Rais Samia kakopa trillion 1 kujenga airport, Hospitali, VETA na Depo ya mafuta Zanzibar

Hii ndio hasara ya ukweli na uwazi.watz wanapenda ukikopa wajue baada ya muda kuwa umejenga na ulikopa.sasa akina Mwiguru jirekebisheni.kila taarifa iwekwe chanzo cha uhakika.mjue nani anayatoa ya ndani.
Nadhani inatakiwa tuwe hivyo kwa sababu hii Nchi imejaa wajinga wengi mno,watu wajinga wanatakiwa kupelekwa kwa mijeredi na sio kwa uwazi.

Ni upumbavu na ushenzi kwa jitu linalojiita Mtanzania eti kulalamikia til.1=14% kwenda Zanzibar ila akaona til.6=84% kwa Tanzania bara sio sawa.
 
Katiba mpya kamwe haitatenganisha Bara na visiwani na ni uhaini kuwaza huo uhuni kwa Tzn,so watch out.
 
Issue siyo Kama Chato wanaweza kulipa...issue ni kwanini Tanganyika (ambayo ipo Kama Tanzania bara) ilipe ghrama za airport huko Pemba Kama ni kweli? Kwanini mkigundua mafuta huko Zanzibar mnadai ni ya Zanzibar peke yake na raslimali za Bara mnadai pia ni zenu? Wabara hawana haki ya ardhi kule Zanzibar lakini Wapemba na Waunguja wana haki ya ardhi huku Bara ambako wako kwa maelfu...hii haikubaliki hata kidogo ni ujinga kabisa...Mtu anawakilisha watu 2000 huko Zanzibar eti naye ni Mbunge kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano na analipwa marupurupu na mshahara kwa fedha za Bara...hebu tuambieni je Wabara wananufaika vipi na Muungano huu?
 
Kweli, ukitakujua wewe ni Mtanganyika nenda Zanzibar.
 
Kwanza sidhani kama huwa mnaelewa utaratibu.

Tanzania ikikopa pesa yoyote ni lazima kiasi cha hizo pesa kipelekwe Zanzibar,hiyo ndio kanuni.

Zanzibar ikitaka Kukopa lazima wapewe kibali na Serikali ya Muungano,hivi ndivyo ilivyowekwa.

Sasa kwa huu mkopo ni sawa na ule wa covid kwamba Tzn imekopa ila na Zanzibar imepata share yake full stop hakuna blaa blaa zingine.
 
Kweli, ukitakujua wewe ni Mtanganyika nenda Zanzibar.
Waliwaomba huo Muungano? Nyie ndio mlijipeleka ndio maana wanalalamika mnawakwamisha.

Utalii wa Tzn unabebwa na Zanzibar ndio kusema wakijitoa hakuna wa kuwakuta.
 
Ni haki yao kabisa ! Hangaya piga kazi
 
Yapo mambo ya muungano na yasiyo ya muungano, haiwezekani zanzibar iwe na ruhusa ya kukopa separately then bado wapate share kwenye mikopo ya Tanganyika
 
Nawe usichikijua ni kwamba ardhi haiuzwi Zanzibar. Unapewa hati ya matumizi ya ardhi. Kuna watanganyika wengi wana nyumba kule.
 
Nawe usichikijua ni kwamba ardhi haiuzwi Zanzibar. Unapewa hati ya matumizi ya ardhi. Kuna watanganyika wengi wana nyumba kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…