Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
hofu ya kutengenezwa tu hii.. na kinacholeta uhasama ni CCm KUKATAA KATAKATA kushindwa uchaguzi,
Ahsante mkuu. NimekuelewaMkuu INTROVETED, pole sana, umepitwa na wakati. Ni kweli ule Mkutano wa Berlin wa mwaka 1884 ilimpa Sultan of Zanzibar a 10 miles of coastal strip lakini kupitia mkataba wa Heligoland–Zanzibar Treaty au Anglo-German Agreement of 1890) wa tarehe 1 July 1890 kati Ujerumani na Uingereza ambapo Waingereza waliokuwa wanamlinda Sultan wa Zanzibar, walikabidhi eneo la 10 miles costal stripe na Ujerumani wakawapa Waingereza mji wa Helingoland na Kisiwa cha Witu.
Ni mkataba huu ndio ulihamisha mipaka ya ule mkutano wa Berlin kwa ziwa Nyasa kuhesabika ni ziwa la Malawi na Ziwa Tanganyika kuwa la Tanganyika na ndipo Ujerumani wakaileta meli ya MV Liemba.
Baada ya Ujerumani kushindwa vita Kuu ya Kwanza, ikanyang'anywa makoloni yake yote.
p
Yes namba za kufikirika ili kujenga hoja.Usidhani mimi ninapinga Serikali tatu. No, sipingi. Ninachopinga ni argument yako kwamba hakuna gharama itakayoongezeka. That isn’t true. Sijui kwanini umekazana kutaka nikuoneshe ongezeko in numbers. Numbers za kufikirika?
Hapa pia kuna misconceptions kubwa. Draft ya Warioba ilikuwa ni road map ya structure nzima ya serikali 3Nimekuambia hypothetical setup iliyomo kwenye Draft ya Katiba ya Tume ya Warioba haikupi more realistic picture ya financial burden ya uendeshaji wa Muungano wa Serikali tatu.
Usiangalie Tanzania kwa jicho la US. House of rep ina reps 420 kule US kwa nchi yenye watu milioni 300Ni mzaha mkubwa kusema Tanganyika itakuwa na wabunge 45 kwenye Bunge la federal.
Yes Bajeti ya Ulinzi na usalama, Mambo ya ndani na nje, Katiba, fedha na vyama vya siasa (7) itabaki kama ilivyo kwa maana kwamba nchi Washirika watachangia. Kuchangia haina maana ya 'raise fund' ina maana ya contribute kupitia taxHayo yote yamesababishwa na envisaged federal government isiyokuwa na taxing authority. Niambie, ni federal government ya nchi gani inayoendeshwa kwa michango? Federal government inasimamia ulinzi na usalama wa nchi halafu itegemee michango ya states kweli? Hiyo ni Serikali au NGO? That’s a foolish man’s wisdom! The country can’t safeguard its sovereignty in that
Yes na hilo ni jambo jema kwasababu kila upande utakuwa na mzigo wakemanner.
Tukiamua kuwa na federal governing system, government institutions zilizopo haziwezi kuwa shared any more. That said,
Hadi sasa si Zanzibar wana mahakama zao, hizi za JMT zisizo na kazi Zanzibar zinapunguzaje gharama?[emoji3578]Mahakama za federal ziko wapi? Haiwezekani mtu wa Kagera akivunja federal law aje kujibu mashitaka Dar es Salaam.
Well, Zanzibar wana vikosi maalum pesa wanapata wapi na kwanini hizi za JMT zisiwe za Tanganyika?[emoji3578]Federal law enforcement agencies ziko wapi? Haiwezekani federal law enforcement responsibilities zibebwe na state law enforcement agencies.
Prison kila eneo ina zake, Zanzibar wanaita mafunzo Bara wanaita magereza. Kipi kitakuwa kitu kigeni hapo?[emoji3578]Federal bureau of prisons iko wapi? Haiwezekani federal prisoners wawe jukumu la state bureaus of prisons.
