Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Tume huru ya uchaguzi siyo keki au soda, tume huru hutolewa na katiba ya nchi na katiba ni sheria ya nchi si hisani ya mtu mmoja, usikurupuke jifunze siasa.Salaam Wakuu,
Nawashauri Wadau wa Siasa, mujifunze kuvumiliana na reconciliation. Si tabia njema kususasusa. Tangu hii tabia ya kususa ianze Kwama 2010, sijaona tija yoyote.
Yaani mnasusia nyani Shamba la mahindi?
Rais Samia Kasikia Kilio chenu cha Tume huru ya Uchaguzi.
Siku taratibu zikikamilika, mkashiriki kwa manufaa ya Nchi sio vyama vyenu.
Natanguliza Shukrani kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu.
Happy New year.
Comment yako hii iwekewe lamination kisha ijengewe mnara kwenye lango la kuingia ikuluHii inayoenda kujazwa wasiojulikana ?!. Tume huru ilitakiwa ije kwa mujibu wa katiba siyo hisani za Rais.
Bila katiba kuidhibiti serikali na watawala kuiingilia tume ni kazi bure.
Tunataka katiba mpyaSalaam Wakuu,
Nawashauri Wadau wa Siasa, mujifunze kuvumiliana na reconciliation. Si tabia njema kususasusa. Tangu hii tabia ya kususa ianze Kwama 2010, sijaona tija yoyote.
Yaani mnasusia nyani Shamba la mahindi?
Rais Samia Kasikia Kilio chenu cha Tume huru ya Uchaguzi.
Siku taratibu zikikamilika, mkashiriki kwa manufaa ya Nchi sio vyama vyenu.
Natanguliza Shukrani kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu.
Happy New year.
Kwa deni la T 82 katiba inakwepekavipi tunataka mchanganuoHii tume na katiba vinaweza kuleta vurugu Tanzania.
Sijui kama hawa watawala watakubali kirahisi maana miaka 60 unakula vinono pekee yakoNa sisi tuanze kula keki ya Taifa Letu
Juzi kateua mwenyekiti mpya wa TumeEti tume huru wakati katiba bado ni ya chama kimoja
Pia alikuwa ni Mnec.Juzi kateua mwenyekiti mpya wa Tume
Usimpangishe mpangaji nyumba yako kwa muda mrefu bila kumbadilisha nymba ataigeuza yake wewe mwenyenyumba utakua mpangaji angalia ma ccm wanavyofanyaTaifa na Wananchi sio mali ya mtawala
Maamuzi ya nini Taifa linahitaji ni la Wananchi sio watawala
Tume Huru na Katiba Mpya sio hiyari huruma au hisani toka kwa watawala
Bali ni
Haki ya Taifa
Haki ya Wananchi
Kwa hiyo unapendekezaJe labda ?!. Naona unajaribu kuhalalisha haramu kwa sababu wengine wameshindwa !! AKILI MATOPEKwa Africa ninayoijua mimi,Tume huwa huru kwa aliyeshinda tu.
Ghana pamoja na kutajwa kuwa kinara wa chaguzi huru na haki Africa ila kila uchaguzi aliyeshindwa huyakataa matokeo.
Edgar Lungu alipobwagwa na Hichilema juzi hapa alidai uchaguzi haukuwa huru pamoja na kwamba mkurugenzi wa Tume alimteua yeye miaka miwili kabla ya uchaguzi.
Hata Kenya yenye katiba mpya na muundo mpya wa Tume ya uchaguzi ila bado mambo ni yaleyale tu.
Upinzani wenye nguvu unashika dola kwa Tume yoyote tu hata kama CEO wake ni mke wa Rais.
Tume iliyomtangaza George Weah mshindi haina tofauti yoyote na hii yetu iliyojaa wateule wa Rais.
Tume huru kwa wote haijawahi ku-exist Africa.
Hili ndilo Ccm hawalijui na hawataki kulijua. Akili zao lazima Rais awe mwenyekiti wao .Taifa na Wananchi sio mali ya mtawala
Maamuzi ya nini Taifa linahitaji ni la Wananchi sio watawala
Tume Huru na Katiba Mpya sio hiyari huruma au hisani toka kwa watawala
Bali ni
Haki ya Taifa
Haki ya Wananchi
Uko sahihiTume huru inatakiwa iandikwe ndani ya katiba au mimi naelewa vibaya? Yaani inatakiwa wale viongozi wote wa tume wasiwe na chama, wachaguliwe na wananchi na kuteuana wenyewe.