Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Habari za jion wanajamii wote.
Kwa bashasha kbsa naomba nitoe Rai kwa Rais Samia, Tanzania ina watu wazuri wenye unafiki, makelele na kupoteza maboya watu hasa wasiojiamini na wasionamaarifa mapana kwenye ngazi ya uongozi, kwako Samia kundi la Kikwete na wanamtandao kwa ujumla wao nyakati za Magufuli ulikuwa nani kwao ulikuwa snitch?ulikuwa Balozi wao na mwenzao?!!! Kama sio tambua kwa sasa utakuwa dekio tu umuhimu wako ukiisha utatupwa,
.
Nafasi ya Rais kutoka Zanzibar ilianza kupokwa na Kikwete 2005 na pia kwa sasa Zanzibar mnatuzingua, sina hakika kama CCM inajiandaa kuanguka mikononi mwako!!!?
Jipange tafuta wababe wanaojua michezo ya akili za hao vimeo ukisikia ccm ina wenyewe ndio hao "vibwengo mtiisho" na "vibwengo mdebwedo".
La katiba na tume hutaweza jipange kwa mengine.
Wanakusubiri ujikaange mwenyewe. Stukastuka fanya ngwe yako
ondoka umakamu na hapo ulipo malizia panakutosha.
Asalaam!!