Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
uzi wa kijinga sana !Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Huna lolote yaani !Nakuheshimu,jiheshimu!
UTABIRI !!
mkuu naomba unisaidie ku ignore huyu suzy EliasUsalama wa kitu gani labda? Ni kipi so special hapa bara ambacho Zanzibar ndio inapaswa kuwa kinga yetu? Au ni muungano wa kitambiko kiasi kwamba ukivunjika mizimu itafanya yake?
Ndiyo Nyerere alivyowadanganya? Zanzibar ni taifa lenye historia ya zaidi ya miaka 2000. Kama unayotabiri yangekuwa ni kweli yangeshatokea huko nyuma. Leo hii wanaoivuruga na kutaka kuigawa Zanzibar ni wale waliovamia mwaka 1964. Tangu wafanye uvamizi, kazi yao ni kumwaga damu za Wazanzibari, kuwapa watu vilema, kunajisi watu, na maovu mengine mengi sana.Nje ya Muungano, hakuna Zanzibar isipokuwa kuna Unguja na Pemba. Kama wanadhani sumu inaonjwa, wajaribu waone. Haitaisha miaka mitano kabla Tanganyika haijapokea wakimbizi kutoka upande huo!
Kitu gani ambacho Mama Samia amekifanya ambacho kinaonesha dalili za kuipa Zanzibar mamlaka kamili.Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Akili za kizamani hizo !!Samuel Sitta aelezea Hofu ya CCM juu ya pendekezo la uraia pacha hususan waZanzibari wenye asili ya Oman
Kwa hio we unataka Muungano ili Pemba na unguja wakae salama, kabla ya Muungano hawakuwa salama?Kukariri kuko wapi hapo? Hapo walipo tayari Pemba na Unguja hawaivi. Unadhani power struggle itakayotokea itawaacha salama?
Acha uzandikiKuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Hilo nalo neno !!Kwa hio we unataka Muungano ili Pemba na unguja wakae salama, kabla ya Muungano hawakuwa salama?
Unadhani kila mtu anatamaa ya kuendelea kuwa Rais?! Alishawaambia kuwa kuna hatua anazichukua akielewa kuwa anaweka Urais rehani, kwake it's okay.Akifanya hivyo automatically ana risk nafasi yake ya kuwa Rais.
Kwa nini tuendelee kubeba gunia la Zanzibar?!Tatizo hulioni? Ukiiondoa “Tanganyika” na ikasimama yenyewe, Rais wa Muungano wa “Tanzania” atabaki anahanghang tu. Nyerere hakuwa fala.
Harafu kwanini tujipe mzigo wa kuwa na Serikali ya tatu isiyokuwa ardhi wala tija?
I think the feeling is mutual. Wazenji watakuwa wanajiuliza kwanini hawa mabwana wanatung’ang’ania hivi?Kwa nini tuendelee kubeba gunia la Zanzibar?!
Akili za kizamani hizo !!
Hatari gani?!!!Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika