Rais Samia: Kabla sijaingia, biashara na Kenya ilikuwa ngumu. Asema kuchoma vifaranga wa Kenya yalikuwa makosa

Huyu mama ni ndumi la kuwili, akiwa kama vice kwanini aku step down kuonyesha kutoridhishwa na mambo yalivyo kweye kazi anayotumikia?
 
Kwanini uchome moto viumbe ambavyo havina hatia, sheria zipo. Sikuunga mkono kabisa hili. Kuua viumbe huyu jamaa kwake kulikuwa simple sana.
 
Nae atapingwa tu akitoka.
 
Unapomchinja kuku inakuwaje? Acheni ukinga; kuku so mnakula?
Dah..!! Una mifano ya kijinga kweli mwana..!! Kwahiyo hao vifaranga waliliwa baada ya kuchomwa? Dah..!! Akili yako unijua mwenyewe.

By the way, usisahau kuna hukumu za watu kunyongwa na tunaona ni sawa, kwa vile imepita kwenye sheria tulizojiwekea..!!
 
Huyo mama yenu nae ni kama hazimtoshi wakati mwingine.
 
Mnaposema wale vifaranga walipitia mateso, wakichinjwa huwa hawapitii maumivu?

Hata ukisema huwa huwachinji, ili waliwe huwa wanachomwa na mto tofauti na ule?

Acheni kuleta points za kijinga huku mkidhani mnaongea ya maana sana.

Hoja uamuzi aliouchukua JPM haukuwa sawa kidplomasia na wala sio maswala ya mateso kwa vifaranga.
 
Unapomchinja kuku inakuwaje? Acheni ukinga; kuku so mnakula?
Kuna watu wanaongea point za kijinga sana mkuu, eti mateso waliyopitia[emoji23].

Hizo kauli waongee ambao kwao kula nyama ni mwiko, sio hawa wachekea matako wa Jf.
 
Ule ulikuwa ukatili..!!
 
Samia na Yusuph Makamba ni wale wale. Ndo maana Morroco hawataki kuitwa Waafrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…