Rais Samia, jaribio lolote la kuipa Zanzibar mamlaka kamili ndilo litakuwa anguko lako

Anayejua tutapoteza nini anifafanulie,mimi binafsi sina cha kupoteza.
 
You tell me, mimi najua vyote ni nchi zinazoundwa na visiwa vingi na kuna tofauti za kisiasa hutokea ila bado havijawahi kujitenga

Kama hujui, sasa tija ya kujaribu kulinganisha vitu usivyovijua vizuri itatoka wapi?
 

Huu Si muungano ni uvamizi wa Tanganyika kwa Zanzibar
 
Tatizo hulioni? Ukiiondoa “Tanganyika” na ikasimama yenyewe, Rais wa Muungano wa “Tanzania” atabaki anahanghang tu. Nyerere hakuwa fala.

Harafu kwanini tujipe mzigo wa kuwa na Serikali ya tatu isiyokuwa ardhi wala tija?
Laanatullahi Nyerere aliivamia Zanzibar Na kuuwa maelfu ya watu.na ndio akawa anaogopa kuvunjika kwa uvamizi aliouita muungano kwani angalishitakiwa
 
Nje ya Muungano, hakuna Zanzibar isipokuwa kuna Unguja na Pemba. Kama wanadhani sumu inaonjwa, wajaribu waone. Haitaisha miaka mitano kabla Tanganyika haijapokea wakimbizi kutoka upande huo!

Hayo ni maneno ya Laanatullahi aliyevamia Zanzibar Na kuuwa maelfu ya watu. Laanatullahi Nyerere kwani kablar ya kuivamia Zanzibar hiyor Unguja Na Pemba haikuweko?
 
wapeni wakojani nchi yao, in 1 yrs yatakuja mataifa mengi huru Zanzibar, Moja itaitwa Jamhuri ya Unguja na Nyingine itaitwa jamhuri ya Pemba...

Watuachie nasisi wamakonde Taifa letu Tanganyika, kama vipi ipigwe kura..

Kanisa katoliki Na Padri Laanatullahi Nyerere ndiyo maneno yao hayo katika vita vyao dhidi ya uislamu Zanzibar
 
Acha wajitenge aisee, kila mtu apambane na hali yake
 
Narudia tena hakuna mtanzania mpumbavu wa kupigia kura mwanamke tena asiye na akili timamu ,kuwa rais 2025 ...shika sana haya maneno yangu
Kwa mambo anayofanya huko mikoani anaweza kupata kura nyingi kuliko alizopata JPM.

Mfumo dume unatawala akili yako na hakuna wa kukusaidia, usipoangalia utaenda ndani ya kaburi na kinyongo.
 
Huu ndio ukweli mchungu..zenji ni kupe kwa Tanganyika kupitia serikali ya JMT.

Hii si sawa.

I go for one Government.

#MaendeleoHayanaChama
 
kwani kuna tatizo gani kama nchi ya Zanzibar itapata uhuru wake kamili kutoka kwa mkoloni Tanzania bara?
 
Ujinga ni mzigo, Tanzania bara imepakana na nchi ngapi lakini hazijawahi kuwa tishio kiusalama? Kwanini kupakana na Zanzibar iwe tatizo kiusalama?! Kwamba Zanzibar ikija kuwa nchi kamili Tanganyika itakuja kuwa week kijeshi?
Logic ya usalama ni propaganda muflisi ya kujustify uhuni wa Tanganyika Zanzibar.
 
Umeharibu mwishoni kwa kuandika uharo mtupu ulipo ingiza hoja za imani.[emoji706]

#MaendeleoHayanaChama
 
hivi tulivo njaa na umaskini ni hatari tosha... sasa zanzibar kujitegemea kunaihusu nini Tanganyika? unataka iendelee kubebwa na TZ mpaka lini? mbona wewe umekimbia kwa mamayo unajitegemea au tukulazimshe urudi ukaendelee kunyonya kwa mama? acheni mambo ya kizwazwa ya lumumba
 
Zanzibar wakijitenga lazima iwe centre ya magaidi na utawala utotumia islamic law...lazima uwe utawala wa kitaliban
Hatuwezi ruhusu hili litokee..zenji lazima iwe semi autonomy.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa kauli yako ya mwisho..unaonesha jinsi gani chuki imakujaa moyoni na wewe utakua ni mwarabu koko hizbu...kwa taarifa yako tu hilo halitowezekana maisha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Karume ndiye alikuwa mjinga. Angekuwa mjanja angeukataa Muungano kama Kenyatta alivyoukataa.
Tutaudumisha muungano..sasahivi tunatatua kero za muungano ikiwepo suala la ardhi ya zenji kuwa huru hata kwa wabara.

Ila kuvunja muungano na kuipa zenji mamlaka kamili sahauni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…