The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Sasa mnamlalamikia nani? Anayetekeleza utaratibu au aliyeuweka?Utaratibu huo tunauelewa Sana na hasa Mimi binafsi...kuwepo utaratibu au kanuni haimananishi kuwa hauna kasoro...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mnamlalamikia nani? Anayetekeleza utaratibu au aliyeuweka?Utaratibu huo tunauelewa Sana na hasa Mimi binafsi...kuwepo utaratibu au kanuni haimananishi kuwa hauna kasoro...
Haya malalamiko unamlalamikia nani? Kama mnaona kuna kasoro badilini utaratibu au hata muache kulazimisha Muungano.Atalipa nani hizo fedha? Huyu ambae hana haki za uraia akienda ZNZ?
Nimekuuliza unaelewa unachoongea au huelewi?Yapo mambo ya muungano na yasiyo ya muungano, haiwezekani zanzibar iwe na ruhusa ya kukopa separately then bado wapate share kwenye mikopo ya Tanganyika
Kataeni sasa mbona unalia Lia kama kichanga? 😄😄😄.Babu yenu Karume aliuomba.
Hizi pesa zimekopwa na Tanganyika na Tanganyika ndio italipa
Trillion 1 inaenda kujenga airport Pemba
Ikumbukwe pia katika ule mkopo wa covid, amechukua billion 400 na Tanganyika ikabaki na billion 700
Vile vile ameshachukua mkopo Mwingine WB wenye dhamani ya trillion 1 kwaajili ya zanzibar pia
Note, mikopo hii yote Tanganyika ndio italipa
======
BADEA hands out 7trn/- loans for next five years
BADEA managing director Dr Sidi Ould Tah made the pledge yesterday in the Egyptian capital, Cairo after holding discussions with Dr Mwigulu Nchemba, the minister for Finance and Planning.
The director said the discussion touched various key issues in the bank’s relationship with Tanzania, “and we're ready to provide the funds." The funds will be disbursed across five years of implementation of the Third National Development Plan for road infrastructure, education, agriculture, strengthening the private sector, plus human capital capacity building, he stated.
He lauded the 60 years of Independence that Tanzania marked this week, promising to work with President Samia Suluhu Hassan in her plans to bring development to the people.
For his part, the minister expressed gratitude to BADEA for the confidence shown in the move to provide a large amount of money that will help bring rapid development to the people through strategic projects they have agreed to finance.
BADEA is a major development partner for the country as so far they have provided loans and grants of up to $2.24bn for projects that include a major water project from Mwanga to Same in Kilimanjaro Region, he said.
The $3bn in loans and grants from BADEA over the next five years will be used to improve energy, 14 irrigation projects, livestock improvement and road construction, opening up economic opportunities in agriculture and other areas.
The funds will also be used to develop the private sector where banks will be given part of the money to provide low-interest loans in productive sectors, promoting employment for youth and women through entrepreneurial activities, he said.
Jamal Kassim Ali, the Zanzibar Minister of State in the President's Office (Finance and Planning), said that Zanzibar would also benefit from a portion of the soft loans and grants. Around $450m would be used to implement a number of strategic projects, he stated.
These include the construction of an airport in Pemba Island, fir a runway and passenger building, Binguni Referral Hospital construction, five VETA technical colleges and fuel depots, he explained.
The loan would further boost the Isles economy and boost employment, a major challenge for Zanzibar authorities right now. BADEA’s decision to provide the loan will contribute to the country's development, he added.
View attachment 2040768BADEA hands out 7trn/- loans for next five years
THE Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) has pledged to provide Tanzania with concessional loans and grants reaching $3bn (7trn/-) over the next five years for various development projects.www.ippmedia.com
View attachment 2040766
Bora huyu anakopa na anaweka wazi na kila mwanachi anajua kama raisi kakopa pesa, kuliko kudanganya wanachi kuwa tunajenga miradi kwa pesa zetu wenyewe ilhali tunajua hadi kikwete anaachia nchi tulikuwa na deni la trillion 39 ila hadi December mwaka (2020) Jana tulikuwa na deni la trillion 54 jiulize kama angemaliza awamu zote mbili deni lingefika kiasi gani na je wanachi tungelipokeaje hilo deni baada ya yeye kumaliza muda wake na ngojera za kutuhadaa kuwa tunajiendesha kwa fedha zetu na Tanzania ni Nchi Tajiri sanaHizi pesa zimekopwa na Tanganyika na Tanganyika ndio italipa
Trillion 1 inaenda kujenga airport Pemba
Ikumbukwe pia katika ule mkopo wa covid, amechukua billion 400 na Tanganyika ikabaki na billion 700
Vile vile ameshachukua mkopo Mwingine WB wenye dhamani ya trillion 1 kwaajili ya zanzibar pia
Note, mikopo hii yote Tanganyika ndio italipa
======
BADEA hands out 7trn/- loans for next five years
BADEA managing director Dr Sidi Ould Tah made the pledge yesterday in the Egyptian capital, Cairo after holding discussions with Dr Mwigulu Nchemba, the minister for Finance and Planning.
