#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

Aaah wapi acha aseme ukweli. Ana hofu ya Mungu huyo. Umesikia watu wangapi wamepotea katika utawala wake toka 19th March? Hayupo na hatakuwepo.
Wale vijana wa pale kariakoo wamenda wapi?

Hofu ya Mungu alafu anachomea watu masoko?
 
Ile ambayo iliwezesha rais asifariki kwa covid kama hapo Kenya.

Ukiona hadi rais amefariki kwa covid jiulize kina John wangapi wamefariki mtaani
Wewe ndio daktari wake kwamba alifariki kwa covid?

Hizo njia mbona ziliua watu laki 5 Usa na kwingineko?

Kwa hiyo hizo njia zilikuwa ni za kumlinda rais tu?

Je covid sasa imeisha duniani?

Mbona mnakuwa wapumbavu namna hii?
 
Kufariki rais ni kielelezo kuwa hali ilikuwa mbaya sana. Lakini nani anajua wangapi walifariki wakati alikuwa hataki hata kukiri kama ugonjwa wenyewe upo?
 
Sukuma gang tulia maana hata dhalimu hakufanya maisha yawe rahisi. Kupanick hakutakusaidia kitu wakati tabia za dhalimu zinawekwa wazi.
Zikiwekwa wazi ndio umasikini kwenye ukoo wako utaisha?

Ndio machadema yataenda ikulu?

Hata hangaya akiropoka namna gani kibano kiko palepale
 
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Kuzipata hela za mabeberu lazima uwarambe miguu hata kama ni michafu.
 
MMzee
Mimi huwa sijibiwi hivyo wewe...alpha na omega...chuma...jiwe leo hii watu wanajipigia tuu!

Mzee kama angestaafu na kukubali kutoka madarakani basi angefariki baada ya mwaka mmoja tu maana sio kwa kusagiwa kunguni

Mimi huwa sijibiwi hivyo wewe...alpha na omega...chuma...jiwe leo hii watu wanajipigia tuu!

Mzee kama angestaafu na kukubali kutoka madarakani basi angefariki baada ya mwaka mmoja tu maana sio kwa kusagiwa kunguni hivi

Mama ni kinyonga na ndumilakiwili. Hawa watu hata kwa Mungu huwa hawana nafasi hata kidogo
Yule ni Hamnazo Kabisa. Ndio shida ya kuongozwa na mtu anaeingia period Kila wakati
 
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Heeeee. Wee haya ngoja waje walinda legacy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaweza kuwa mtu mzima kwa muonekano lakini..... Mmmh!

Kwa hiyo kuna mahali ambapo watawala wanapaswa kwenda kufunguka bila kuficha ili iwe nini yaani,

Najiuliza tuu!
 
Duh! Wamarekani sio poa,unaweza ukafunguka mpaka ya chumbani!
 
Hilo naamini, na ukiangalia nature ya Jiwe alikuwa haamini katika mwanamke hasa katika nafasi za juu.

Yaani pale alimu'appoint' tu kama bahati mbaya kulinda 'empire' kwa ajili ya future yake ya 'umilele'!
Hakuna msukuma anayeamini kwa mwanamke . Nimeishi na hiyo jamii .
Msukuma yuko radhi aiamini ng'ombe kuliko mwanamke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lakini kwa madudu ya huyu mama jiwe alikuwa sahihi kutomuamini .
Kigeugeu .
 
Kufariki rais ni kielelezo kuwa hali ilikuwa mbaya sana. Lakini nani anajua wangapi walifariki wakati alikuwa hataki hata kukiri kama ugonjwa wenyewe upo?
Hali mbaya wapi?

Kwani mbona huku mtaani hakukukua na vifo?

Na ushukuru hukufungiwa ndani maana ungekufa kwa njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…