Yes ni kweli na sisi pia tuna muungano wa ajabu unaoitwa 'pekee' duniani. Wapi serikali 2 zinaungana na kutengeneza serikali 2 moja ikiwa na Federal ndani yake? Nionyeshe nchi moja tu yenye kituko tulicho nachoSisi hatutakuwa watu wa kwanza kuwa na federation. Time-tested federations zipo za kumwaga duniani.
Hapo juu nimekueleza muungano wetu ni wa 'pekee' . Nionyeshe wapi duniani kuna muungano kama wetu?Nipe mfano wa federation yoyote inayoendeshwa kwa style ambayo Draft ya Katiba ya Warioba inapendekeza. Hakuna sababu ya kuamini kwamba sisi ni smarter kuliko nchi ambazo zimekuwa na federation for decades, if not centuries.
Tunarudi pale pale kwamba una copy & paste. Huwezi kulinganisha federal nyingine zenye state 26,28,36 au 50 na Tanzania yenye '' state 2''. Hizo nchi nyingine states zina mchango mkubwa kwa Federal bila kuathiri uwezo waoFederal government ndiyo baba na mama lao. Hata states zikiteteleka zinakuwa bailed out na federal government. With the proposed federal government setup, states zikiwa insolvent, federal government nayo haitasalimika. Again, that setup is a foolish man’s wisdom!
Hebe taja faida Moja na Mimi nikujie hasara kibao.Unafaida nyingi sana..tena tunapaswa tuwe na serikali moja tu.
Zenji uwe mkoa kama ilivyo mbea ama lindi.
#MaendeleoHayanaChama
Yes namba za kufikirika ili kujenga hoja.
Hapa pia kuna misconceptions kubwa. Draft ya Warioba ilikuwa ni road map ya structure nzima ya serikali 3
Kazi za Bunge la Katiba ilikuwa kuweka structure katika hali itakayoruhusu kutungwa sheria
Bunge lilipaswa ku test ile basic structure ya Warioba katika uhalisia wa mambo mengi
Hakuna aliyesema structure ya rasimu ilikuwa perfect lakini ilikuwa perfect kama model
Usiangalie Tanzania kwa jicho la US. House of rep ina reps 420 kule US kwa nchi yenye watu milioni 300
Jimbo la California lina watu takribani milioni 40 na uchumi mkubwa Duniani kuliko nchi nyingi Tz ikiwemo
Reps kutoka California ni 55 na senator 2. Kipi cha ajabu kwa Tz kuwa na Wabunge 45?
Tanzania ina watu milioni takribani 50 karibia sawa na California, ina Bunge lenye watu 393, ambao ni 27 pungufu ya US. Tanzania ina Wabunge wengi sana ukilinganisha na US.
Kwa kutazama structure ya US ni rahisi sana kudhani Tanzania ina uhitaji sawa na US !
Tanzania haipaswi kuwa na Wabunge 393 ni wengi sana.
Lakini pia fikiria senate ina 99 senators kipi cha ajabu kwa federal gov ya Tz kuwa na Wabunge 45 ?
Yes Bajeti ya Ulinzi na usalama, Mambo ya ndani na nje, Katiba, fedha na vyama vya siasa (7) itabaki kama ilivyo kwa maana kwamba nchi Washirika watachangia. Kuchangia haina maana ya 'raise fund' ina maana ya contribute kupitia tax
Nimekueleza kuwa kwa vyovyote vile bajeti ya Tanganyika itafidia ile ya JMT kwa ukubwa wake.
Mfano leo ni 41T na Zanzibar ni 2.5. Vyanzo vya pesa za federal ni tax kama zile zinazotumiwa kukusanya pesa za SMZ na JMT leo hii. Tofauti ipo wapi hapo?
Yes na hilo ni jambo jema kwasababu kila upande utakuwa na mzigo wake
Hadi sasa si Zanzibar wana mahakama zao, hizi za JMT zisizo na kazi Zanzibar zinapunguzaje gharama?
Well, Zanzibar wana vikosi maalum pesa wanapata wapi na kwanini hizi za JMT zisiwe za Tanganyika?
Prison kila eneo ina zake, Zanzibar wanaita mafunzo Bara wanaita magereza. Kipi kitakuwa kitu kigeni hapo?
