Rais Samia kakopa trillion 1 kujenga airport, Hospitali, VETA na Depo ya mafuta Zanzibar

Rais Samia kakopa trillion 1 kujenga airport, Hospitali, VETA na Depo ya mafuta Zanzibar

Hatuna shida na Zanzibar kunufaika lakini je manufaa hayo ni proportional?

Hebu tazama, kwenye mkopo wa IMF wa dola bilion 1.3, Zanzibar iligawiwa around dola milion 230

Katibu mkuu kiongozi Mchengerwa anasema Zanzibar ipewe 21% ya Ajira zote za muungano

Leo tunakopa matrilion na tunaimwahia Pemba matrilioni

Je hii ni. proportional?
 
Anaedhani Zanzibar haina haki ya kutumia TanZania sovereignty kunufaika.
Aombe Mungu muungano uvunjike kabla hajafa. Ili ashuhudie habari za Zanzibar zikiwekwa kwenye habari za kimataifa .
 
Hizi pesa zimekopwa na Tanganyika na Tanganyika ndio italipa

Trillion 1 inaenda kujenga airport Pemba

Ikumbukwe pia katika ule mkopo wa covid, amechukua billion 400 na Tanganyika ikabaki na billion 700

Vile vile ameshachukua mkopo Mwingine WB wenye dhamani ya trillion 1 kwaajili ya zanzibar pia

Note, mikopo hii yote Tanganyika ndio italipa

View attachment 2040768

View attachment 2040766
sasa tuje tusikie mzenji yeyote siku moja anabinua mdomo juu na vidole juu, ati muungano haujawasaidia na kwamba wanatudai pesa. watazitapika hizi.hata hivyo 2025 sio mbali.
 
Anaedhani Zanzibar haina haki ya kutumia TanZania sovereignty kunufaika.
Aombe Mungu muungano uvunjike kabla hajafa. Ili ashuhudie habari za Zanzibar zikiwekwa kwenye habari za kimataifa .
cha muhimu ni kwamba, hizi hela atalipa nani? watalipa na watanganyika atu watalipa wanzibari tu.
 
Hatuna shida na Zanzibar kunufaika lakini je manufaa hayo ni proportional?

Hebu tazama, kwenye mkopo wa IMF wa dola bilion 1.3, Zanzibar iligawiwa around dola milion 230

Katibu mkuu kiongozi Mchengerwa anasema Zanzibar ipewe 21% ya Ajira zote za muungano

Leo tunakopa matrilion na tunaimwahia Pemba matrilioni

Je hii ni. proportional?
Hiyo 21% ni upole tu wa wazanzibar ilipaswa iwe tanganyika 50% zanzibar 50%
Kwa sababu zilizounganishwa ni sovereignty mbili.
Na hakuna sovereignty kubwa na ndogo.
 
Hiyo 21% ni upole tu wa wazanzibar ilipaswa iwe tanganyika 50% zanzibar 50%
Kwa sababu zilizounganishwa ni sovereignty mbili.
Na hakuna sovereignty kubwa na ndogo.
yaani wilaya ichukue ugali sahani moja na nchi? unaongea nini wewe? watu more than 55m. wachukue ugali sawa na watu 2ml. wapi na wapi?
 
Ni hizo hizo pia zitakazojenga bomba la gesi kuipeleka Kenya?

Inaonekana mama ana maslahi fulani kuliko kunufaisha wavuja jasho wa nchi hii.

Unazungumzia kupeleka gesi wakanufaike wengine huku watu wako huna hata mpango wa kuwapelekea gesi hiyo?
 
yaani wilaya ichukue ugali sahani moja na nchi? unaongea nini wewe? watu more than 55m. wachukue ugali sawa na watu 2ml. wapi na wapi?
Km mngetaka idadi kubwa mngeungana na Congo. Mkaachana na wilaya.
Au nyinyi mgepeleka timu tano Kombe la Africa Ruwanda moja. hahahahaha🤣🤣🤣
D2CF399E-977C-4B2D-87CD-A0D023D35D2D.png
 
Mbona kama kuna upotoshaji mwingi kwenye post yako. Billion 400 kuingia kwenye uchumi wa Zanzibar kea kipindi cha muda mfupi kwa njia ya mkopo ni kitu kisichowezekana. Hiyo ni taktibani 1/3 ya bajeti yao yote. By the way huo mchanganuo wa Bil 700 na 400, mmh!

Kuhusu fedha za BADEA, Dola 450 ni kwa miaka mitambo. Wastani wa Dola mil 90 kila mwaka. Hata hivyo haujaweka wazi loan kiasi gani na grants gani.

Upotoshaji mwingine ni kwenye title as if trillion moja yote inaenda kujenga airport. Wakati hiyo mil 90 inajumuisha miradi kibao.
 
Hizi pesa zimekopwa na Tanganyika na Tanganyika ndio italipa

Trillion 1 inaenda kujenga airport Pemba

Ikumbukwe pia katika ule mkopo wa covid, amechukua billion 400 na Tanganyika ikabaki na billion 700

Vile vile ameshachukua mkopo Mwingine WB wenye dhamani ya trillion 1 kwaajili ya zanzibar pia

Note, mikopo hii yote Tanganyika ndio italipa

View attachment 2040768

View attachment 2040766
Kila mkopo unaotolewa kwa JMT zanibar ina mgao wake na kila upande utalipa kutokana na mgao wake,hiyo ipo kwenye articles za Muungano
Kwa hiyo hata kama Pemba wamepewa Trilioni moja watajua wao jinsi ya kulipa ndio mgao wao
 
Who cares??
Mwendazake alikopa alijenga ikulu, airport, alikufa akiharakatia kwao kuwe mkoa, vibaraka wake wakapeleka kila tukio huko, mpaka tamasha la sanamu.

Everyday is Saturday................................😎
 
Back
Top Bottom