Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Huu muungano tanganyika ndio inaumia zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani inatakiwa tuwe hivyo kwa sababu hii Nchi imejaa wajinga wengi mno,watu wajinga wanatakiwa kupelekwa kwa mijeredi na sio kwa uwazi.Hii ndio hasara ya ukweli na uwazi.watz wanapenda ukikopa wajue baada ya muda kuwa umejenga na ulikopa.sasa akina Mwiguru jirekebisheni.kila taarifa iwekwe chanzo cha uhakika.mjue nani anayatoa ya ndani.
Katiba mpya kamwe haitatenganisha Bara na visiwani na ni uhaini kuwaza huo uhuni kwa Tzn,so watch out.Bila katiba mpya, Tanganyika huru na kuitoa CCM madarakani hizi kelele hazitaisha milele.
Tuna muungano wa kihuni huni sana, na wahuni wanaendelea kupiga hapo hapo.
Anachokifanya Samia ni muendelezo tu wa mtawala kuvutia kwake, yale yale ya Magufuli kupeleka miradi Chato na Jakaya kulazimisha Bagamoyo nayo kuwa jiji.
Pemba ni Tanzania ambayo sina ruhusa kununua kiwanja au siyo?Tatizo liko wapi!
Pemba ni Tanzania.
Issue siyo Kama Chato wanaweza kulipa...issue ni kwanini Tanganyika (ambayo ipo Kama Tanzania bara) ilipe ghrama za airport huko Pemba Kama ni kweli? Kwanini mkigundua mafuta huko Zanzibar mnadai ni ya Zanzibar peke yake na raslimali za Bara mnadai pia ni zenu? Wabara hawana haki ya ardhi kule Zanzibar lakini Wapemba na Waunguja wana haki ya ardhi huku Bara ambako wako kwa maelfu...hii haikubaliki hata kidogo ni ujinga kabisa...Mtu anawakilisha watu 2000 huko Zanzibar eti naye ni Mbunge kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano na analipwa marupurupu na mshahara kwa fedha za Bara...hebu tuambieni je Wabara wananufaika vipi na Muungano huu?Ushabiki mwingi
1. Hakuna nchi inaitwa Tanganyika
2. Miradi ni muhimu ni kweli airport ya Pemba ni muhimu kuliko ya Chato. Kwani Chato wana chato wanaweza kulipa? Wapi kuna watalii zaidi!!?
3. Hatujui kiasi gani ni grants ambazo sio mikopo hivyo hatuna habari za kutosha
Kweli, ukitakujua wewe ni Mtanganyika nenda Zanzibar.Wengi mnaosema hakuna Tanganyika hamjawahi kufika zanzibar, fika zanzibar ujaribu kuishi kama mtanzania ndio utajua kumbe hizi ni nchi 2 tofauti kabisa
Tukiachana na ubaguzi wa hali ya juu kwa watanganyika kule zanzibar, usichojua ni kwamba wewe ni second citizen kule zanzibar, Huwezi kununua ardhi wala kuimiliki, namna mganda atavyotakiwa kufanya ili amiliki ardhi ndio hiyo hiyo njia utapitia wewe usietaka kusikia Tanganyika
Kwanza sidhani kama huwa mnaelewa utaratibu.Issue siyo Kama Chato wanaweza kulipa...issue ni kwanini Tanganyika (ambayo ipo Kama Tanzania bara) ilipe ghrama za airport huko Pemba Kama ni kweli? Kwanini mkigundua mafuta huko Zanzibar mnadai ni ya Zanzibar peke yake na raslimali za Bara mnadai pia ni zenu? Wabara hawana haki ya ardhi kule Zanzibar lakini Wapemba na Waunguja wana haki ya ardhi huku Bara ambako wako kwa maelfu...hii haikubaliki hata kidogo ni ujinga kabisa...Mtu anawakilisha watu 2000 huko Zanzibar eti naye ni Mbunge kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano na analipwa marupurupu na mshahara kwa fedha za Bara...hebu tuambieni je Wabara wananufaika vipi na Muungano huu?
Tuliyasema kama tunavyosema sasaMagufuli alijenga uwanja wa ndege kijiji mkakaa kimya!
Sasa uwanja unatumiwa kuanika mazao.
Waliwaomba huo Muungano? Nyie ndio mlijipeleka ndio maana wanalalamika mnawakwamisha.Kweli, ukitakujua wewe ni Mtanganyika nenda Zanzibar.
Ila Samia hapendelei bali anasimamia utaratibu ambao Magufuli hakusimamia,kwa hiyo kwa Samia hakuna alipokanyaga sheria kama Mwendazake.Tuliyasema kama tunavyosema sasa
Babu yenu Karume aliuomba.Waliwaomba huo Muungano? Nyie ndio mlijipeleka ndio maana wanalalamika mnawakwamisha.
Utalii wa Tzn unabebwa na Zanzibar ndio kusema wakijitoa hakuna wa kuwakuta.
Hizi pesa zimekopwa na Tanganyika na Tanganyika ndio italipa
Trillion 1 inaenda kujenga airport Pemba
Ikumbukwe pia katika ule mkopo wa covid, amechukua billion 400 na Tanganyika ikabaki na billion 700
Vile vile ameshachukua mkopo Mwingine WB wenye dhamani ya trillion 1 kwaajili ya zanzibar pia
Note, mikopo hii yote Tanganyika ndio italipa
======
BADEA hands out 7trn/- loans for next five years
BADEA managing director Dr Sidi Ould Tah made the pledge yesterday in the Egyptian capital, Cairo after holding discussions with Dr Mwigulu Nchemba, the minister for Finance and Planning.