The director said the discussion touched various key issues in the bank’s relationship with Tanzania, “and we're ready to provide the funds." The funds will be disbursed across five years of implementation of the Third National Development Plan for road infrastructure, education, agriculture, strengthening the private sector, plus human capital capacity building, he stated.
He lauded the 60 years of Independence that Tanzania marked this week, promising to work with President Samia Suluhu Hassan in her plans to bring development to the people.
For his part, the minister expressed gratitude to BADEA for the confidence shown in the move to provide a large amount of money that will help bring rapid development to the people through strategic projects they have agreed to finance.
BADEA is a major development partner for the country as so far they have provided loans and grants of up to $2.24bn for projects that include a major water project from Mwanga to Same in Kilimanjaro Region, he said.
The $3bn in loans and grants from BADEA over the next five years will be used to improve energy, 14 irrigation projects, livestock improvement and road construction, opening up economic opportunities in agriculture and other areas.
The funds will also be used to develop the private sector where banks will be given part of the money to provide low-interest loans in productive sectors, promoting employment for youth and women through entrepreneurial activities, he said.
Jamal Kassim Ali, the Zanzibar Minister of State in the President's Office (Finance and Planning), said that Zanzibar would also benefit from a portion of the soft loans and grants. Around $450m would be used to implement a number of strategic projects, he stated.
These include the construction of an airport in Pemba Island, fir a runway and passenger building, Binguni Referral Hospital construction, five VETA technical colleges and fuel depots, he explained.
The loan would further boost the Isles economy and boost employment, a major challenge for Zanzibar authorities right now. BADEA’s decision to provide the loan will contribute to the country's development, he added.
View attachment 2040768BADEA hands out 7trn/- loans for next five years
THE Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) has pledged to provide Tanzania with concessional loans and grants reaching $3bn (7trn/-) over the next five years for various development projects.www.ippmedia.com
View attachment 2040766
Kwani Wazanzibari katika masuala ya muungano huwa wanamlalamkia Nani?Sasa mnamlalamikia nani? Anayetekeleza utaratibu au aliyeuweka?
Tanzania ni Muungano wa zilizokuwa nchi 2 za Tanganyika na Zanzibar.Ushabiki mwingi
1. Hakuna nchi inaitwa Tanganyika
2. Miradi ni muhimu ni kweli airport ya Pemba ni muhimu kuliko ya Chato. Kwani Chato wana chato wanaweza kulipa? Wapi kuna watalii zaidi!!?
3. Hatujui kiasi gani ni grants ambazo sio mikopo hivyo hatuna habari za kutosha
Kweli mali ya mafala ndio inaliwa, na Zanzibar wakishindwa kuendelea awamu hii hawatakaa wanendelee sababu mazezeta ndio yanayoibiwa
Kama ilivyokuwa Chato.Tatizo liko wapi!
Pemba ni Tanzania.
Tzn BaraKwani Wazanzibari katika masuala ya muungano huwa wanamlalamkia Nani?
Nani kakuambia Airport ya chato haina umuhimu,fuatilia kwanza sio unaongea tu chato ipo mkoa wa Geita na geita kuna Gold mines,izo Gold unadhani zinasafirishwa na nini? ndo Airport inaingia apoUshabiki mwingi
1. Hakuna nchi inaitwa Tanganyika
2. Miradi ni muhimu ni kweli airport ya Pemba ni muhimu kuliko ya Chato. Kwani Chato wana chato wanaweza kulipa? Wapi kuna watalii zaidi!!?
3. Hatujui kiasi gani ni grants ambazo sio mikopo hivyo hatuna habari za kutosha
Mkoa wa chato hauundwi tena?Nani kakuambia Airport ya chato haina umuhimu,fuatilia kwanza sio unaongea tu chato ipo mkoa wa Geita na geita kuna Gold mines,izo Gold unadhani zinasafirishwa na nini? ndo Airport inaingia apo
Ili uwanja wa ndege ujengwe baharini...kwa miaka ijayo rais awe amezaliwa Masaki, na wazazi wake wamezaliwa Ostabei ili kupunguza matumizi ya kijinga