Yes ni kweli na sisi pia tuna muungano wa ajabu unaoitwa 'pekee' duniani. Wapi serikali 2 zinaungana na kutengeneza serikali 2 moja ikiwa na Federal ndani yake? Nionyeshe nchi moja tu yenye kituko tulicho nacho
Hapo juu nimekueleza muungano wetu ni wa 'pekee' . Nionyeshe wapi duniani kuna muungano kama wetu?
Kuhusu federal yoyote inayoendeshwa kwa style ya Warioba, hapa unaangalia mambo kwa 'copy and paste '
Federal ya Nigeria ina states 36. India ina 28 states, US 5O states 26 states kwa uchache tu
Tanzania tuna nchi 2 tu , ni upungufu wa kuona unapojaribu kulinganisha Rasimu ya Warioba na nch nyingine
Kama muungano wetu wa serikali 2 ulivyo wa kipekee, hata wa federal hauwezi kuwa sawa na nchi nyingine
Una hoja nzuri sana kwamba unaangalia federal nyingine duniani, tatizo ni pale unaposhika button ya copy halafu uka paste iwe ni hoja au swali bila kuangalia subject inahusu nini? na hapa ni Tanzania na it's peculiarity
Tunarudi pale pale kwamba una copy & paste. Huwezi kulinganisha federal nyingine zenye state 26,28,36 au 50 na Tanzania yenye '' state 2''. Hizo nchi nyingine states zina mchango mkubwa kwa Federal bila kuathiri uwezo wao
Tanzania ni Tanganyika peke yake yenye uwezo, kutetereka ni kupi kwa Federal? Kwa maana kwamba Tanganyika ndiyo inabeba mzigo, mshirika wake Zanzibar yupo katika mbeleko tu anachangia ZERO anachukua zaidi
Nadhani Rasimu ya Warioba iliangalia mambo mengi sana zikiwemo Federal zingine dunia na kugundua kwamba copy and paste haiwezekani. Sisi tuna state mbili kama utaita hivyo, moja ndiyo inakusanya kodi na rasilimali , nyingine inalalamika tu kugawana!
JokaKuu
Wacha tuone.,Kwa kauli yako ya mwisho..unaonesha jinsi gani chuki imakujaa moyoni na wewe utakua ni mwarabu koko hizbu...kwa taarifa yako tu hilo halitowezekana maisha.
#MaendeleoHayanaChama
Ukikataa identity ya nchi yako unakuwa mtumwaSema jamaa unachuki sana na Tanganyika
Ujinga ni mzigo !!Ujinga ni mzigo, Tanzania bara imepakana na nchi ngapi lakini hazijawahi kuwa tishio kiusalama? Kwanini kupakana na Zanzibar iwe tatizo kiusalama?! Kwamba Zanzibar ikija kuwa nchi kamili Tanganyika itakuja kuwa week kijeshi?
Kabla ya 1964 mbona hawakuuana !!Hii kitu ndyo hawakijui watu wa Zanzibar ya sasa bila Tanzania wanagawana fito asubuhi tu tutashuhudia damu kweupe [emoji1787]
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Kwanini nasisi tusidai Tanganyika yetuKuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Hawana akili, watabaki watumwa mpaka lini na waliipigania Tanganyika kwa damu? Jisikieni fakhari kutumia jina la TanganyikaSema jamaa unachuki sana na Tanganyika
Siku jina hilo litakapotumika mtajikusanya ocean road na coco beach kwasababu bandarini kutakuwa mbali au hapatposhi.Hawana akili, watabaki watumwa mpaka lini na waliipigania Tanganyika kwa damu? Jisikieni fakhari kutumia jina la Tanganyika
Sijui hii hoja itabadili nini katika mhjadala. Ikiwa kuna senator 100 na VP kama tie breaker kinabadili vipi mantiki ya nilichozungumzia? trivial[emoji3578]Statistics unazoweka sio accurate; sijui sources zako ni wapi. Kwa mfano, statistics za 420 members of US House of Representatives, 99 US Senators, Watanzania takribani 50 million umezipata wapi?
