chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
- Thread starter
-
- #21
Zanzibar haina uwezo wa kulipa tu bills za umeme wa Tanesco kutoka Bara ndio wataweza kulipa hii mikopo ya matrilioni?Alafu wadanganyika ndo tutakuja kulipa hiyo pesa [emoji849]
Hizi pesa zimekopwa na Tanganyika na Tanganyika ndio italipa
Trillion 1 inaenda kujenga airport Pemba
Ikumbukwe pia katika ule mkopo wa covid, amechukua billion 400 na Tanganyika ikabaki na billion 700
Vile vile ameshachukua mkopo Mwingine WB wenye dhamani ya trillion 1 kwaajili ya zanzibar pia
Note, mikopo hii yote Tanganyika ndio italipa
View attachment 2040768
View attachment 2040766
Wewe ndio umedumaa.Rudi shule.Hujawahi kuwa na akili hapa JF.
Nani kasEMA , Pemba zanzibarTatizo liko wapi!
Pemba ni Tanzania.
Kibaya zaidi ndani ya miaka 100 sehemu kubwa ya tuvisiwa twenyewe tutakuwa tumemezwa na bahari sababu ya global warming. Wasije wakajisahau sana Tanganyika huku ndo watakakokimbilia.
Na sasa hivi jamaa wako kimyaaaa huwezi kusikia tena fyoko fyoko za sijui kero za muungano wala nini.
Yetu macho!
Uzuri ukienda chato leo ukanunua kiwanja uwe mkazi hakuna atakaetaka kujua umetokea wapi...Zanzibar ukitaka kufanya hilo utatendewa kama muwekezaji kutoka nje ... hii ni fair?Ushabiki mwingi
1. Hakuna nchi inaitwa Tanganyika
2. Miradi ni muhimu ni kweli airport ya Pemba ni muhimu kuliko ya Chato. Kwani Chato wana chato wanaweza kulipa? Wapi kuna watalii zaidi!!?
3. Hatujui kiasi gani ni grants ambazo sio mikopo hivyo hatuna habari za kutosha
Wapi nimesema kuwa Pemba siyo Tanzania?Wewe ndio umedumaa.
Pemba ni Tanzania kama ilivyo kwenu Kibosho
Uzuri ukienda chato leo ukanunua kiwanja uwe mkazi hakuna atakaetaka kujua umetokea wapi...Zanzibar ukitaka kufanya hilo utatendewa kama muwekezaji kutoka nje ... hii ni fair?
Wengi mnaosema hakuna Tanganyika hamjawahi kufika zanzibar, fika zanzibar ujaribu kuishi kama mtanzania ndio utajua kumbe hizi ni nchi 2 tofauti kabisaUshabiki mwingi
1. Hakuna nchi inaitwa Tanganyika
2. Miradi ni muhimu ni kweli airport ya Pemba ni muhimu kuliko ya Chato. Kwani Chato wana chato wanaweza kulipa? Wapi kuna watalii zaidi!!?
3. Hatujui kiasi gani ni grants ambazo sio mikopo hivyo hatuna habari za kutosha
Wapo kimya kwa sababu ni muda wa maakuli.Kibaya zaidi ndani ya miaka 100 sehemu kubwa ya tuvisiwa twenyewe tutakuwa tumemezwa na bahari sababu ya global warming. Wasije wakajisahau sana Tanganyika huku ndo watakakokimbilia.
Na sasa hivi jamaa wako kimyaaaa huwezi kusikia tena fyoko fyoko za sijui kero za muungano wala nini.
Yetu macho!
No.3, acha uvivu kasome habari yote ya mkopo. Sio hatujui, wewe ndio hujuiUshabiki mwingi
1. Hakuna nchi inaitwa Tanganyika
2. Miradi ni muhimu ni kweli airport ya Pemba ni muhimu kuliko ya Chato. Kwani Chato wana chato wanaweza kulipa? Wapi kuna watalii zaidi!!?
3. Hatujui kiasi gani ni grants ambazo sio mikopo hivyo hatuna habari za kutosha
Mafia wao watapata lini huduma bora?Bora wapate uwanja wa uhakika maana ule wao ni mdogo sana niliwahi kufika huko
Ndiyo Ukweli WenyeweKama habari hii ni kweli inasikitisha sana
Huyo sheria anakaa wapi niende kuonana nayeKama una nia nzuri kwanini usi lalamikie sheria badala ya kuingiza vitu vingine