarisha mahusiano mazuri ndani na nje ya nchi. Tanzania siyo kisiwa.
 
Unajua walikufa wangapi tukianzia na yy
Uwanja wa taifa waliaga mwili mamilioni na sehemu kibao misongamano mikubwa akiwemo mama Samia wakuu wa vyombo.vyote vya ulinzi na usalama na hakuna aliyekuwa kachanja au kuvaa barakoa uliona walikufa kwa Corona?
 
hivi kwa akili yako ya kawaida tu . unataka kusema angeamua kujiuzuru mbele ya bwana yule angekuwa hai huyu?
Unajiuzuru kwa kuangalia nature ya kiongozi wako .

Nampenda sana huyu mama, anajiamini haswaa, na hayumbishwi na wasiompenda.....
 
This is not presidential at all. Mama anapaswa kufanya yake tu sasa bila kumtajataja marehemu

Collective responsibility holds. Otherwise angeachia ngazi those days

Hamna cha collective responsibility na shetani.
 
Kama kweli walitofautiana lakini akashindwa kusimamia alichokiamini mpaka mwisho basi hakuwa na msimamo.

Sikuwahi kumuona Samia akiwa amevaa barakoa wakati wa Magufuli, mtu pekee niliyemuona amevaa barakoa alikuwa ni Kikwete pekee, au kama, yupo aliyemuona Samia kuvaa barakoa wakati ule hata anioneshe picha na Magufuli akionekana.

Inawezekana Samia aliogopa kitumbua chake kisiingie mchanga akawa tayari kuweka reheni afya yake.
Mkuu unakosea.
Makamu wa rais ni kivuli tu hana kauli.
Pili ulitaka mama apotezwe?

Unakumbuka kulitokea fununu na tetesi kuwa amejiuzulu?
Hii ilikuwa ya kweli hadi wastaafu waliingilia kati.
 
hivi kwa akili yako ya kawaida tu . unataka kusema angeamua kujiuzuru mbele ya bwana yule angekuwa hai huyu?
Unajiuzuru kwa kuangalia nature ya kiongozi wako .
Basi hangaya ni dhaifu sana
 
Na hatimaye covid ikapita naye, na Chief Minister wake, na washkaji zake wengine. So sad
Yaani nilitaka uteketeze kila kitu. Mshenzi yule anakebehi COVID. Yaani mi ilinichapa Mungu akaniokoa. Nikapoteza Shangazi zangu wawili na Kaka zangu wawili. Achilia mbali ndugu, Jamaa na marafiki na majirani. Yaani alaaniwe Lucifer Yule aungue Motoni. Ninaamini alikutana na wale waliopotea enzi zake.
 
Ya tundu ndo hadi alimtembelea unataka nn jaman
Ayaseme yote tu ni nani alisuka mipango na kwenda kufanya ule 'umafia'?, yeye hana hatia kama akisema, shida iko wapi?

Kama alipojitetea hilo la uviko na La Lissu apite mulemule.
 
Kwa issue ya Corona kweli mama Samia alikuwa kutwa akihutubia anasema kagonjwa Kapoo!!!!

Magufuli hajawahi sema Corona haipo uongo alisema dawa haijapatikana tutumie maombi na dawa za asili zetu wenyewe sababu Tatizo kubwa huko kwenye wataalamu wanakufa na kuanguka maiti mabarabarani

Mama Samia dini hana akawa hana akawa anaamini dawa za wazungu na barakoa
Magufuli akasema tusali Siku Tatu na kujifukiza na kunywa dawa ya kienjyeji ikatusaidia.Hakukuwa na lockdown wala nini

Corona Tanzania bila Mungu kuingilia kati tungekufa kama mbwa kwenye kuaga marehemu Magufuli. Ule msongamano hakuna ambaye ⁶angekuwa hai leo akiwemo mama Samia sababu hakuweko aliyechanja wala kuvaa barakoa.Hakukuwa na lockdown watu wanajazana kwenye daladala Mungu akatuepusha
F
Kwenye Corona tofauti ya Magufuli na mama Samia ilikuwa ya kidini kati ya mtumaini Mungu magufuli na mpagani mama Samia ambaye hakuona umuhimu wa Mungu kwenye kukabiliana na Corona na matumizi ya njia mbadala local grown mwabudu wazungu na solution zao za Corona

Hakuna shetani anategemea Mungu. Acha mama Samia aseme ukweli kuhusu yule dhalimu.
 
Back
Top Bottom