Rais Samia kakopa trillion 1 kujenga airport, Hospitali, VETA na Depo ya mafuta Zanzibar

Tushachoka kuwaambia ukweli kuwa Watanganyika ni wapumbavu.
Sahihi kabisa, hakuna watu wapumbavu kama watanganyika ni watu laini na hovyo kuwai kutokea kwenye uso wa dunia, watanganyika hata Mzungu akiamua kuja kuitawala upya atagharamika nauli tu.
 
Pale ilipokuwa Zanzibar haipewi chochote kutoka kapu la muungano ulisema? Hii leo Zanzibar kupata haki yake inakuuma. Ni ajabu
 
Huyu Mama ni mbaguzi wa kutisha, nashangaa watanganyika tunamuangalia tu anavyohamisha mali zetu. Ameondoa watu wengi balozini na kujaza wazanzibari, wazanzibari wanapewa teuzi katika taasisi zisizo za muungano! Tuamke tumkatalie
 
Bora hata znz je uwanja wa ndege uliojengwa porini? Na mkasifia mnoo bila kuhoji. Kaeni kwa kutulia tu maana hakuna namna!
 
Atalipa nani hizo fedha? Huyu ambae hana haki za uraia akienda ZNZ?
 
Huyu Mama ni mbaguzi wa kutisha, nashangaa watanganyika tunamuangalia tu anavyohamisha mali zetu. Ameondoa watu wengi balozini na kujaza wazanzibari, wazanzibari wanapewa teuzi katika taasisi zisizo za muungano! Tuamke tumkatalie
Mkuu wataje hao waliojazwa viavis Watanganyika waliopo.
 
Huyu Mama ni mbaguzi wa kutisha, nashangaa watanganyika tunamuangalia tu anavyohamisha mali zetu. Ameondoa watu wengi balozini na kujaza wazanzibari, wazanzibari wanapewa teuzi katika taasisi zisizo za muungano! Tuamke tumkatalie
Wapo watu niliwaheshimu sana lakini nilikuja kuwa dharau kupita kiasi

Sasa unategemea nini kwa hii misukule? Mama anaongoza mataahira, uhuni anaofanya hakuna wa kumwambia lolote

 
Utaratibu huo tunauelewa Sana na hasa Mimi binafsi...kuwepo utaratibu au kanuni haimananishi kuwa hauna kasoro...
 
Watanganyika hatutakubali, ndo anaenda kuopasua tanzania sasa, hatuwezi watu milioni 60 kweda sawa na 1.5mil popln.

Watuachie Tanganyila yetu
 
Alijenga Geita mkoa unaochangia trillions kupitia dhahabu, Zanzibar mtanganyika hawezi kumiliki hata inch 1 ya ardhi lakini ndio mfadhili mkubwa wa Zanzibar kwa sasa meanwhile yapo maeneo lukuki Tanganyika watu wanakunywa tope
Hivi chato haijawa mkoa kumbe?

NB: Hii ni maskini kwa sababu tuna viongozi wenye umaskini wa akili.
 
Tatizo liko wapi!

Pemba ni Tanzania.
HAPANA, MUONGO MKUBWA!

Pemba na Tanganyika sio nchi moja.

Mtanganyika haruhusiwi kununua kiwanja Pemba!

Katiba ya Zanzibar inasema, na Wazanzibari wanapaza sauti miaka yote wakisema, Zanzibar sio shehia, sio tarafa wala manispaa ya Tanzania, Zanzibar ni nchi.

Japo hatulingani: Kwa eneo Pemba na Unguja zinaingia Halmashauri ya Sikonge mara kumi na nne , na Wazanzibar hawawezi kujaza Manispaa ya Kinondoni ambayo ina raia milioni 1.7. Wanzanzibari wote pamoja na diaspora wao wa Tanganyika, Ulaya na Arabuni hawafiki milioni 1.7.

Tukipata mikopo na misaada Zanzibar wanataka mgao wao wapewe separately na wapate kwa kila tunapopata. Kwenye huu mkopo wamesema kwa Tanganyika sehemu kubwa itaenda kwenye miundombinu ya maji Mwanga na Same, lakini watu wa Kibondo na Kasulu hawajapata kitu na hawana maji, na hatujalalamika kwa sababu Same ni Tanzania, na kuna siku naweza kuhama Kasulu nikaoa Same nikanunua shamba Mwanga; na hii haikuwa zamu yetu watu wa Kasulu kupata maji. Lakini Zanzibar wao wanataka wapate mgao wao separately na waupate kila tunapopata chochote - kwa sababu wanasema wao Zanzibar ni nchi.

Sasa kwa nini Tanganyika iwe guarantor wa mikopo na mlipaji wa madeni ya nchi ya Zanzibari ?
 
inasikitisha sana na hii yote ni kutokana na serikali ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…