Kwani muundo wa sasa upoje? Si tuna Zanzibar na Tanzania! hii Tanzania inahudumia nini na inapata wapi kodi[emoji3578]Hakuna mahali popote nimekuambia structure ya sasa ya Muungano ndiyo inafaa zaidi. Nimeshakuambia mimi sipingi federation. Ninachopinga ni hoja yako kwamba federation haiwezi kuongeza gharama. That can’t be true!
Tulifanya ulinganifu wa Feds ya Warioba na ya US ambayo wewe unadhani tunaweza kufanya copy and paste[emoji3578]Unalinganisha Bunge la JMT na Bunge la Marekani very superficially. Kumbuka, Marekani ina multiple tiers of government, including federal and state. Kila state ina House of Representatives na Senate yake. Vilevile, kila state ina multiple counties na kila county ina multiple cities na towns. Kila county, city or town ina legislative body yake. Kwa hiyo, Marekani ina 538 federal legislators na 7,410 state legislators. Legislators wa county, city na towns nawaacha makusudi partly kwasababu, kwa kisasi fulani, ni equivalent ya madiwani ambao hata sisi tunao. Sasa unaona comparison unayofanya ilivyo meaningless? Hata comparison yako ya California na Tanzania nayo ni superficial and meaningless!
Kwani kufanya taxing kwa Feds itaongeza gharama?[emoji3578]Kwa case yetu, idadi ya states sio issue. Issue ni federal government kutokuwa na taxing authority. Hakuna taifa duniani (federated or otherwise) lisilokuwa na direct taxing authority. That’s a fact! Huwezi kuwa na federal government inayoendeshwa kwa michango ya constituent states. It’s potentially catastrophic!
Ww. Kwan hutaki iwe huru ?Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Kwanini unaongelea hisia zako kwamba ni za wazanzibari? waache wenyewe usiwasemeeSiku jina hilo litakapotumika mtajikusanya ocean road na coco beach kwasababu bandarini kutakuwa mbali au hapatposhi.
Tunataka sana Tanganyika! ikirudi mtaelewaKwanini unaongelea hisia zako kwamba ni za wazanzibari? waache wenyewe usiwasemee
Tanganyika mnajisikia tabu kurudia hilo jina lenu mnahisi mtakuwa wapweke sana lakini ndio hakuna namna, katiba mpya ije tu tuko na mama tunamuamini na Zanzibar inamuuma moyoni mwake.
Afanye haraka iko kwenye rasimu ya wariobaKuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Sijui hii hoja itabadili nini katika mhjadala. Ikiwa kuna senator 100 na VP kama tie breaker kinabadili vipi mantiki ya nilichozungumzia? trivial
Kwani muundo wa sasa upoje? Si tuna Zanzibar na Tanzania! hii Tanzania inahudumia nini na inapata wapi kodi
Tofauti itakayokuwepo ni uwajibikaji wa Zanzibar , kwamba, hawatakuwa katika mbeleko na hilo litapunguza mzigo kwa Watanganyika. Otherwise gharama za ''fed' ya sasa anazibeba Mtanganyika! kwanini huoni hili?
Tulifanya ulinganifu wa Feds ya Warioba na ya US ambayo wewe unadhani tunaweza kufanya copy and paste
Ndipo nimejaribu kukuonyesha kuwa House of rep ya Fed na ile ya Warioba ni tofauti kutokana na population na usidhani kuwa gharama zitakuwa kubwa kwa jicho la US m India au kwingine
Kwani kufanya taxing kwa Feds itaongeza gharama?
Hivi unahabari kwamba US states zinachangia Feds! halafu kuna Fed tax ! unajua hili?
Kwa wingi wa states ukilinganisha na Tanzania unafanya comparison gani ndugu yangu?
FYI leo Rais wa Zanzibar kamteua Jai mkuu wa Zanzibar! Sijui huyu wa Tanzania ana kazi gani
Unaweza kuona kwanini Waioba alishauri mambo 7 tu na 3 ndiyo yenye gharama kubwa