Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Wale vijana wa pale kariakoo wamenda wapi?Aaah wapi acha aseme ukweli. Ana hofu ya Mungu huyo. Umesikia watu wangapi wamepotea katika utawala wake toka 19th March? Hayupo na hatakuwepo.
Hofu ya Mungu alafu anachomea watu masoko?