Rais Samia: Inashangaza kifo cha Kibao kimeibua wimbi kubwa, hii sio sawa, kifo ni kifo

Kama ana washauri na ndio wamempa ushauri aseme haya aliyosema leo basi nina uhakika 100% hao washauri wake hawampendi na hawamtakii mema.
 
Aise

Ova
 
Nimecheka kwa nguvu, bado mnapambana na ukweli kwa hizo mbinu za kizee? Safari hii 40 za mwizi zimefika. Aliyemwambia huyu Mama akitumia mbinu za dhalimu magu atatisha watu, basi ameukalia.
kwahiyo ukiona ukweli unahisi mbinu halafu tena eti unacheka?

uko sawa kweli gentleman? 🤣

malizeni uchaguzi wenu bana kwa amani, waTanzania tumechoka kuzika watu lakini pia tumechoka kuskia habari za Chadema kutekana na kupotezana kwasababu tu za uongozi wa Chama, kuweni na utu..

hata hivyo mtaulizwa siku ya mwisho 🐒
 
Pia amefananisha kifo cha mzee Kibao na vifo vingine tu mfano wanaohisiwa kuwa wachawi, albino nk.

Nimemshangaa sana rais sikuamini masikio yangu. Tuko nyuma sana.
Wwe kifo unakijua ni cha Mzee kibao tu!? Wengine vifo vyao huna habari navyo au siyo!!??
 
Pia amefananisha kifo cha mzee Kibao na vifo vingine tu mfano wanaohisiwa kuwa wachawi, albino nk.

Nimemshangaa sana rais sikuamini masikio yangu. Tuko nyuma sana.
Nilikua naona watu wanasema mweupe napita ila leo nimeamini
 
Yajayo yanafurahisha
Naona kuna washaruhusiwa
Kupita kwenye taa nyekundu

Ova
 
Bado hizi propaganda za kizee mnazitumia kwenye kizazi hiki?!
 
Kifo ni kifo wanaokufa ni wapuuzi ndio maana wenye mamlaka hawajali kitu,kumbe siku Rais akipigwa risasi hadharani na akafa tusishituke maana kifo ni kifo tu.Basi yote yumuachie MUNGU TU.
 
Kifo ni kifo wanaokufa ni wapuuzi ndio maana wenye mamlaka hawajali kitu,kumbe siku Rais akipigwa risasi hadharani na akafa tusishitike maana kifo ni kifo tu.Basi yote yumuachie MUNGU TU.
 
Bado hizi propaganda za kizee mnazitumia kwenye kizazi hiki?!
Maombi yangu kwa Mungu yako pale pale, Chadema malizeni uchaguzi wenu kwa salama na amani.

tafadhalini sana jaman dah, mtauana mpaka lini sasa ndrugo zango kisa uongozi tu?🐒
 

Ataelewa iwapo wanae watawa victims. Yaani watu kupoteza na kuuawa kwake ni matukio ya kawaida kwa vile yanatokea kila mahali. Seriously!?

Actually, alichokisema ni dharau kubwa kwa familia ya Mzee Kibao ukizingatia kuwa alitoa statement na kutuma Waziri wake kuonyesha sympathy.

Halafu kumlinganisha ule ukatili na ujangili... She's too Naive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…