Rais Samia ingilia kati utoaji wa mikopo mwaka 2023. Kwa Trend hii ya HESLB, wengi hawatakwenda vyuoni

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Ni vurugu tupu! Angalia msg zinazotumwa kwenye akaunti za waombaji.

1. Ada ya University 1.5M, unapata 200,000 Tsg, 230,000 (walio wengi)

2. Akaunti sasa zinasoma Applicants profile is NOT SEEN! Sijui imefutika saa ngapi, nani kaifuta.

3. Congratulations your application is successful, BAADAYE INASOMA "YOUR APPLICATION IS NOT COMPLETE.

4. Na blah blah zingine!
 
Sio Kila kitu ni Cha Rais ,toa ujinga hapa.

Kuna CEO wa Bodi ya Mikopo,Kuna Waziri,Kuna Viongozi wenu wa Vyuo
 
Ni vurugu tupu! Angalia msg zinazotumwa kwenye akaunti za waombaji.

1. Ada ya University 1.5M, unapata 200,000 Tsg, 230,000 (walio wengi)

2. Akaunti sasa zinasoma Applicants profile is NOT SEEN! Sijui imefutika saa ngapi, nani kaifuta.

3. Congratulations your application is successful, BAADAYE INASOMA "YOUR APPLICATION IS NOT COMPLETE.

4. Na blah blah zingine!
Nyinyi wasomi wa vyuo vikuu wa miaka na siku hizi, hovyo kabisa. I.Q. zenu mmejikita kujifunza na kuimba nyimbo za akina Diamond, Kiba, n.k., kushabikia Yanga, Simba, Man City, n.k., "uchawa" kwa Chama tawala, uasherati, na kadhalika. Hayo ndiyo maeneo mumebobea. Kuwa "think tank" ya nchi, ... mmh!
Sasa kama vyuo hivi vikuu walimu wao ni akina Profesa Kabudi, Mkumbo, unategemea kupata mazao gani? Ni kupata mazao waoga, wezi, wanafiki, waongo, vigeugeu, wazinzi, wenye uwezo wa chini sana wa kufikiri, na sifa nyingine zinazoambatana na hizo. Ni shida Tanzania na Afrika!
Watu "mnapigwa" Bodi ya Mikopo kwa uwazi kabisa, mnalia lia badala ya kuchukuwa hatua. Hovyoo!
Pindueni meza 2025; ebo!
Wahamasisheni na wazazi, ndugu, jamaa, marafiki, majirani meza ipinduliwe 2024 na 2025.
Ninyi ndio wasomi tunawategemea, tunashangaa mnalialia kutafuta huruma; mnaboa mjue eeh!
Andamaneni kwa amani; Daadeki!
Mkipata boom, kazi kushindana kununua tv na subufa na mademu. Tuna wahitimu wa vyuo vikuu wa ajabu sana Nchi hii. Hata ukiingia ofisini, uwezo wao mdogoo! Kutaka pesa za rushwa sasa!
Hata viwango vya elimu vitolewavyo na vyuo vikuu kwa sasa vinatia mashaka na kichefuchefu; wewe kijana anahitimu form IV daraja la IV la pointi 30 huko, anaungaunga na baada ya miaka mitano au sita unamkuta na shahada ya uzamili! Form IV failure! Ndio wakurugenzi na DCs wengi tulionao kwenye H/Shauri na wilaya zetu Nchini. Hii ni through recategorization policy. Ni sheeda!
 
Hapo ni mkopo sijui ingekuwa ruzuku ingekuwaje
 
Tanzania sijui ukanjanja utaisha lini mdogo wangu wamemuwekea hivi
IMG-20231028-WA0000.jpg

Wakati mwanzo walimwandikia congratulation application is completed wait for allocation process hii inamaana gani?
 
Nyinyi wasomi wa vyuo vikuu wa miaka na siku hizi, hovyo kabisa. I.Q. zenu mmejikita kujifunza na kuimba nyimbo za akina Diamond, Kiba, n.k., kushabikia Yanga, Simba, Man City, n.k., "uchawa" kwa Chama tawala, uasherati, na kadhalika. Hayo ndiyo maeneo mumebobea. Kuwa "think tank" ya nchi, ... mmh!
Sasa kama vyuo hivi vikuu walimu wao ni akina Profesa Kabudi, Mkumbo, unategemea kupata mazao gani? Ni kupata mazao waoga, wezi, wanafiki, waongo, vigeugeu, wazinzi, wenye uwezo wa chini sana wa kufikiri, na sifa nyingine zinazoambatana na hizo. Ni shida Tanzania na Afrika!
Watu "mnapigwa" Bodi ya Mikopo kwa uwazi kabisa, mnalia lia badala ya kuchukuwa hatua. Hovyoo!
Pindueni meza 2025; ebo!
Wahamasisheni na wazazi, ndugu, jamaa, marafiki, majirani meza ipinduliwe 2024 na 2025.
Ninyi ndio wasomi tunawategemea, tunashangaa mnalialia kutafuta huruma; mnaboa mjue eeh!
Andamaneni kwa amani; Daadeki!
Mkipata boom, kazi kushindana kununua tv na subufa na mademu. Tuna wahitimu wa vyuo vikuu wa ajabu sana Nchi hii. Hata ukiingia ofisini, uwezo wao mdogoo! Kutaka pesa za rushwa sasa!
Hata viwango vya elimu vitolewavyo na vyuo vikuu kwa sasa vinatia mashaka na kichefuchefu; wewe kijana anahitimu form IV daraja la IV la pointi 30 huko, anaungaunga na baada ya miaka mitano au sita unamkuta na shahada ya uzamili! Form IV failure! Ndio wakurugenzi na DCs wengi tulionao kwenye H/Shauri na wilaya zetu Nchini. Hii ni through recategorization policy. Ni sheeda!
Matusi ya nini? Hoja yako inaweza kuwa na mashiko, sasa matusi ya nini?
 
Ukute ni mbinu ya kupunguza graduates...
Wanatoa mikopo,halafu hairudishwi.Watu wanakufa huku hawajaingia kwenye system.
 
Matusi ya nini? Hoja yako inaweza kuwa na mashiko, sasa matusi ya nini?
Nashangaa sana hata mimi kwa be yeye kabahatika kusoma na kupata ajira anadharau wasomi wote wa sasa hivi!
Yaani kuna watu hata mantiki ya mjadala hajui anatukana tu bila sababu!
Kwa kweli sio kitu vizuri!
 
Ni vurugu tupu! Angalia msg zinazotumwa kwenye akaunti za waombaji.

1. Ada ya University 1.5M, unapata 200,000 Tsg, 230,000 (walio wengi)

2. Akaunti sasa zinasoma Applicants profile is NOT SEEN! Sijui imefutika saa ngapi, nani kaifuta.

3. Congratulations your application is successful, BAADAYE INASOMA "YOUR APPLICATION IS NOT COMPLETE.

4. Na blah blah zingine!
Elimu ya chuo kikuu itakua bure,nitafuta Bodi ya mikopo ya elimu ya juu!

Haiwezekani serikali ipate hasara kwa kusomesha bila wahitimu kurudisha hela!!

Nitaandaa vyuo vya kati ufundi uwe ndio nguzo kuu ya uchumi fedha za Bodi zitatumika kukopesha vijana waliohitimu ufundi stadi husika!

Naomba kura yako nikitangaza nia!!
 
Back
Top Bottom