figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Tume huru msingi wake uko kwenye Katiba Na sisi watanzania Mgogoro wetu ni Katiba Mpya.Salaam Wakuu,
Nawashauri Wadau wa Siasa, mujifunze kuvumiliana na reconciliation. Si tabia njema kususasusa. Tangu hii tabia ya kususa ianze Kwama 2010, sijaona tija yoyote.
Yaani mnasusia nyani Shamba la mahindi?
Rais Samia Kasikia Kilio chenu cha Tume huru ya Uchaguzi.
Siku taratibu zikikamilika, mkashiriki kwa manufaa ya Nchi sio vyama vyenu.
Natanguliza Shukrani kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu.
Happy New year.
Mama anadhani ni Chadema tu. Ofcourse chadema ndio Baba Lao.Katiba ni hitaji la watu wote sio Chadema
Hiyo mipango na mijadala iliyosususiwa ilishawahi kuleta tija yoyote??Salaam Wakuu,
Nawashauri Wadau wa Siasa, mujifunze kuvumiliana na reconciliation. Si tabia njema kususasusa. Tangu hii tabia ya kususa ianze Kwama 2010, sijaona tija yoyote.
Yaani mnasusia nyani Shamba la mahindi?
Rais Samia Kasikia Kilio chenu cha Tume huru ya Uchaguzi.
Siku taratibu zikikamilika, mkashiriki kwa manufaa ya Nchi sio vyama vyenu.
Natanguliza Shukrani kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu.
Happy New year.
Tatizo Chadema hawajiamini ndo maana wanachukuliwa poaMama anadhani ni Chadema tu. Ofcourse chadema ndio Baba Lao.
Tunachotaka ni Katiba mpya tu , huwezi kuwa na Tume huru bila Katiba mpya , acheni utapeli wa kijingaSalaam Wakuu,
Nawashauri Wadau wa Siasa, mujifunze kuvumiliana na reconciliation. Si tabia njema kususasusa. Tangu hii tabia ya kususa ianze Kwama 2010, sijaona tija yoyote.
Yaani mnasusia nyani Shamba la mahindi?
Rais Samia Kasikia Kilio chenu cha Tume huru ya Uchaguzi.
Siku taratibu zikikamilika, mkashiriki kwa manufaa ya Nchi sio vyama vyenu.
Natanguliza Shukrani kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu.
Happy New year.
Kwani kuna dc aliyefukuzwa kazi au kufariki dunia?Salaam Wakuu,
Nawashauri Wadau wa Siasa, mujifunze kuvumiliana na reconciliation. Si tabia njema kususasusa. Tangu hii tabia ya kususa ianze Kwama 2010, sijaona tija yoyote.
Yaani mnasusia nyani Shamba la mahindi?
Rais Samia Kasikia Kilio chenu cha Tume huru ya Uchaguzi.
Siku taratibu zikikamilika, mkashiriki kwa manufaa ya Nchi sio vyama vyenu.
Natanguliza Shukrani kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu.
Happy New year.
Subirini uchaguzi wa seriaklai za mitaa ndio mtajua kuwa kuna dhamira kweli au ni danganya toto!!Salaam Wakuu,
Nawashauri Wadau wa Siasa, mujifunze kuvumiliana na reconciliation. Si tabia njema kususasusa. Tangu hii tabia ya kususa ianze Kwama 2010, sijaona tija yoyote.
Yaani mnasusia nyani Shamba la mahindi?
Rais Samia Kasikia Kilio chenu cha Tume huru ya Uchaguzi.
Siku taratibu zikikamilika, mkashiriki kwa manufaa ya Nchi sio vyama vyenu.
Natanguliza Shukrani kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu.
Happy New year.
Alafu wajumbe wenyewe woote makada wa lumumba.Hii inayoenda kujazwa wasiojulikana ?!. Tume huru ilitakiwa ije kwa mujibu wa katiba siyo hisani za Rais.
Bila katiba kuidhibiti serikali na watawala kuiingilia tume ni kazi bure.
Huo ndiyo msimamo wa watanzania wenye kujitambua mkuu.Katiba ni hitaji la watu wote sio Chadema
Kwa 98% wajumbe wote ni makada wa ccmHii tume na katiba binaweza kuleta vurugu Tanzania.
Na sisi tuanze kula keki ya Taifa LetuHuo ndiyo msimamo wa watanzania wenye kujitambua mkuu.
Eti tume huru wakati katiba bado ni ya chama kimojaTunachotaka ni Katiba mpya tu , huwezi kuwa na Tume huru bila Katiba mpya , acheni utapeli wa kijinga
Hakika tunakubaliana wote kama taifa kuwa wajumbe wa hii tume wanatia shakaTunahitaji tume huru kweli, sio hiyo ya kuzuga wananchi kuwa mna nia njema. Hila zozote kwenye upatikanaji wa hiyo tume hatutazikubali. Tuko tayari kusubiri hata karne nzima ili kupata tume bora, na sio bora tume.
Upo sahihi sana mkuuTume huru inatakiwa iandikwe ndani ya katiba au mimi naelewa vibaya? Yaani inatakiwa wale viongozi wote wa tume wasiwe na chama, wachaguliwe na wananchi na kuteuana wenyewe.