Rais Samia: Kabla sijaingia, biashara na Kenya ilikuwa ngumu. Asema kuchoma vifaranga wa Kenya yalikuwa makosa

katika vita ya uchumi, kitu ambacho hakijafata utaratibu huwezi jua yaliyojificha nyuma...je kama walikuwa na ugonjwa na ilikuwa njia ya kuusambaza ili watu waje wauze chanjo ??? nani angepoteza muda wake kuanza kupima vifaranga 6000 walioingizwa kinyume cha sheria....So issue ni kufata utaratibu tu uliowekwa.
 
Fanya kazi kila kitu kitaonekana, wananzengo wataanza kusifia wenyewe
 
Yanaropoka bila hata Aibu,Matilioni yaliyowekezwa kwenye bwawa yangewekwa kwenye gas saiz tungekuwa tunauza umeme South Africa..

Ila kwa sababu ya Rais Mjinga ndio Nchi inaingia kwenye balaa Sasa hivi..
Gas ipi? Tz tuna gas?
 
Maziwa tu yakikamata tu huko vijijini umekamua kisha ukajaza maji yanamwagwa hapo hapo unapewa dumu lako tupu sijui ajabu nini!
 
Kwani sheria ukiingiza bila taratibu inasemaje? Tulishaona bidhaa nyingi zinateketezwa, ni sheria au tamko?
 
Hahahaaa.... yule jamaa alikuwa na mikwala.... Sitishi wala sijaribiwi.... Afu anacheka kwa kisukuma
Yaani ulikuwa ukienda kupata huduma unahudumiwa kama binadamu kwakweli, naona sahihi tunaanza kurudi nyuma kabla ya awamu ya tano.
 
Ilikuwa ni amri ya marehemu.

Mengine yote umenena vema.
Siamini hadi uwekwe ushahidi.
Rais hawezi kukamata contrabands ambazo ni za thamani ya chini kama vile vifaranga.

Unajua mezani kwake yanaenda mambo mangapi makubwa na ya muhimu kila siku?
 
Yaani ulikuwa ukienda kupata huduma unahudumiwa kama binadamu kwakweli, naona sahihi tunaanza kurudi nyuma kabla ya awamu ya tano.
Potelea mbali....

Sisi tunaendelea kumshukuru Mungu kwa matendo yake makuu
 
Pamoja na kosa la kuchoma vifaranga lakini awamu yake ndiyo imekuwa ya hovyo kabisa kuliko awamu zote
 
Unavyojenga tu hoja, ni dhahiri upeowako ni duni sana. Mlaumu aliyeshindwa kukuwezesha kupata elimu bora.

Kichaa, kitu pekee anachokiweza ni kutukana. Ukiona unapenda kutukana, waombe ndugu zako wakupeleke Milembe ili kujua kama bado upo kwenye afya njema ya akili.

You deserve nothing than mercy from healthy people.
 
Rudia kusoma ulichoandika. Kuwa makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…