Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unafikiria Wageningen ndo watu? Sisi watanzania hatuna thamani hadi ushtuke rais akitusemea?Ametoa hotuba nzuri ila nimeshtuka mama alipozungumzia mafua yanayodondosha watu mtwara je hii haiwezi kushtua wageni?
Yees, vunja jiji la Dar halafu pandisha Chattle kuwa mkoa! 😎Sijaelewa hapa, kabla ya 17/03/21 Aliyekuwa mwenye nchi alitangaza kuvunja jiji la Dar na kuunda jiji la Ilala. Mara zote nimekuwa nikisikia wakubwa wakiendelea kuliita jiji la Dar, kama uzi huu unavyosomeka, jiji la Ilala pia liliondoka 17/03/21???
Ule ulikua ni chafu, nchi lazima watu wafuate sheria, huwezi kuweka kibanda/mwamvuli wako popote utakapo halafu uaachiwe tu, sababu eti unajipatia riziki.Watu walikuwa wanajipatia riziki zao kwenye zile ofisi zao, kumbe kwa Samia ule ulikuwa ni uchafu!.
Ndio limerudi sasa..lilikuwa limejificha kutokana na uchafuzi wa mazingira na ubadhilifu enzi zile.Sijaelewa hapa, kabla ya 17/03/21 Aliyekuwa mwenye nchi alitangaza kuvunja jiji la Dar na kuunda jiji la Ilala. Mara zote nimekuwa nikisikia wakubwa wakiendelea kuliita jiji la Dar, kama uzi huu unavyosomeka, jiji la Ilala pia liliondoka 17/03/21???
Waliomhambulia Lissu ni kikundi cha WASIOJULIKANA chini ya Makonda wakitekeleza maagizo ya Magufuli. Halina mjadalaKwa hiyo hata la kuongelea kuwa aliyempiga lissu risasi hakuwa askari wao nalo aliagizwa na rais? Mavi yakitumika kwenye uunzi wa ubongo ni shida sana.
Aliitisha usafi Nchi nzima, je uliona Nchi ikiwa safi? Yale yalikuwa maagizo ya kipimbi tu ndiyo maana Jumamosi watu walikuwa wanafunga ofisi zao tu na ikifika saa 4 wanafunga, maisha yanaendeleaAcha kuleta siasa kwenye mambo ya msingi. Kumbuka Magufuli ndio Rais pekee alieitisha usafi nchi nzima na yeye akafanya. Lakini kwa sasabu alitaka watanzania wapate vipato aliwapa uhuru wa kufanya biashara huku serikali ikiendeleea kuandaa miundo mbinu.
Tena kuna vedio alimuita kabisa akamwambia watafute namna nzuri ya kuwapanga wamachinga .
Unamtetea kwa lipi wakati alikuwa anakula kodi zetu?.
Yeye akaingia kawatoa kwa mabavu, watu wamefirisika maisha yamekuwa magumu kama nini na hatimae wizi umekuwa mwingi. Au huko kwako maisha ni mepesi?
Unajua majukumu ya makamu wa Rais?Kwa hiyo hakuwa Makamu wa Rais? Au yeye alikuwa anakula kuku wa Ikulu tu na kodi zetu?
Naunga hoja yakoSasa yule alikuwa anatafuta cheap popularity at our expenses bila kujali maisha ya wengine na kujenga jamii ya kistaarabu..
Vibanda vya kisasa walivyojengewa machinga kwa sasa vinapendeza..
Ili ku maintain inatakiwa wanaojenga miundombinu ya barabara Kwa sasa mijini waingize concept ya ubinifu Ili ku accommodate machinga.
Nchi ilikuwa safi wewe.Aliitisha usafi Nchi nzima, je uliona Nchi ikiwa safi? Yale yalikuwa maagizo ya kipimbi tu ndiyo maana Jumamosi watu walikuwa wanafunga ofisi zao tu na ikifika saa 4 wanafunga, maisha yanaendelea
Yako kwenye katiba.. lakini kikubwa ni kusaidia Rais.Unajua majukumu ya makamu wa Rais?
Acheni Ujinga, Hivi Watanzania mkoje? Huwa nachukia sana taarifa muhimu kama Hizi kifichwa eti kisa zitaleta taharuki.Hii taarifa hakupaswa kuisema kabisa..
#MaendeleoHayanaChama
Wingi ulipindukia kikomo wa pikipiki za bodaboda na pia bibajaj zinaelekea kutibua mipango ya kuliweka jiji ktk mpangilio wa kueleweka.