ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 803
Tudokezee kidogo yaliyojiri mkuu...ututoe matongotongoSema yote mom wetu. Yule Dictator tunajua ya ndani alivyo Ku treat. Mungu akupe nguvu. Unayo support kubwa nyuma yako. Ningekuwa Mimi ni wewe katika hiyo nafasi na Yule Jamaa ningekimbikla uhamishoni kabisa. Lakini ulivumilia. Siku zote mvumilivu hula mbivu💅💅💅💅
KAZI Iendelee. Endelea kuimarisha mahusiano mazuri ndani na nje ya nchi. Tanzania siyo kisiwa.