simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Tumeambiwa muuungano ni mwanaharamu wa cold war-kuzuia Zanzibar isiwe kitovu cha ukomonisti . Times have changed wanzazibari deserve hearts desire-kitu roho inapenda, mamlaka kamili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Tatizo hulioni? Ukiiondoa “Tanganyika” na ikasimama yenyewe, Rais wa Muungano wa “Tanzania” atabaki anahanghang tu. Nyerere hakuwa fala.
Harafu kwanini tujipe mzigo wa kuwa na Serikali ya tatu isiyokuwa ardhi wala tija?
mkuu uko sahihi kabisa. Lakini kuna nchi ziko strategically katika maeneo hatari sana. Nchi kama indonesia, ingekuwa dhana hii ya usalama ni sahihi basi indonesia pangekuwa mahali hatari sana kuishi kwa sababu ya wingi wa visiwa vyake vilivyotapakaa kila mahali. Kila meli, iwe ya usalama au hatari ya kila nchi au kikundi hata cha ugaidi inaruhusiwa kupita.Umoja ni nguvu, Jicho lako halioni mbali, hasa katika securty wise #shutup
Zanzibar haiwezi kamwe kuwa nchi kwa sababu muungano una masrahi kwa mabeberu na sio baraKuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Narudia tena hakuna mtanzania mpumbavu wa kupigia kura mwanamke tena asiye na akili timamu ,kuwa rais 2025 ...shika sana haya maneno yanguKuendelea au kutoendelea baada ya 2025 ni mpango wa Mungu. Lakini kama akiendelea kufanya kazi kama anavyofanya huku akitekeleza miradi yote iliyoachwa na hayati na hii mipya ya sasa, hizi nyuzi za fitina zitakuwa ni kazi bure tu.
Huko mikoanii zinapojengwa shule nyingi na mahospitali na unaposambazwa umeme kila kukicha hawana muda na nyuzi kama hizi, SSH ni mpaka 2030 panapo uhai.
You tell me, mimi najua vyote ni nchi zinazoundwa na visiwa vingi na kuna tofauti za kisiasa hutokea ila bado havijawahi kujitengaNini similarities na differences za Zanzibar na Comoro?
Bora wavunje tu ili tuwafukuze wapemba wote mitaani maana ni wachafu sana.Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Kwani kuna tatizo? Hata hivyo sisi Watanganyika hatuna maslahi yoyote na Zanzibar na tunatamani huo muungano wa kitapeli uvunjike kila nchi ipambane kivyakeKuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
TISS? Ifanye nini wakati mmiliki wake ni Rais huyo huyo?Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
mmh weka hizo dalili kuwa Zanzibar kupewa Mamlaka kamili ya kinchiKuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Huyu Bibi hawezi hawezi panda hicho kilima. Anazuga tu kuwa concern ila ukweli ndio huo hakuna katiba mpya kwa haya majizi.Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Ujinga ni mzigo, Tanzania bara imepakana na nchi ngapi lakini hazijawahi kuwa tishio kiusalama? Kwanini kupakana na Zanzibar iwe tatizo kiusalama?! Kwamba Zanzibar ikija kuwa nchi kamili Tanganyika itakuja kuwa week kijeshi?Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.