Sio Kila kitu ni Cha Rais ,toa ujinga hapa.Ni vurugu tupu! Angalia msg zinazotumwa kwenye akaunti za waombaji.
1. Ada ya University 1.5M, unapata 200,000 Tsg, 230,000 (walio wengi)
2. Akaunti sasa zinasoma Applicants profile is NOT SEEN! Sijui imefutika saa ngapi, nani kaifuta.
3. Congratulations your application is successful, BAADAYE INASOMA "YOUR APPLICATION IS NOT COMPLETE.
4. Na blah blah zingine!
Nyinyi wasomi wa vyuo vikuu wa miaka na siku hizi, hovyo kabisa. I.Q. zenu mmejikita kujifunza na kuimba nyimbo za akina Diamond, Kiba, n.k., kushabikia Yanga, Simba, Man City, n.k., "uchawa" kwa Chama tawala, uasherati, na kadhalika. Hayo ndiyo maeneo mumebobea. Kuwa "think tank" ya nchi, ... mmh!Ni vurugu tupu! Angalia msg zinazotumwa kwenye akaunti za waombaji.
1. Ada ya University 1.5M, unapata 200,000 Tsg, 230,000 (walio wengi)
2. Akaunti sasa zinasoma Applicants profile is NOT SEEN! Sijui imefutika saa ngapi, nani kaifuta.
3. Congratulations your application is successful, BAADAYE INASOMA "YOUR APPLICATION IS NOT COMPLETE.
4. Na blah blah zingine!
Ungemjibu kistaarabu ungepungikiwa nini?Sio Kila kitu ni Cha Rais ,toa ujinga hapa.
Kuna CEO wa Bodi ya Mikopo,Kuna Waziri,Kuna Viongozi wenu wa Vyuo
Hii ndo masna halisi ya POVU lisilo na maana. Yaani mada nyingine comment nyingine, idiot.
Nmekosea ku-quote asee. Sikulenga kumjibu yeye.Ungemjibu kistaarabu ungepungikiwa nini?
Hapo ni mkopo sijui ingekuwa ruzuku ingekuwajeNi vurugu tupu! Angalia msg zinazotumwa kwenye akaunti za waombaji.
1. Ada ya University 1.5M, unapata 200,000 Tsg, 230,000 (walio wengi)
2. Akaunti sasa zinasoma Applicants profile is NOT SEEN! Sijui imefutika saa ngapi, nani kaifuta.
3. Congratulations your application is successful, BAADAYE INASOMA "YOUR APPLICATION IS NOT COMPLETE.
4. Na blah blah zingine!
huyu ni ignored , nilimblock miaka mingiUngemjibu kistaarabu ungepungikiwa nini?
Matusi ya nini? Hoja yako inaweza kuwa na mashiko, sasa matusi ya nini?Nyinyi wasomi wa vyuo vikuu wa miaka na siku hizi, hovyo kabisa. I.Q. zenu mmejikita kujifunza na kuimba nyimbo za akina Diamond, Kiba, n.k., kushabikia Yanga, Simba, Man City, n.k., "uchawa" kwa Chama tawala, uasherati, na kadhalika. Hayo ndiyo maeneo mumebobea. Kuwa "think tank" ya nchi, ... mmh!
Sasa kama vyuo hivi vikuu walimu wao ni akina Profesa Kabudi, Mkumbo, unategemea kupata mazao gani? Ni kupata mazao waoga, wezi, wanafiki, waongo, vigeugeu, wazinzi, wenye uwezo wa chini sana wa kufikiri, na sifa nyingine zinazoambatana na hizo. Ni shida Tanzania na Afrika!
Watu "mnapigwa" Bodi ya Mikopo kwa uwazi kabisa, mnalia lia badala ya kuchukuwa hatua. Hovyoo!
Pindueni meza 2025; ebo!
Wahamasisheni na wazazi, ndugu, jamaa, marafiki, majirani meza ipinduliwe 2024 na 2025.
Ninyi ndio wasomi tunawategemea, tunashangaa mnalialia kutafuta huruma; mnaboa mjue eeh!
Andamaneni kwa amani; Daadeki!
Mkipata boom, kazi kushindana kununua tv na subufa na mademu. Tuna wahitimu wa vyuo vikuu wa ajabu sana Nchi hii. Hata ukiingia ofisini, uwezo wao mdogoo! Kutaka pesa za rushwa sasa!
Hata viwango vya elimu vitolewavyo na vyuo vikuu kwa sasa vinatia mashaka na kichefuchefu; wewe kijana anahitimu form IV daraja la IV la pointi 30 huko, anaungaunga na baada ya miaka mitano au sita unamkuta na shahada ya uzamili! Form IV failure! Ndio wakurugenzi na DCs wengi tulionao kwenye H/Shauri na wilaya zetu Nchini. Hii ni through recategorization policy. Ni sheeda!
Acheni tu vyuo tumpe mwamposa afungue kanisaTUONGEZEWE MKOPO WA ADA vinginevyo hatuendi vyuoni kwa sababu hatuwezi kulipa hio ada ndani ya mwaka mmoja
Nashangaa sana hata mimi kwa be yeye kabahatika kusoma na kupata ajira anadharau wasomi wote wa sasa hivi!Matusi ya nini? Hoja yako inaweza kuwa na mashiko, sasa matusi ya nini?
Elimu ya chuo kikuu itakua bure,nitafuta Bodi ya mikopo ya elimu ya juu!Ni vurugu tupu! Angalia msg zinazotumwa kwenye akaunti za waombaji.