Rais Samia: Kabla sijaingia, biashara na Kenya ilikuwa ngumu. Asema kuchoma vifaranga wa Kenya yalikuwa makosa

Rais Samia: Kabla sijaingia, biashara na Kenya ilikuwa ngumu. Asema kuchoma vifaranga wa Kenya yalikuwa makosa

Rais Samia amesema amri ya kuchoma vifaranga 6400 vilivyoingizwa kutoka Kenya miaka mitano iliyopita ilikuwa sio sawa.

Rais Samia kasema hawakushulikia vizuri uingizaji ule wa vifaranga maana pia vifaranga vinavyo haki ya kuishi.

Rais Samia alizungumza haya wakati akiongea na mawakili wa ukanda ya Afrika Mashariki.

"Afrika Mashariki tuna soko la pamoja ambalo linatusaidia kufanya biashara zetu, tunakubaliana kwenye mambo ya customs na taxation lakini we had a lot of NTB's na ni tariff barriers ambazo mnajitahidi kuzifanyia kazi kuziondosha.

Ni kitu kidogo tu, ni mmoja kutoka kwenda kwa mwingine. Wakati mimi sikuingia, biashara yetu na Kenya ilikuwa ngumu sana, ngumu sana. Fika vifaranga mipakani pale, makaratasi hayasomi vizuri, vimetoka wapi haisemi vizuri, kunapita vifungu vya sheria as if sheria is everything. No no no sheria hairuhusu, solution hata hatuogopi dhambi, choma hivyo vifaranga.

Tumejisahau, vifaranga pia ni viumbe vya Mungu, walikuwa na life tukachoma"


Alisema Rais Samia

View attachment 2427229
katika vita ya uchumi, kitu ambacho hakijafata utaratibu huwezi jua yaliyojificha nyuma...je kama walikuwa na ugonjwa na ilikuwa njia ya kuusambaza ili watu waje wauze chanjo ??? nani angepoteza muda wake kuanza kupima vifaranga 6000 walioingizwa kinyume cha sheria....So issue ni kufata utaratibu tu uliowekwa.
 
Sioni kama inatija kusimama kwake kwenye majukwaa na kuanza kufukua makaburi, haimuingezei ushawishi kwenye UMMA ingekuwa hii technic ya kufukua makaburi inafanya kazi matunda yangeonekana .

Focus aipeleke kutatua changamoto za watanzania.

NB: Marehemu akifa hazungumzi, politicians from third world countries don't trust a word from them
Fanya kazi kila kitu kitaonekana, wananzengo wataanza kusifia wenyewe
 
Umemsikiliza waziri hapo, muingizaji hana receipt ya manunuzi wala cheti cha afya kutoka mamlaka ya Kenya kama sheria inavyoagiza. .

Kwa kuzingatia serikali aina biashara ya kufuga, wala poultry farm ya kuwapeleka. Sasa baada ya kutaifishwa; we unadhani hatma ya ivyo vifaranga ilikuwa nini?

Au we unadhani vituo vya polisi vina sehemu ya kuweka maboksi ya vifaranga.
Maziwa tu yakikamata tu huko vijijini umekamua kisha ukajaza maji yanamwagwa hapo hapo unapewa dumu lako tupu sijui ajabu nini!
 
Kwani sheria ukiingiza bila taratibu inasemaje? Tulishaona bidhaa nyingi zinateketezwa, ni sheria au tamko?
 
Hahahaaa.... yule jamaa alikuwa na mikwala.... Sitishi wala sijaribiwi.... Afu anacheka kwa kisukuma
Yaani ulikuwa ukienda kupata huduma unahudumiwa kama binadamu kwakweli, naona sahihi tunaanza kurudi nyuma kabla ya awamu ya tano.
 
Ilikuwa ni amri ya marehemu.

Mengine yote umenena vema.
Siamini hadi uwekwe ushahidi.
Rais hawezi kukamata contrabands ambazo ni za thamani ya chini kama vile vifaranga.

Unajua mezani kwake yanaenda mambo mangapi makubwa na ya muhimu kila siku?
 
Yaani ulikuwa ukienda kupata huduma unahudumiwa kama binadamu kwakweli, naona sahihi tunaanza kurudi nyuma kabla ya awamu ya tano.
Potelea mbali....

Sisi tunaendelea kumshukuru Mungu kwa matendo yake makuu
 
Pamoja na kosa la kuchoma vifaranga lakini awamu yake ndiyo imekuwa ya hovyo kabisa kuliko awamu zote
 
Wewe fala tu vyeti feki vyako vinakusumbua. Sheria hiyo ipo mpaka sasa hivi na vyakula vinaendelea kuchomwa mpaka sasa hivi lakini kwa kuwa huna akili za kukutosha ndio maana huelewi kitu. Tafuta sheria husika usome ingawaje wewe ni mvivu wa kusoma unaweza usijue kitu.
Unavyojenga tu hoja, ni dhahiri upeowako ni duni sana. Mlaumu aliyeshindwa kukuwezesha kupata elimu bora.

Kichaa, kitu pekee anachokiweza ni kutukana. Ukiona unapenda kutukana, waombe ndugu zako wakupeleke Milembe ili kujua kama bado upo kwenye afya njema ya akili.

You deserve nothing than mercy from healthy people.
 
Rais Samia ni rais ambaye inaonekana alikuwa so mis informed na figisu za Serikali ya Kenya kipindi cha Dkt Magufuli. Hawa hawa wakenya na serikali yao walishawahi nunu maziwa ya Tanga Fresh wakaweka stock then siku ile yame expire wakayaingiza kwenye mzunguko wa supermarket, na wakatafuta watu kazaa na TV zikaonesha Watanzania wanawauzia wakenye maziwa yaliyo expire na matokeo yake kila kitu kutoka Tanzania kikapigwa marufuku including gas. Na hivyo ni vichache tu. So mi namshangaa sana rais kuendelea kusema kuhusu vifaranga wakati wakenya wameua viwanda walivyonunua Tanzania ili kuwawezesha ku export bizaa zao Tanzania. Mungu amfunulie ktk hili otherwise kiongozi atakaye fuata baada yake atamtukana sana kusema tulikuwa na rais wa ovyo asiyejalo maslahi ya nchi.
Rudia kusoma ulichoandika. Kuwa makini.
 
Back
Top Bottom