Rais Samia kakubali Tume Huru ya Uchaguzi. Sasa ole wenu mtoke nje tena wakati wa Majadiliano

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Nawashauri Wadau wa Siasa, mujifunze kuvumiliana na reconciliation. Si tabia njema kususasusa. Tangu hii tabia ya kususa ianze Kwama 2010, sijaona tija yoyote.

Yaani mnasusia nyani Shamba la mahindi?

Rais Samia Kasikia Kilio chenu cha Tume huru ya Uchaguzi.

Siku taratibu zikikamilika, mkashiriki kwa manufaa ya Nchi sio vyama vyenu.

Natanguliza Shukrani kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu.

Happy New year.
 
Tume huru msingi wake uko kwenye Katiba Na sisi watanzania Mgogoro wetu ni Katiba Mpya.

Mama Rais Samia akubali mpango wa katiba mpya Huko Mbele itamsaidia.

Afate ushauri huu huko mbele atanishukuru.

Lowasa alitamani Tume ingekuwa huru lakini it was too late.
 
Salaam Wakuu,

Nawashauri Wadau wa Siasa, mujifunze kuvumiliana na reconciliation. Si tabia njema kususasusa. Tangu hii tabia ya kususa ianze Kwama 2010, sijaona tija yoyote.

Yaani mnasusia nyani Shamba la mahindi?

Rais Samia Kasikia Kilio chenu cha Tume huru ya Uchaguzi.

Siku taratibu zikikamilika, mkashiriki kwa manufaa ya Nchi sio vyama vyenu.

Natanguliza Shukrani kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu.

Happy New year.
Hiyo mipango na mijadala iliyosususiwa ilishawahi kuleta tija yoyote??
 
Salaam Wakuu,

Nawashauri Wadau wa Siasa, mujifunze kuvumiliana na reconciliation. Si tabia njema kususasusa. Tangu hii tabia ya kususa ianze Kwama 2010, sijaona tija yoyote.

Yaani mnasusia nyani Shamba la mahindi?

Rais Samia Kasikia Kilio chenu cha Tume huru ya Uchaguzi.

Siku taratibu zikikamilika, mkashiriki kwa manufaa ya Nchi sio vyama vyenu.

Natanguliza Shukrani kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu.

Happy New year.
Tunachotaka ni Katiba mpya tu , huwezi kuwa na Tume huru bila Katiba mpya , acheni utapeli wa kijinga
 
Tunahitaji tume huru kweli, sio hiyo ya kuzuga wananchi kuwa mna nia njema. Hila zozote kwenye upatikanaji wa hiyo tume hatutazikubali. Tuko tayari kusubiri hata karne nzima ili kupata tume bora, na sio bora tume.
 
Tume huru inatakiwa iandikwe ndani ya katiba au mimi naelewa vibaya? Yaani inatakiwa wale viongozi wote wa tume wasiwe na chama, wachaguliwe na wananchi na kuteuana wenyewe.
 
Salaam Wakuu,

Nawashauri Wadau wa Siasa, mujifunze kuvumiliana na reconciliation. Si tabia njema kususasusa. Tangu hii tabia ya kususa ianze Kwama 2010, sijaona tija yoyote.

Yaani mnasusia nyani Shamba la mahindi?

Rais Samia Kasikia Kilio chenu cha Tume huru ya Uchaguzi.

Siku taratibu zikikamilika, mkashiriki kwa manufaa ya Nchi sio vyama vyenu.

Natanguliza Shukrani kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu.

Happy New year.
Kwani kuna dc aliyefukuzwa kazi au kufariki dunia?

Maana sikwakujikomba huku.
 
Salaam Wakuu,

Nawashauri Wadau wa Siasa, mujifunze kuvumiliana na reconciliation. Si tabia njema kususasusa. Tangu hii tabia ya kususa ianze Kwama 2010, sijaona tija yoyote.

Yaani mnasusia nyani Shamba la mahindi?

Rais Samia Kasikia Kilio chenu cha Tume huru ya Uchaguzi.

Siku taratibu zikikamilika, mkashiriki kwa manufaa ya Nchi sio vyama vyenu.

Natanguliza Shukrani kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu.

Happy New year.
Subirini uchaguzi wa seriaklai za mitaa ndio mtajua kuwa kuna dhamira kweli au ni danganya toto!!
 
Tunahitaji tume huru kweli, sio hiyo ya kuzuga wananchi kuwa mna nia njema. Hila zozote kwenye upatikanaji wa hiyo tume hatutazikubali. Tuko tayari kusubiri hata karne nzima ili kupata tume bora, na sio bora tume.
Hakika tunakubaliana wote kama taifa kuwa wajumbe wa hii tume wanatia shaka
 
Back
Top Bottom