The director said the discussion touched various key issues in the bank’s relationship with Tanzania, “and we're ready to provide the funds." The funds will be disbursed across five years of implementation of the Third National Development Plan for road infrastructure, education, agriculture, strengthening the private sector, plus human capital capacity building, he stated.
He lauded the 60 years of Independence that Tanzania marked this week, promising to work with President Samia Suluhu Hassan in her plans to bring development to the people.
For his part, the minister expressed gratitude to BADEA for the confidence shown in the move to provide a large amount of money that will help bring rapid development to the people through strategic projects they have agreed to finance.
BADEA is a major development partner for the country as so far they have provided loans and grants of up to $2.24bn for projects that include a major water project from Mwanga to Same in Kilimanjaro Region, he said.
The $3bn in loans and grants from BADEA over the next five years will be used to improve energy, 14 irrigation projects, livestock improvement and road construction, opening up economic opportunities in agriculture and other areas.
The funds will also be used to develop the private sector where banks will be given part of the money to provide low-interest loans in productive sectors, promoting employment for youth and women through entrepreneurial activities, he said.
Jamal Kassim Ali, the Zanzibar Minister of State in the President's Office (Finance and Planning), said that Zanzibar would also benefit from a portion of the soft loans and grants. Around $450m would be used to implement a number of strategic projects, he stated.
These include the construction of an airport in Pemba Island, fir a runway and passenger building, Binguni Referral Hospital construction, five VETA technical colleges and fuel depots, he explained.
The loan would further boost the Isles economy and boost employment, a major challenge for Zanzibar authorities right now. BADEA’s decision to provide the loan will contribute to the country's development, he added.
View attachment 2040768BADEA hands out 7trn/- loans for next five years
THE Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) has pledged to provide Tanzania with concessional loans and grants reaching $3bn (7trn/-) over the next five years for various development projects.www.ippmedia.com
View attachment 2040766
Umeelewa kilichoandikwa au unajitoa ufahamuMagufuli alijenga uwanja wa ndege kijiji mkakaa kimya!
Sasa uwanja unatumiwa kuanika mazao.
Geita ilijengwa airport kama ilivyojengwa mikoa mingine ambayo haikua na AirportTuliyasema kama tunavyosema sasa
China Yuko very ambitious, akipania kitu kinafanyika.Siku hizi visiwa vinatengenezwa
Huoni mchina alivyotengeneza
Na sisi tutaboresha baada ya miaka 50
Hii China na USA kaufyata mkia View attachment 2040795
View attachment 2040797
Tulikemea kila siku nepotism ya kipumbavu na isiyo na tija ya Magufuli.Magufuli alijenga uwanja wa ndege kijiji mkakaa kimya!
Sasa uwanja unatumiwa kuanika mazao.
Yapo mambo ya muungano na yasiyo ya muungano, haiwezekani zanzibar iwe na ruhusa ya kukopa separately then bado wapate share kwenye mikopo ya TanganyikaKwanza sidhani kama huwa mnaelewa utaratibu.
Tanzania ikikopa pesa yoyote ni lazima kiasi cha hizo pesa kipelekwe Zanzibar,hiyo ndio kanuni.
Zanzibar ikitaka Kukopa lazima wapewe kibali na Serikali ya Muungano,hivi ndivyo ilivyowekwa.
Sasa kwa huu mkopo ni sawa na ule wa covid kwamba Tzn imekopa ila na Zanzibar imepata share yake full stop hakuna blaa blaa zingine.
Nawe usichikijua ni kwamba ardhi haiuzwi Zanzibar. Unapewa hati ya matumizi ya ardhi. Kuna watanganyika wengi wana nyumba kule.Wengi mnaosema hakuna Tanganyika hamjawahi kufika zanzibar, fika zanzibar ujaribu kuishi kama mtanzania ndio utajua kumbe hizi ni nchi 2 tofauti kabisa
Tukiachana na ubaguzi wa hali ya juu kwa watanganyika kule zanzibar, usichojua ni kwamba wewe ni second citizen kule zanzibar, Huwezi kununua ardhi wala kuimiliki, namna mganda atavyotakiwa kufanya ili amiliki ardhi ndio hiyo hiyo njia utapitia wewe usietaka kusikia Tanganyika
Nawe usichikijua ni kwamba ardhi haiuzwi Zanzibar. Unapewa hati ya matumizi ya ardhi. Kuna watanganyika wengi wana nyumba kule.Wengi mnaosema hakuna Tanganyika hamjawahi kufika zanzibar, fika zanzibar ujaribu kuishi kama mtanzania ndio utajua kumbe hizi ni nchi 2 tofauti kabisa
Tukiachana na ubaguzi wa hali ya juu kwa watanganyika kule zanzibar, usichojua ni kwamba wewe ni second citizen kule zanzibar, Huwezi kununua ardhi wala kuimiliki, namna mganda atavyotakiwa kufanya ili amiliki ardhi ndio hiyo hiyo njia utapitia wewe usietaka kusikia Tanganyika