Rais Samia ingilia kati suala la Mbowe ukubalike zaidi kisiasa; kesi ikitupwa au akishinda itakuharibia taswira yako na ya CCM


Una mshauri Rais aingilie mhimili wa Mahakama ili mseme Mahakama zetu sio huru? Mbowe akiachiwa kwa order ya Rais hawezi kuwa huru sababu Mahakama ndio inayotakiwa kuthibitishia umma kwamba hakutenda kosa.

Mimi naona Selikari inataka kumlipa Mbowe fidia kwa uharibifu wa mali zake lakini wakaona njia nyepesi ni hii wampe kesi ashinde afungue kesi ya kudai fidia wamlipe mabilion.
 
Acha ushabiki, wewe kila kitu watu wanachoandika unaona kina ajenda ya wapinzani? Jaribu kutumia akili yako vizuri na kuona mambo nje ya box la CCM
Wewe ndiyo uangilie vitu nje ya box. Huwezi kuja na assumption iliyoegemea upande mmoja tu na wenye hoja za kitoto hivi. Halafu na wewe unajiita great thinker!!!
 
Mimi sio raisi kwa sababu sitaki kujiingiza kwenye siasa
Mtu ambae hataki kujiingiza kwenye siasa hawezi kutoa ushauri wa kipuuzi hivi. Mbona haukumshauri raisi aingilie kati kesi ya Sabaya au yeye sio mtanzania? Sirro ashasema kwamba police wana uhakika wa kutosha na kile walichomkamatia Mbowe, sasa ww ni nani kumtaka raisi aingilie kuzuia haki isitendeke? Fikiria kwamba kabla mahakama haijathibitisha kupitia ushahidi kuwa fulan kama kosa, hakuna mtu ambae yuko tayar kukubali kwamba alifanya hiki au kile. Sasa raisi akiingilia mahakama ili Mbowe aachiwe, kesho Sabaya na yeye atataka hivyo hivyo maana na yeye ana watu wake wanaoona kuwa ameonewa. So Sabaya akiachiwa na wengine pia watafuatia. Matokeo yake mahakama zetu zitakuwa hazina kazi za kufanya zaidi ya kuwashtaki watu na kuwaachia kiholela olela.
 
Ushauri kama wa mpiga ramli. Natamani ujitathmini akili yako.
 


Hawezi kuingilia moja kwa moja mpaka mahakama itoe uamuzi. Anachoweza kufanya ni kuongea tu kwamba wanasiasa waachiwe kufanya shughuli zao na mwendesha mashitaka ndiye pekee anaweza kufuta kesi. Lakini kama uamuzi wa mahakama ukitolewa ingekuwa rahisi kwa Raisi kusamahe au mbowe kuachiwa. Tatizo ni kwamba kesi za Tanzania zinachukua muda sana
 
kama hujui chochote kaa kimya na si nawe kuonekana unaweza kutype kumbe rubbish tupu, pumbavu
 
Bavicha bhana!

Aingilie mahakama?

Acheni gaidi apambane mahakamani
 
Binafsi napenda kesi isikilizwe na mahakama iwe huru kutoa maamuzi, Kama kweli alifanya vitendo hivyo achukuliwe hatuna na Kama Hana hatia mahakama imwachie.
 
Serikali ya Marekani imetoa ushauri serikali ya ccm wakae na chadema meza ya mazungumzo, je serikali ya cccm watakubali? wanaweza kuwakatalia Marekani? kwa hili la Mbowe serikali imejiweka pagumu sana?
 
Usitunyime uhondo wa kuona mchakato mzima wa kesi kwa ushauri mbovu kiasi hiki. Tunaomba kesi iendelee na taratibu zote zifuatwe.
 
Kusikiliza na kuyaweka moyoni maneno ya u-chagizo wa kisiasa wenye lengo la kujidai tu ni udhaifu mkubwa sana kiungozi.Tujifunze kuishi na maneno ya wanasiasa wachanga,wenye uwezo wa kati na hata wale wakubwa na ufahamu mpana.Ndiyo siasa.Laa sivyo tutakuwa tunaishi kwenye kambi ya chipukizi porini.
 
Usitunyime uhondo wa kuona mchakato mzima wa kesi kwa ushauri mbovu kiasi hiki. Tunaomba kesi iendelee na taratibu zote zifuatwe.
Unajua, kwa mtu wa Chadema, msimamo wako ni 100% correct, na uko very intelligent hapa. Ila CCM hawaoni kabisa hili, wanaloona kuingilia kati ni kitu mbaya, hawatambui ni mbaya zaidi kutoingilia kati!
 
Binafsi napenda kesi isikilizwe na mahakama iwe huru kutoa maamuzi, Kama kweli alifanya vitendo hivyo achukuliwe hatuna na Kama Hana hatia mahakama imwachie.
Hivi kweliu kweli unadhani Mbowe alipanga ugaidi wa kuua viongozi? Huyu Raisi Samia kuna watu wanamwingiza cha kiume!
 
From Chadema's perspective definitely very bad advice. From CCM's perspective definitely very good advice. To a myopic CCM zealot, very bad advice. I am not on either of the two sides.

But then, the good thing about opinion is that it is free, even to those that should not be voicing theirs.
 

Mkuu kabla ya kuandika kulitokea nini. Are you stressed out. Ungejaribu kufanya mazoezi ya kushauriana na ubongo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…